BAADA YA KASHFA YA KUPIGANIA PENZI LA RAY CHUCHU ATIMKIA INDIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya

BAADA mwigizaji Chuchu Hans kukwaa skendo ya kupigania penzi la Vincent Kigosi ‘Ray’ na mwenzake Blandina Chagula ‘Johari’, amedaiwa kutimkia nchini India wikiendi iliyopita kwa lengo la kupunguza stress.

Habari zilizopatikana kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni shosti wa karibu na msanii huyo, zinasema tangu skendo hiyo iliporipotiwa magazetini, amekosa amani na amekuwa mtu wa kujificha sana.


“Amekwenda kwa shangazi yake India, amesafiri wikiendi hii kwa ndege ya Emirates, tena ili kukwepa macho ya watu ameondokea Zanzibar. Ile skendo imemchanganya sana,” alisema shosti huyo akiomba asitajwe gazetini.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ameenda kuuza uchi huyo wasichana wa kitanzania wapo India wengi sana someni jamano lasivyo mtuuza uchi maisha yenu yote

    ReplyDelete

Top Post Ad