LE MUTUZ AWASHUKIA WASANII WALIOGOMEA MSIBA WA BABA YAKE WEMA.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- 
AS USUAL I ALWAYS HAVE TO SAY SOMETHING WHEN THINGS ARE HOT ON THE FACT KWAMBA WASANII WENGI WA BONGO WAMESUSIA KWENDA MSIBA WA MSANII MWENZAO SUPER STAR WEMA SEPETU KWA SABABU HAJAENDA MISIBA YAO, NI SIMPLY FOOLISH THINKING COMING FROM UNEDUCATED FOOLS. OK SO WHAT? KWANI WEMA ALIWAOMBA KWENDA KWENYE MSIBA WAKE? 

LOOK HERE KAMA MIMI SIJI MSIBA WAKO MAANA YAKE NI SITEGEMEI WEWE UJE KWENYE WANGU, FULL STOP!! I CAN UNDERSTAND KAMA WEMA ANGEKUWA WA KWANZA KULALAMIKA KWAMBA WASANII HAWAKWENDA SAWA THEN HAWA WASANII WANGEKUWA NA HAKI YA KUTAMBA KWAMBA WAMEMSUSIA OTHERWISE I SEE THEM PLAYING FOOLS WITH THEMSELVES, MSIBA WA WEMA UMEHUDHURIWA MPAKA NA RAIS WA JAMHURI, MAKAMU WAKE, MAWAZIRI HIVI KWELI ALIWAHITAJI HAWA WASANII MBURULAZZZ FOOLS? OHHH PLEASE SPARE US YOUR FOOLISHNESS, I AM SURE KWAMBA WEMA WALA HAJUI KAMA HAWAKUJA CAUSE I WAS THERE JANA KULIKUWA NA WATU WENGI TU TENA MAARUFU SANA WA KILA KONA YA HILI TAIFA!!


- HAWA WASANII THEY SHOULD ALL GET A REAL JOB 9AM TO 5PM AND STOP BEING CRYING BABIES, WEMA ALIPOKOSA KWENDA KWENYE MISIBA YAO THE MESSAGE WAS VERY CLEAR KWAMBA NA WAO WASIJE WAKE LAKINI JE ALIPIGA KELELE KUWA SIENDI? SASA WAO KWA NINI WANAPIGA KELELE ZA KUTOKWENDA? NI KUJARIBU KULAZIMISHA UMAARUFU KWA NGUVU WALALAHI HAWA WOTE THEY SHOULD GET A REAL JOB NOW!!, BRAVO TO MY SUPER FRIEND SUPER STAR WEMA SEPETU!!! YOU ARE RIGHT ON THE TRACK!! GO! GO! BABY AND IT WAS KOOL JANA THAT I HAD FUN WITH YOUR MAMA SHE IS KOOL!! - LE MUTUZ

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. le mutuz kwa nin i uliachana na mkeo...mbona mzuri vile

    ReplyDelete
  2. pumbavu xana wewe le mutuz,haupaswi kupost ujinga wako,mungu ndo mwamuzi m2 aje kwenye msiba asije mungu ndio mtoa hukumu,usiwaite wenzio foolish au mburula.anza kwanza kujikosoa mwenyewe.umekosa akili.na mda mwingne ukae kimya

    ReplyDelete
  3. Mmmm mambo hayo i'm speechless, anyway ur telling the true if she doesn't attend other actress funeral which means she doesn't want to do anything with other actress. They should stop complain and live Sema alone.

    ReplyDelete
  4. Safi saaana hao bongo move hawana jipya

    ReplyDelete
  5. Lemutuz mjinga sana wewe tena ni mbulaaaz misifa imekujaa.wasanii.wote wale hukuwaona au??? Maneno yako ya udaku wablog yako.peleka hukooo wasaniii kibao walikuwepo kwenda.zako.kwa.mjinga.mweziosinta umeacha.mke mzuriii.kisa umbulaaaz wako

    ReplyDelete
  6. Mjinga mwenyewe nawe unatafuta umaarufu mi naskia leo km kuna fool anaitwa remutuz

    ReplyDelete
  7. Kwanza.wewd.ni.mchafu kuanzia nje mapka ndani una vaa matambala kisa mtoto wa malechela mmmmmm mbulaziiiiiiii wacha kujifanya unaongea huna.lolote raisi akienda ndio ina kuawa????wewe ukienda ndio ina.kuaaaaaaaa???? Blongo zote zina onyesha.picha za.wasaniii.walivyoshiriki kam wengine hamkuwaona waposafari aubiz soooooo maisha ya stop kisa wem kafiwa alafu iwejeee think before you speak unaonge utumbo kama blog yakooo.

