WAFUNGWA HONG KONG WAENDELEA KUFUNGUKA, MWINGINE AANDIKA BARUA ISOME HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna barua nyingine tena zinazodaiwa kuandikwa na wafungwa wa Kitanzania wanaotumikia vifungo vyao huko Hong Kong baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya. Anayechapisha barua hizo kwenye mitandao anadai eti ni za kweli na zinatoka kwa wafungwa wa Kitanzania walioko magerezani huko Hong Kong. Anadai kuwa yeye ni padri na huwa anaendesha ibada magerezani. Anadai huwa anatembelea magereza ya Hong Kong karibu kila siku ambapo hukutana na wafungwa wa Kitanzania.

Naomba nimnukuu kama alivyoandika yewe mwenyewe baada ya mchangiaji mmoja kwenye tovuti husika kumhoji kuhusiana na ukweli wa hizo barua.


Letter is 100% genuine, like the previous letters. And there’s more to come. I am a Catholic priest, a prison chaplain. I visit Hong Kong prisons almost every day and often see the Tanzanian inmates. They are deeply upset that they will not see they families for many long years and that their families are suffering because of their imprisonment. I am trying to help others avoid the same fate ….as well as trying to help protect Hong Kong society from drugs. I also visit local drug addicts in prison ….the other side of the coin ….and I see the severe damage that has been done to their minds and bodies. This is a totally lose-lose situation and must be stopped
Source: https://v2ca.wordpress.com/2013/08/0...nia-2013-file/

Kuhusiana na wafungwa wa madawa ya kulevya huko Hong Kong Balozi Marmo alishawahi kusema kuwa idadi ya Watanzania walio katika magereza na mahabusu huko China, Hong Kong na Macao, inatisha. Alipoulizwa hatima ya Watanzania hao, Balozi huyo amesema, “Tunawapa ushauri nasaha kwa sababu kuna udanganyifu mkubwa kwenye magereza hayo (walimofungwa), wengine wanaambiwa kwamba kuna uwezekano wa kuwarejesha nyumbani ili wamalizie vifungo vyao, lakini huwa tunawaambia hili jambo haliwezekani kwa sababu Tanzania na China, Tanzania na Hong Kong na Tanzania na Macao hatuna mikataba ya kubadilishana wafungwa.

“Na wala hatuna sasa hivi uwezekano wa kufanya jambo hili kwa sababu mzigo ni mkubwa, laiti ingepita miaka miwili au mitatu bila kuwa na mtu au mhalifu wa kuleta dawa za kulevya, tungekuwa na mjadala na mataifa haya.” Anasema Balozi Marmo, “Kunakuwa na uchunguzi mkali sana, unachukua wakati mwingine hadi miaka mitatu. Hujui (hao watuhumiwa) wanazielezea nini mamlaka za hapa.”
Zipo barua tatu. Barua ya kwanza inadaiwa kuandikwa na mfungwa Agosti 9, 2013 kwenda kwa Rais Jakaya Kikwete. Barua ya pili haina tarehe. Barua ya tatu inadaiwa kuandikwa Agost 8, 2013 kwenda kwa Dr. Mwakyembe na imeoothoresha majina ya wanaodaiwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulenywa, yakiwemo majina ya viongozi wa kidini. Again, sina uhakika kama waliotajwa wanahusika na hiyo biashara. Mie nimekopi na kupaste tuu habari kama nilivyoikuta. kama yaliyoandikwa kwenye hizo barua ni ya kweli au uongo kwa kweli ni vigumu sana kujua. 










Source:jamiii forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. toeni uongo wenu hpa umaalufu haupatikani kiivyo

    ReplyDelete
  2. YOU NEVER KNOW BHANA

    ReplyDelete
  3. UNAJUA WAKATI MWINGINE LAZIMA TUSHIRIKISHE UBONGO WETU SAWASAWA, PALE AIRPORT KUNA ULINZI MKUBWA WATU WA USALAMA WA TAIFA WAPO,POLISI WENYE SARE WAPO,WAPELELEZI WAPO,POLISI WA IMAGRATION WAPO,WANAJESHI WAPO SASA HAYO MADAWA YAKULEVYA YAMEWEZA KUPITAJE??!!!!KAMA KWELI WATU NI WAAMINIFU NA WANATIMIZA WAJIBU WAO HILO NDILO SWALI LA MSINGI HAYO MADAWA YAMEPITAJE KWENYE VIWANJA VYETU VYA TANZANIA,AU MNYAMA MKUBWA KAMA TWIGA AMEPITAJE?!!!!!KWA HIYO KWENYE HIYO BARUA IWE NI BARUA YA KWELI AU SI YAKWELI NDANI YAKE KUNA MAMBO YA MSINGI SANA

    ReplyDelete
  4. tumechoka na hoja zenu za madawa,wahusika wenyewe ndio hao hao mnaowaandikia barua,msonyo.wasting of time.fungeni mjadala mamae zenu.

    ReplyDelete
  5. karatasi zote toka pande za uchina huko lzma ziwe na lugha yao hata kama kiingereza kipo mfano neno NAME litaandikwa kichina pia pia ''kithungu'' kwa umsituchukulie poa

    ReplyDelete

Top Post Ad