WEMA SEPETU KUIVAMIA BONGO FLAVA "SNURA NA SHILOLE TUPA KULE"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu miss Tanzania aliyegeuka kuwa muigizaji, ameweka wazi kwamba anataka kuimba na katika kuthibitisha hilo ameshaandika mistari kadhaa ya anachotaka kuimba. Wema alishawahi kuimba kwenye wimbo wa kuhamasisha kumchangia msanii Sajuki wakati anaumwa. Wimbo huo unaitwa “Mboni yangu”, so kuingia kwenye booth kurekodi wimbo sio kitu kipya kwa Wema Sepetu. Hii ni baadhi ya mistari ambayo ameshaandika Wema Sepetu kwa ajili ya wimbo huo.
Mwambie wake ni mimi, na kwangu moyoni atabaki ni yeye, tena mwambie bado silali kutwa nawaza penzi langu… ila siku atakugundua kuwa mi ndo mwenyewe
Mpaka sasa hivi ni wimbo mmoja Wema alirekodi kwa kushirikiana na Snura ambapo Tunda Man alishiriki pia kuuandika

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hilo ni likicheche sasa linahamisha soko kweny muziki nako likatafute wa kumuhonga magar na majumba

    ReplyDelete
  2. tumekusoma mdada

    ReplyDelete

Top Post Ad