PHOTOS:JE UNENEPAJI WA MSANII LULU MICHAEL UNAWEZA KUATHIRI KAZI ZAKE?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Hivi karibuni Muigizaji mkali wa Bongo Movies Lulu Michael amekua akionekana kuwa ameongezeka uzito, na pia maswali yamekua yakizuka kama itaathiri kazi zake za uigizaji… Na hivi karibuni mwana dada huyu alionekana katika Party ya Getaway iliyofanyika Bahari Beach siku ya jumamosi iliyopita na kupigwa picha akiwa na rafiki zake, Tazama Picha za muigizaji huyo na utoe maoni yako kama kuongezeka kwake kwa mwili kutaleta athari zozote …

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. amenenepa wapi?

    ReplyDelete
  2. Sioni alivyo nenepa

    ReplyDelete
  3. Eti mlokole ziwa lote njee na picha bila camera 360 mbayaaaaa ka penseli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Camera 360 zinatuokoa kweli ,mtu Akbar ajakutana na lulu Ana Kwa Ana Atasema mzuriiii,Maya mtoto,Jamani jiadhalini na maboifriend wenu,wewe ivon uliyemkata Singh Ezekiel mkono bora ungemkata na lulu,katembea na kichuna wako mpaka na south Africa kapelekwa.

      Delete
    2. Lulu malaya sana jaman mamake mbona hamkanyi afu mwizi wa mabwana za watu huyo

      Delete
  4. Ucjichubue tu mtoto mzur utakua mbayaaa

    ReplyDelete
  5. Wewe acha uongo she is cute jmn cfa zke tumpe tabia ndo mbaya tena haziendan na umri wke

    ReplyDelete
  6. Hvi wanawake mkoje jaman hampendan au ni vpi? Hata kucfiana jaman mpendane bwana kupondana bila sababu ni ujinga na ushamba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe nawe nipishe huko kama sijaona uzuri wake na ziwa liko wazi tusiseme mbayaaaaaaaaas in bedui voice hasaaaas

      Delete
  7. Lulu mdogoangu ilo ziwa nalitamani.

    ReplyDelete
  8. asinenepe mchezo kesi iliyokua ikimkondesha imefutwa jamani kutembea nawatu wazima nicheo nako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mama kanumba ataendelea kumlilia mwanae muuaji yuko nje anatanua na kujishaua

      Delete
    2. Mama kanumba mwenyewe ovyo kutwa kupiga picha na huyo lulu nakujifanya amesahau. akimuona wema sepetu anajifanya kulia ili apewe pesa msonyooooo anajidharirisha.

      Delete
    3. Hapana huwa anatamani wema angekuwa na marehemu huenda yasingemfika hayo na,tuache utani wema ana roho nzuri atakuwa anamsaidia yule mama

      Delete
  9. Ungejua ameshamsamehe kwa moyo wote na lulu huwa anaenda kumtembelea mama kanumba wanapatana na ni jambo la kheri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Moyo unaficha mengi kusamehe ni ngumu sana

      Delete
    2. Wanaume Wana roho ngumuuu awaogopi kuuliwa Kama kanumba?

      Delete
  10. fanyeni yenu wacheni walale mama k na lulu

    ReplyDelete
  11. hummu kumejaa umbea na masengenyo...

    ReplyDelete
  12. Sidhani kama Lulu ana uwezo wa kumuuwa kanumba, Lulu mdogo kanumba mkubwa, lulu mwanamke, kanumba mwanaume, na uchunguzi haukuonyesha kama kuna silaha wala sumu iliyo tumika. Mimi nadhani alikuwa tu ni ajali sema Lulu alikutwa eneo la tukio, na kwa ujinga wake, labda mshituko au ujinga tu akakimbia, asinge kimbia.

    Kuna rafiki yangu mume wake alikuwa mzima, wala haumwi kitu, wamekaa sebuleni wanaongea, ghafla mume akaanza kutikisika, haongea, macho yanamtoka, akafa ghafla hapo hapo. Siku ya kufa ikifika imefika tu,

    ReplyDelete

Top Post Ad