DADA ZANGU HEBU WEKENI MAGARI YENU KATIKA UNADHIFU...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku hizi dada zetu wengi wanamiliki magari. Ujio wa mabenki na utolewaji wa mikopo imewafanya dada zetu wengi kumiliki magari na hivyo kuondokana na usumbufu wa kuparamia daladala.

Lakini kuna tatizo moja ambalo nimeligundua kwa baadhi ya dada zetu wanaomiliki magari, usije ukaona Mdada ameshuka ndani ya gari lake amependeza ukadhani na gari lake ni nadhifu, utakuwa unajidanganya, hebu lisogelee kisha uchungulie ndani utashangaa.


Yaani utakuta gari hilo limegeuka kama nyumba:


Humo humo utakuta kuna containers za kubebea vyakula, na huenda ukakutana na left overs a.k.a kiporo ambacho kinasubiri kupashwa moto kwenye microwave ya ofisini.


Humo humo utakuta Wardrobe yaani ndani ya gari utakutana na pair kadhaa za viatu, mikoba, pair kadhaa za mawani, make ups, mateitei, Magagulo, shumizi na vikorokoro vingine.....


Mimi huwa najiuliza kama hiyo ni nyumba au ni gari.



Msije mkanitia vidole vya macho, naomba mjirekebishe.........

Source:Jamii Forums

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kitu chochote ambacho hakipo mahali pake ni uchafu,madada hawa wanajali usafi wa nje tu,ni kama mashangingi ya magomeni yanayovaa gold kibao kumbe ukiona wanakoishi ni kama kiota cha panya.

    ReplyDelete
  2. hyo nyo imewafany kuwa jeuri na kibur cha hali ya ju

    ReplyDelete

Top Post Ad