KWA MARA YA KWANZA MZEE MAJUTO AUTAJA MSHAHARA WAKE ANAOPATA KWA KUIGIZA KWA MWEZI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni nadra sana kwa Mastaa wengi wa Tanzania kukubali kusema kiwango anachopata kwa mwezi kutokana na kazi yake ya umaarufu ila kwa Mzee Majuto ni kinyume, amekubali kusema kila kitu kwenye kipato cha movie zake za vichekesho ambazo mpaka sasa ndio zinashika namba 1 kwa mauzo Tanzania?
Kwa sababu ni kiapo cha millardayo.com kuhakikisha chochote ambacho ni stori unakipata, imempata Mzee huyu Mbembe kutoka Kigoma akiwa ni mzaliwa wa Tanga umri ukiwa miaka 65 na kukubali kuzungumza kwenye hii Exclusive interview.
Akiwa ni baba wa watoto tisa, anakwambia ‘kwenye movie za kuigiza sasa hivi kama mtu akitaka kunishirikisha ni lazima unilipe milioni nane kutoka milioni 2 au tatu nilizokua nazikusanya mwanzoni, hii bei nimeibadili kuanzia mwezi September 2013, mimi kadri ninavyocheza movie nyingie za kushirikishwa ndio nazidi kujipunguzia kipato changu kwa mwezi kutoka kampuni ya STEPS iliyoniajiri’
‘Mpaka sasa nimecheza movie zaidi ya 600 toka nimeanza kuigiza za kushirikishwa na zangu mwenyewe, nilianza kulipwa zaidi ya milioni moja kwenye movie toka mwaka 2007/2008 baada ya kuwa na kampuni ya Ally Riyami ambae alikua ananilipa shilingi laki sita kwa kila movie ya Comedy kwa hiyo kwa mwezi napata mpaka kwenye milioni 6 au saba kutokana na idadi ya movie nitakazoigiza’ – Mzee Majuto
‘kwa sasa hapa Steps nalipwa kuanzia milioni 17 mpaka 20 kwa mwezi, ni malipo mazuri sana ambayo napata kila mwezi na nimepangiwa kucheza movie 9 kwa mwaka lakini kule Ally Riyami kwa mwezi ndio nilikua nacheza hizo movie 10, yani unacheza movie mpaka unasikia kizunguzungu…. kwa sababu nilitakiwa kucheza movie 1 kila baada ya siku tatu ila kwa sasa kwenye mkataba wa Steps nacheza movie moja ya kampuni na moja ya nje ya kampuni, maisha mazuri’ – Mzee Majuto

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wabongo kwa uongo! Wewe Mzee Majuto unalipwa million 17 mpaka 20 kwa mwezi kwa kucheza hizo tamthilia mnazo ziita movie!!!?? Kweli uongo si kazi , kazi kujua kuongopa!! Million 17 mpaka 20?? Nabishaaaa lol

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mimi nabisha,kama kweli nakunya toka posta mpaka kimara,mzee mzushhdi wee

      Delete
    2. Umeona mdau eeh! Maybe na hii ucheshi anao igiza , eti million 17 mpaka 20 ! Lmao

      Delete
    3. Halafu anaomba msaada hii too much tuache uwongo

      Delete
  2. Hongera mzee majuto kama kwa mwezi unavuta 20m hampishani na mshahra anaopata waziri,lakini juzi ulikua unaumwa ukawa unaomba uchangiwe upate hela ya kumuona dkt hela ambayo hata haizidi 1m.kumbe mwenzetu unamkwanaja mrefu,ajili wasanii chipukizi basi kuendeleza tasnia ya tamthila.

    ReplyDelete
  3. we mzee majuto nimsege sana muone.mapengo yale.hizo vichekesho vyako uchafu mtupu alafu unasema movie! hivi we mzee mzima kweli unajua million 20 au unaropoka nikikuangali hata kwa macho hukawahi shika hata million 5 pumbavu juzi tuvulikuwa unaombaomba leo unazungumza pumba maisha yako unayo ishi na million 20 havifanani kwanini.wabongo mnaongeaga uhongo.

    ReplyDelete
  4. m 17 mpaka 20!! mbona kila ck unamuomba mh. pawa tila? acha uongo we mzee.

