DIAMOND JANA ALIKUWA NA BABY AKE PENNY WAKILISHA CAKE YA BIRTHDAY-HAKUNA CHA WEMA WALA NINI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Wakati watu wakiongea mengi na kuzusha Dimond amemwaga mpenzi wake Penny na kurudiana na Wema Sepetu , Wawili hao Walikuwa wakilishana Cake na Kucheza Kitandani kama Watoto wadogo ...kama picha zinavyoonyesha ...Hakuna cha Wema wala nini ...Embu tuwaache Walale Jamani...Dahhhhh

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

38 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. walaaaaaah! na hilo lemba utadhani b chekaa! hvi hapo alipanda kwenye jiwe kumlisha keki nini! badoooo

    ReplyDelete
  2. Hahahahahaaa hainogiiii lione na kofia lake kama muuza maparachichi

    ReplyDelete
  3. Fyuuuuuu walale my fooot,lisemwalo lipo tena lishafikaaaaaa tulianza iv iv na kidot mara mbwaaaaa kikamwagika,aale tu cake ya mwisho mwisho mwenyewe madam yupo njian karibu anafika,na lemba lake ka bi mkora

    ReplyDelete
  4. dmnd mwenyewe mtt wa kiswhl,huyo penny ndo anawezana nae,mshamba mwenzie,xo waacheni walale

    ReplyDelete
  5. Mapenzi matamu hasa ukimpata anayekupenda diomond keep it up let them talk but you know what you are doing!

    ReplyDelete
  6. Mutoto ya Sepetunga ndo mpango mzima kitanda chenyewe kichungu ka mchunga wa sungura hamna alozuia mtu kulaks yeye tu fupi na hofu yake ya kujoketiwa

    ReplyDelete
  7. Hovyoooooooooooooooooooooooooooo...hata haisisimui...libibiiii

    ReplyDelete
  8. Huyu andunje ka bimkora na hilo lemba kubwa kuficha libichwa lake kifupi dai na wema walikuwa wote malaysia pole yako penseli hapo dai anaridhisha familia

    ReplyDelete
  9. ï¼·ee diomond umependa nini kwa penny mtu mfupi kama kutu ya asubuhi!

    ReplyDelete
  10. Hata kama diamond kzushiwa ila we uloiweka hi habar maneno yako yamejaa ushambenga na ushakunaku,inaonyesha una asili ya kaumbea-umbea kidogo na nadhan utakuwa mwanamke mwenye undug na peny

    ReplyDelete
  11. Hata kama diamond kzushiwa ila we uloiweka hi habar maneno yako yamejaa ushambenga na ushakunaku,inaonyesha una asili ya kaumbea-umbea kidogo na nadhan utakuwa mwanamke mwenye undug na peny

    ReplyDelete
  12. ukimuangalia diamond vizuri kwenye hii picha utagundua,hana raha kabisa ila afanyaje,jamaa hana jinsi ila bado penzi lake lipo kwa wema,hiyo ndio hali halisi

    ReplyDelete
  13. Penny kalazimisha sana.. Tena hiyo ya kitandani.. Uwiiiiiih... Dimondo hata miguu hajapandisha tote kwa bed.. Halafu analisha keki kamshika baby wake shingo dimondo ndo kwanza mikono mifukoni... He luks so unhappy jamani.. Analazimisha., penny mshamba sana ndo maana bichwa kama contena.. Komwe limechongoka.. Mkorogo unakubeba ww ngoja nisake picha zako za zamani... Mpyuuuuuu.....!

    ReplyDelete
  14. C alikuwa na mimba huyo demu wake, alizaa ama vp? Maana ndio ilikuwa habar ya mjini kipindi cha nyuma.

    ReplyDelete
  15. Maskini Pennyl,anatumia nguvu nyingi saana kuprove kuwa anapendwa..Imagine unamlisha keki mpnz badili akukumbatie ndo kwaanza kakunja mikono kama anafuinga swala,Cha!
    Penny unapendwa na kina Halima Kimwana,Esma na labda mkwe lkn Diamond NO...Soma alama za nyakati!

