MADAMU RITA AZIDI KUONYESHA UKOMAVU-AMPA NEY WA MITEGO SHAVU LA KUWA JAJI BSS

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii Itawashangaza wengi lakini mie nimeipenda sana , Baada ya Ney wa Mitego Kuiponda Bongo Star Search na Kuuliza kama kweli washindi  wanapewa zawadi huku akiwaponda kuwa wamechoka...Madam Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo ...Ataaza kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu kutazama show hiyo....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu nae mm nasikia kwa viserenget mmmm

    ReplyDelete
  2. Viserengeti na vikilimanjaro........ Anapenda kweli kuvinywa

    ReplyDelete
  3. vinamkuna ndo maana anavipenda

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti anatoka na ali kiba wadau?

      Delete

Top Post Ad