DIAMOND NA WEMA WALIKUTANA HONG KONG BADO NI WAPENZI NA WALA HAWAFANYI MOVIE-BONGO5

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kuna sababu zaidi ya 100 kuwa ‘ile inayoitwa’ movie ya Diamond na Wema Sepetu iliyopewa jina na Diamond, ‘Temptations’ haipo na kama unaingoja, utaingoja hadi miguu iingie tumboni. Hakuna movie.
Diamond na Wema Sepetu walikuwa wakila bata na kufurahia kama wapenzi wengine wanaopendana kwa dhati. Kwa kuangalia picha tu, ni rahisi mno kujua penzi zito kati ya wawili hawa. Picha hizo ni ishara kuwa, Diamond na Wema hawajawahi kuachana na Diamond amekuwa akimcheat mpenzi wake Penny.
Wazungu wanasema, kama hujafanya utafiti hauna haki ya kuzungumza, hivyo ili kuonesha kuwa hizi si brabra tu, tumefanya utafiti kwanza.
IMG-20131009-WA0008
Wema, Diamond na binamu yake Romeo wakiwa Hong Kong
Ukweli wa kwanza tulioubaini ni kuwa, Diamond na Wema Sepetu walikutana Hong Kong na sio Malaysia. Wema alienda huko takriban wiki tatu zilizopita na hivyo Diamond alimfuata baada ya kumaliza show yake ya Malaysia. Kwa mujibu wa msichana aitwaye Alice aliyeiambia Bongo5, Diamond alisafiri kutoka Kuala Lumpur, Malaysia kwenda Hong Kong kumfuata Wema kwa ndege ya kampuni ya Air Asia.
“Nilipanda na Diamond flight moja from KUL to HKG tena ilikua ni Air Asia X flight number 567 alipandia KUL-LCC Terminal nilimuona kwenye lounge direct nikashangaa anafanya nini huku na baada kufika HKG sijui hata alipotelea wapi kumbe haya yote ndo alikua akiyafuata hongera zao,” alisema Alice.
Huko, Diamond na Wema wamekaa wote kwenye hoteli moja na mpenzi wake Penny hakuwa anajua kuhusu hili hadi picha hizi zilipoanza kuenea na yeye ameshtuka kama walivyoshtuka wengine.
Haijajulikana picha hizo zimesambazwa na nani lakini kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, kuna uwezekano kuwa picha hizo zimesambazwa na Wema wenyewe kwa kusudi la kumuumiza Penny. Kuna taarifa zimeifikia Bongo5 kuwa, Penny ameumizwa mno na picha hizo na amekuwa akilia siku nzima. Hata hivyo binafsi hatujaweza kuthibitisha taarifa hizo.
Jitihada za kumtafuta Penny azungumzie suala hili zimegonga mwamba kwakuwa simu yake haipokelewi.
18594b3a2d2e11e3bfc922000a9e08f9_7
Penny
Hivi karibu kwenye birthday ya Diamond, Penny alielezea kuwa uhusiano wake na Diamond ndio mgumu zaidi katika mahusiano yote aliyowahi kuwa nayo.
“Not the easiest relationship I’ve ever had..but its the most intresting! When I’m down, he would make me feel on top of the world, my bestfriend, my brother, my soulmate, my baby, my man. My strength, my joy, my love, Ohhh!!! What else do I gotta say? I love u, and its been a blessing to have met you, u taught me that love is just Me&You the rest shouldnt matter or make me loose my sleep, today I ask God to bless u a million more times, the sweetest boyfriend ever!!! Crazie too..unpredictable mind, through the ups and downs Im gona hold you down til God says so..you have taught me that love conquers all, that Love is pain, but the pain is worth the while..I love you baby,” aliandika Penny.
Miaka ya nyuma, Wema na Penny walikuwa marafiki wakubwa lakini kwa mujibu wao wenyewe, urafiki wao uliharibika hata kabla ya wote kufahamiana na Diamond.
“Urafiki hatuna,” Penny aliliambia jarida la Mzuka kwenye makala ambayo haikuwa kutoka. “Mimi sidhani kama nina uadui naye personally, sijui yeye na urafiki hatuna. Let me just say kwamba sio kwasababu ya Diamond. Nadhani mimi na yeye tulikuwa tuna issue zetu nyuma ambazo hazikuwa resolved so tulikuwa tuna distance mimi na yeye. Tulikuwa hatuongei maybe kwa mwaka labda kama sio miezi nane, we had our own issues kwahiyo hatukuwa marafiki vile tena kama tulivyokuwa zamani. So mimi kuwa na uadui naye sidhani kama nina uadui. Mimi am happy unajua, mimi ndo hivyo mimi naishi maisha yangu am happy na nilichonacho am happy with my man, am happy na watu wangu so am good mimi sina tatizo naye kabisa.”
Naye Wema kwenye interview na Mzuka aliwahi kuzungumzia alivyojiskia Diamond kuwa na uhusiano na Penny, rafiki yake wa zamani.
“It’s a free world, kila mmoja ana uhuru wake wa kuishi anavyotaka yeye. They met, they fall in love wameanza mapenzi, mtu yoyote anaweza kufall in love na mtu yeyote asiwe questioned. Love doesn’t ask why, haiulizi kwanini, because alikuwa rafiki yangu then I can’t NO. Wapendana, I wish them all the best. Mimi na Penny si kwamba hatuongei sio sababu ya hii issue, tuna drama zetu tu za huko nyuma kwahiyo hii issue ni muendelezo tu,” alisema.
Ikumbukwe kuwa, Wema na Diamond waliwahi kuingia kwenye ‘kile kilichoonekana’ kama ugomvi mzito, baada ya Diamond kumrekodi mpenzi wake huyo wa zamani alipompigia na kuisambaza sauti kwenye vyombo vya habari.
“Sikuwahi kudhani kwamba Naseeb ni mtu wa aina hiyo kufanya kitu alichokifanya. Though nimesema kwamba nitaacha kama ilivyo na nisingependa kuiongolea lakini nilikuwa very disappointed, very very disappointed,” Wema aliliambia Mzuka.
Tunasubiria kushuhudia muendelezo wa drama hii kutoka kwa Malkia na Mfalme wa drama Tanzania.
SOURCE:BONGO5.COM