    ReplyDelete
  5. kumalamamako mzee majuto baba angu mwenyw halipwi hvo we kuma ndo uje ulipwe hvo mkundu huo kuma mkundu pumbu kipele wew

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ai wewe unamatusi! Sasa kwa nini umetukana matusi yote hayo!? Lol

      Delete
  6. Mbona mnakuwa wapumbavu hvyo?sasa mnamtukana huyo mzee ili iweje?wote mliotukana hapo kama mmesoma sana basi ni darasa la saba,iwe kweli au uongo nyie haiwahusu.Mxiuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  7. ajabu ya rahman,
    matusi yote hayo ya nini wazeiya!
    Ndo ivo mzee katiririka anacho make per month,
    maswala ya kuomba msaada hayaingliani kivle bana,
    c unajua mja asili haach asili yake!
    Movie za majuto zinauza kuliko movie zozote kama mlikuwa hamfaham fanya uchunguz wako binafsi na cyo kumshushia mzee majuto matusi,
    nyoko zenu aalaaa!

    ReplyDelete
  8. Mzee ht akilipwa hiyo hela poa sn coz walong 1st., hlf mishe zake kali coz ana vichekesho kwel.

    ReplyDelete
  9. Nyie mnamuonea MIWIVU huyo mzee wa watu.

    ReplyDelete
  10. JAMANI HUYU MZEE SI MNAJUWA KAMA NI MSANII KWAHIYO HAYO MANENO NAYO NI SEHEMU YA USANII

    ReplyDelete
  11. mmmmmh huyu c km babu yenu km c baba khaaaa mituc yote hyo ya nn jmn

    ReplyDelete
  12. Wewe ni zaid ya muigizaj mzee majuto,Hawez tokea mwingine kama wewe.Pamoja na kaz zote ulizofanya bado soko linasubir kaz zako.Tatizo lililopo kwako ni kuwa wasanii wengi wanao kushirikisha hawawez kukuchezesha kwa sababu ya uwezo mkubwa ulionao ukilinganisha na uhandishi wa story na muswada.Mtu pekee ambae ameweza kukitumia nusu ya kipaji ulichonacho kwa uwezo wake ni JB pekee.Hivyo napenda kutoa ushaur wa bure kwako Umakuwa ukifanya vizur zaid ukifanya kaz na JB.Tunasubir kaz nyingine nyingi kutoka kwenu.TUNASHUKURU na KUTUPONGEZA kwa kutuburudisha WATANZANIA na WENGINEO

    ReplyDelete
  13. MNAMTUKANA MZEE WATU BULE.
    1. SI WA UMRI WENU
    2.HIZI ZINAWEZAKUWA NI RUMOUS KWANI MARANGAPI WADAKU WAKITUNGA STORY
    3.MZEE AMEPIGA MATANGAZO MENGI SANA KIPINDI CHA KARIBUNI mf. azam, steps solar, magodoro nk.
    4.UKICHUNGUZA HAWA WALIOMTUKANA WENGI WAO NDIO WALEWALE WANAOTUKANA WAZAZI WAO.

    MLIOMTUKANA MZEE, KING,THE BEST COMEDIAN IN TZ MLANIWE NA CHUKI ZENU ZA ...
    king majuto we hakunaga bongo piga kazi.

    ReplyDelete
  14. Wa2 wanaona matusi dili kwan lazma kla m2 akoment?acheni hzo jaman

    ReplyDelete
  15. Yaani ss watanzania ndio maana tunashindwa na maisha Mzee majuto amesema analipwa 17 up to 20 m bei hizo zimebadilika o zimeanza september 2013 lkn nyuma ya hapo alikuwa anapata kipato kidogo cha sh laki 6 per movie so ilikuwa haki yake kuomba msaada, na hiyo 17 ameanza kuila mwezi huo wa 9 huu wa 10 bado hata haujaisha, ila hiyo yote ni choyo na wivu ila kiukweli fedha hiyo nikidogo kama yeye anaongoza kwakuuza inamaana copie za mkoa mmoja tu zinaweza kutoa hiyo fedha so kwa mtazamo wng bado ananyonywa. TZ amkeni bado vichwa vyenu vina mawazo mgando hasa hao walioandika matusi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wala halipwi million 17 or 20 ! Weww ndio kichwa mgando, anauzia wapi hivyo vichekesho vyako wakati asilimia ya kubwa wanao angalia ujinga wake wanakopy izo VCD sijuwi nini na nani!? We unaijua million 17 au 20 kwa mwezi au unaisikia!!? Mzee Majuto amekua sasa atumie muda wake huu wa uzee kumrudia Mola wake basii .

      Delete
  16. majuto unanuka mavi

    ReplyDelete
  17. Sitaki kuamini mzee Majuto U're not serious 17 to 20 million mmmh nakataa.

    ReplyDelete
  18. Kwa kweli watanzania hamjatenda haki kumtukana mzee huyu maarufu,

    ReplyDelete
  19. Kama Ni pesa analipwa au halipwi Ni yeye wewe inakuuma nini... Inapaswa tumpongeze kwa kipaji alichokuwa nacho.

    ReplyDelete

Top Post Ad