    ReplyDelete
  16. HALAFU HAWA WAZINIFU MSIWAPE BICHWA,MARA BABY WAKE,MARA GRIL/BOY FEIEND WAKE,MARA HONEY WAKE WOTE HAO NI MZINIFU NA MWENZIE HALAFU WASANII HAWAPENDANI BALI WANATAMANIANA. Niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete
  17. Hata hainogi kwakwel,Dai wake wema pole sana bi shost na huo mlemba hata sijui nan amekusifia,bayaaaass

    ReplyDelete
  18. hizo coment za0za kumchamba peny zote za mtu mmoja, waachen walale mtabaki hivyo hivyo. mwenzenu pensel anafaid tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. mconsult mwenye blog atakuambia ni za watu wangapi coz yeye ana ip adress zetu...Tako lako

      Delete
  19. Kama niza m2 m1,,me niwe wa pili bs,,,sasa pale penny anakula raha gan.m2 anaumia ndani kwa ndan kuwa hakubaliki katk jamii,,,,hata akipendwa na mama Nasib,,jamii haimkubali,,,2naweza hata kumuogesha tindikali,,,kwanza ni MKONGO,,hakuna mtanzania mwenye kimo chake,,,,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau na mm wa tatu basi kama vipi maana nimecoment na mm humu... lol tena anony 9:56

      Delete
  20. Halali mtu hpo we kinyago hzo cment ni za watu tofaut na usubir kifungia mwaka kinakuja nyoko weee,we peny ndo uliyecoment apo

    ReplyDelete
  21. Penny poooye!hakuna kapo nzuri na itaendelea kua nzuri kama ya Wema na Diamond!acha kabisa!!!!!!hicho ki p kifuuup kama kimba!

    ReplyDelete
  22. Hi Orujonjomogo,,,,Jina hilo limenikumbusha mbali mno,,,,don't change the name!!!,,,Nitakutafuta Orujonjomogo nikija Bongo

    A.London

    ReplyDelete
  23. Lemba limemtoa Kama bi kidude

    ReplyDelete
  24. Amna mkongo mfupi ivo,mi mkongo ila totozi ka Wema, tuondolee hilo li pen hapo.

    ReplyDelete
  25. C wema C peny yote majimama 2 kwa diamond. Peny mfup wema nae ngoz kama kamwagíwa tíndkali mpaka kinyaa. Cjui akimvulia inakuaje??? Majangaz wanagombania kumbebenda 2 mtoto wa wa2!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio fashion mpya kwanza wema anamzidi diamond Miaka 5, wakati ulaya mpaka miaka 20, ila mkoroga sasa tatizo

      Delete
  26. hehehe haina mvuto jaman. BIG NO... Penny kaoge maji ya bahari khaaa..

    ReplyDelete
  27. jana nlikua sijaona hizo sura vizuri,heheeeee hazina ushirikiano kabisa....ngololo anamuwaza wema hapo

    ReplyDelete
  28. Hahaha umenfurahishaje kwel sura ushirikiano zirooooo anamuwaza na kuogopa kukumbatia asije akamuumiza madam wetu

    ReplyDelete
  29. Yan wa2 mnatoka mapov kw mapenz ya wa2. C muwaache wenyewe akiaamua amwage peny aendelee na wema ni uamuz wake mwenyewe mnabaki kutukanana kwa macoments 2 inahuxu nn??? Kwanza midem yenyewe mnayomtongozea huyo diamond yote inatisha.

    ReplyDelete
  30. Kwel wanapgana kumtongozea m2..cjui wema cijui jokate cjui peny kwanza bora hata hako ka jokate kaxura kazur hata rang nzur lakn hyo mengne ngoz mpaka nyama nyekundu za ndan znaonekana. Lolest

    ReplyDelete
  31. Penny huendani kabisa na kaka mchawi Wema ndo kila kitu

    ReplyDelete
  32. mikorogo.kom.penseli.com malaya.com NGOLOLO.COM

    ReplyDelete
  33. alomvika ilo lemba itakuwa bi cheka..

    ReplyDelete
  34. Penny umeshaacha kuuza mkorogo?seriouly nahitaji shost,au siku hiz matawi huuzi tena?

    ReplyDelete
  35. penny mwache diamond achague ampendae kwanza wote wabaya mkizaa nomaaaaaa upendeki ata kidogo tena usithubutu kumnanga wema kwanza wema ni mwanamke aliweza kumwacha diamond alipogundua anatembea na JOCATE wewe mwanamme anatembea mpaka na irine uwoya unamng'ang'ania looo kwasababu wewe ni mbaya wema analipa anapendeka popote pale siyo wewe king'ang'anizi loo utaumbuka

    ReplyDelete

Top Post Ad