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Muingereza wa Kitanzania11 October 2013 at 01:13

    KIRUUUU MAJANGAAAAAAAZ....

    ReplyDelete
  2. Kwa mahaba ulonipa nimenogewaaaaaaa igweeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Nasib bado mdogo nabado anatumia kichwa chake cha chini kugikiria! Penny size yako huwezi kutoka na mwanaume wa Xfriend wako coz is nasty. Wema mama have fun maisha nimafupi enjoy my beautiful onyinye:)
    Penny unajuwa kabisa Dai anakutumia na atakudrop soon like ur hot mama please songa mbele mama usikubali kutumiwa :)

    Kila shetani anambuyu wake na Diamond mbuyu wake ni Wema Sepetu. Nakapenda wote ila nampenda Wema zaidi hehehehe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani wema kaolewa na diamond .mwanaume sio wako Mpaka akuoe

      Delete
    2. Wema hajaolewa na Diamond but ana have fun tu ! Diamond sio wa Wema na Wema sio wa diamond but nimesema wanapendezana aimaanishi kuwa waeowana au wataowana! Just having fun:) usipanic mdau :)

      Delete
  4. Nimewaona kwa macho yangu wakitoka Hollyday Inn Hotel,Hong Kong..tena kulikuwa na hali ya manyunyu,baada ya usiku wake mvua kunyesha..hakuna Movie bana,Kuwa huru Dogo,kiatu kina mbana mvaaji,Wema mtaamu,Cute n Beuty also..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kuongea uhongo kuma wewe ujatoka hata nje ya mkoa kujifanya tu wabongo mnashida. nani kauuliza msukule mweusi.

      Delete
  5. Wasenge wote tumechoka na habari zao ujinga mtupu

    ReplyDelete
  6. Tuache tulale my asss. My. Fungus. Hahaaa. Zamu yako ass ole hahahaaa utalazwa mara kumi mwaka huuuuu

    ReplyDelete
  7. Utaongea nini chacha. Sema chacha. Peny. Moyo unaendaje mbiyo

    ReplyDelete
  8. Yote ni machangudoa yaliokubuhu, yasubiri tu matako yao

    ReplyDelete
  9. Chezea my no one wewe uchezeshwa sana kwakuwa king'ang'anizi domo na wema had kufa penis ulie tu kwa kujishaua.utaloga had utombwe na waganga but wenzio vitu natural mioyo inaitana tu.endelea mama matunguli.

    ReplyDelete
  10. Muandishi kuna vitu huna uhakika nacho,Wema alianzia malaysia ndio akaenda hongkon...then after show diamond alimfuata tena hongkon...ila hua wako pamoja mara nyingi hata alipokua kenya na south walikua wote...nazan umenielewa

    Pili wema na penny walikua marafiki hata kipind wema yuko na diamond en i heard penny alikua anamponda sana D akidai hana hadhi ya kua na wema,kama huamini nenda insta kuna pic wema alishonea weavn fup lenye rangi nyekundu mbele uangalie walikua wanzomeana na penny na the same day alipiga pivha na Dai akiwa na nguo hiyohiyo na weavn hilohilo..nenda insta page ya teamwema..au somebody dougiemasta11 utafute hizo pic

    Nawewe penny kinachokufanya upoteze fahamu ni nin?mtenda hutendwa..muombe mungu akupe ujasiri kama uliokua nao wakati unamchukua mchumba wa rafiki yako.

    ReplyDelete
  11. Penny ni haki yako kuumia make malipo ni hapahapa!ww ni sawa na muuaji!ulijifanya rafiki kumbe nyoka wamtaka shemeji!kikowp?kakutomba kakuacha.

    ReplyDelete
  12. penny njoo kwangu wachana na dai akuchezea shere wacha kujifanya kipusa cheap

    ReplyDelete
  13. diamond mlete wema umtombe hapo kwenye kitanda mnacholala na pencel,usiogope pensel mbona hana noma,amesha ijulisha tz kuwa hawe kukuacha hata ukifanyaje,ukitaka kawagonge mpaka dada zake wote haina nouma mbona wanakukubali jembe?wala uchangaike kilipia hela hotelin wote wagongee hapohapo hom,pensel hana noma,ukikamata dem yyte mtan mpleke home,pen atalala na housegilr

    ReplyDelete
  14. kwel malpo ni hapa hapa dunian nimeamin

    ReplyDelete
  15. penny namjua kwa kuroga 2,mashalah

    ReplyDelete
  16. Eti wanaojileta leta kwa dai ntawaroga hahaha kupora upore afu utie mikwara mbuzi,ndo ujue mapenz hayana uchaw na kuwanga kote mbna dai karud kwa wema

    ReplyDelete

Top Post Ad