    ReplyDelete
  8. we le mu2z ni kuma, naona 2 unajipendekeza kwa wema angalia platnumz asije akakubang' a.k.a akakufira.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Le mutuz mtoto wa malecela Chezea watoto wa mafisadi

      Delete
  9. Kweli wewe ana wapambe yeye hata hajui yanayoandikwa juu yake wenyewe kwa wenyewe mnagongana duu buludani sana

    ReplyDelete
  10. lemutz umewapa ukweli hawa fools kwani wao ni nani kama siji.kwako na kwangi usije ediots. well said big man ungekuwa karibu ningekubeba hawa bongo movie hawana kazi umbe tu.na wivu.

    ReplyDelete
  11. halafu nyie mambwa mnatukana huku kama mmekosa pa kubwekea kabejeeni kwenye mashimo mliyopewa 2KWAN JANA HAMKUSIKIKIA KUWA BONGO MOVIE WAMESUSA MAVI NYIE mnatapika tapika tu mwacheni lemutuz akae

    ReplyDelete
  12. hata kama kamuaacha mke wake inahusuuuu

    ReplyDelete
  13. huyu le mutuza ndo nan mbona cjawah kumsikia au ndo anatafuta umaarufu kwa kuongelea vi2 visivyo mhusu

    ReplyDelete
    Replies
    1. We unaishi porini ndo maana humjui,bwege ww.!

      Delete
  14. awo bongomove wanawivu tu na wema.kwenye ftari wanakuja kimbelembele.kwenye msiba?

    ReplyDelete
  15. awo bongomove wanawivu tu na wema.kwenye ftari wanakuja kimbelembele.kwenye msiba?

    ReplyDelete
  16. hili jamaa ni kubwa ila jinga, kwani wewe LE MUTUZ ni msemaji wa Wema? Amekutuma umjibie? Bongo movies wametoa mtazamo wao kabla jamii haijaanza kuwasakama kwa maswali sasa ubaya uko wapi? Au unatafuta pa kutokea? Kama umekosa la kufanya kaa kimya sio unasema bongo movies ni jobless je mjini unawaweka wewe? Acha dharau kwa kuwa unakula kwa kupitia jina la baba, mshukuru mzee Malecela kwa kuwa mwanasiasa vinginevyo ungekuwa barabarani kama mzee Matonya

    ReplyDelete
  17. Mh hata wewe naye umeongea utumbi tu,bweeege,ati u have fun with wema's mom akati ulikuwa kwa msiba,dat shit u r!@mutuz

    ReplyDelete
  18. angekuwa huku uswailini nahic angefarijiwa na viti na turubai lake manake wamama wauswahilini cio masiala ukizingua nao wanazingua

    ReplyDelete
  19. Bongo movie hawawezi kwenda kwenye msimba wa. Wema, hauna masirahi kwao, hawana access ya kuchangisha michango. Msiba hauwaripi.

    ReplyDelete
  20. hivi kwenda bongo movies ndo kuingia mbinguni?hv mnajua uchungu wa kufiwa na mzazi?ebu acheni maneno maneno yenu wema yote,le mutuz unaweza kuwa sahihi lakini c wakati muafaka,aliyekufa ni binadamu,tafadhalini hajawakosea mzee wa wa2.

    ReplyDelete
  21. yani kwa hili la wema jamani cjui kawakosea nini!mmmh!walimwengu bwana mnaamini story za magazetini!

    ReplyDelete
  22. Kimewauma lemutz kawapa makavu nyie mnaofirwa na baba zenu he he heiyaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  23. Lemutuz kaongea kweli na kingine ninachoshangaa ni kwamba wema hua anaenda kwa hiyo misiba kwa mfano ngwair,kashi,kanumba en sajuki.....sasa shida nin?au wanataka akienda awe anakaa nao?mbona sielewi jaman.....?hawa wana roho mbaya na wajue hawampunguzii kitu..ni mafala sana hawa

    ReplyDelete
  24. wamuache WEMA wetu wagange yao! WEMA we love u so much our one and only Miss TZ ever happened!

    ReplyDelete
  25. kiukweli kama wema huwa haendi kwenye misiba bongo muvi wako sahh

    ReplyDelete

Top Post Ad