"KIOO KILINIFANYA NIMVULIE NGUO SAJUKI KWA MARA YA KWANZA" WASTARA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wastara   amefichua  siri kwamba kioo ndicho kilisababisha aanzishe uhusiano wa mapenzi na marehemu Juma Issa Kilowoko ‘Sajuki’ aliyefariki Januari 2, mwaka huu.

Wastara aliweka bayana kuwa marehemu Sajuki ambaye alikuwa mumewe, hakuwahi kumtongoza lakini kioo ndiyo kilikuwa chanzo kilichosababisha wajikute wameingia dhambini kwa mara ya kwanza.


Akizungumza na gpl, Wastara alisema kuwa siku hiyo walikuwa wakifanya mazoezi ya filamu moja (hakutaja jina) nyumbani kwake na Sajuki alikuwa muongozaji wa sinema hiyo.

“Ilikuwa ni usiku wa manane tukiwa nyumbani kwangu tukifanya mazoezi ya filamu moja, sasa ilikuwa ni scene ya mapenzi tukawa mbele ya kioo huku tumekumbatiana.




“Tukaendelea hivyoo, mmh! Sasa tulivyokitazama, tukahisi tunaendana. Tukaendelea kujifanyia tathmini na ghafla tukajikuta tunafanya kweli, kioo kilisababisha tukajikuta tunafanya mapenzi,” alisema Wastara kwa uso wa aibu

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ongera dada kwakutowa siriyako ya mapenzi

    ReplyDelete
  2. Uko juu mamito! Wasani mwenzio wanatakiwa kujifunza ktka kwako mpnz

    ReplyDelete
  3. Kumbe ndo zenu

    ReplyDelete
  4. Mambo ya ndani hayasemwi watu kama wewe tunawaita wasungo ,ila umeonyesha mfano bora wa kuigwa kuonyesha mapenzi ya kweli na kudhamini ndoa yako heshima hiyo haitafutika daima.

    ReplyDelete
  5. angalia ujinga wako sasa mpaka ukaamua na kumuacha mumeo wa kwanaza

    ReplyDelete
  6. Kumbe na wewe ndo walewale!

    ReplyDelete
  7. kioo, kioo, aliyekivunja nani, simjui simjui...wastara kumbe ur going so cheap

    ReplyDelete

Top Post Ad