WEMA SEPETU , IRENE UWOYA VITA RUNINGANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

VITA mpya imeibuka ikiwahusisha warembo wa Bongo Movies,
Wema Isaac Sepetu na Irene Pancras Uwoya kufuatia kuanzisha vipindi vya runinga kwa mpigo.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Utafiti na Masoko wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, katika harakati za vipindi hivyo, alianza Wema kwa kuanzisha ‘aidia’ ya kipindi kipya kiitwacho In My Shoes ambacho kitaanza kuoneshwa kuanzia Alhamisi hii, saa tatu na nusu usiku kupitia Clouds TV.
Alisema baada ya Wema kutengeneza kipindi hicho na kupata maoni mengi, Uwoya akajibu mapigo kwa kuanzisha cha kwake kinachoitwa Paradise ambacho kitakwenda hewani Jumanne hii (kesho).
“Mashabiki wa Clouds TV watapata kuona vita ya kibiashara, Uwoya atakuwa akionekana katika kipindi hicho ambacho kitakuwa kinahusu upakaji rangi katika nyumba za watu mbalimbali huku Wema naye akikimbiza katika In My Shoes,” alisema Ruge.


Source:Global Publisher
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa hapo kuna vita gani ww ruge acha umbulula

    ReplyDelete
  2. Mavi matupu. Nilimuona wema matawi mengine kumbe kingia kwenye mkumbo uleuleeee wa VILAZA

    ReplyDelete
  3. Kumbe wema anafanana na bi mwenda yule wa kaole group

    ReplyDelete
  4. Ugha za waandishi zinachanganya watu

    ReplyDelete
  5. ngojea tuwaone kama wanaweza kazi hiyo au ni kuingilia fani za watu

    ReplyDelete

Top Post Ad