MAMA DIAMOND AINGILIA PENZI LA DIAMOND, WEMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Mwandishi Wetu

MAMA mzazi wa mkali wa ngoma ya Number One, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ ameingilia kati penzi lililofufuka upya kati ya mwanaye na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu.
Habari za chini ya kapeti zilitonya kuwa baada ya kuambiwa na kuoneshwa picha za Diamond akiwa kimahaba na Wema alikuja juu akidai kuwa hamtaki Wema kwa kuwa anamkubali zaidi Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda nyumbani kwake Sinza-Mori jijini Dar wikiendi iliyopita, bi’mkubwa huyo alisema kuwa kwa sasa hafahamu chochote kuhusu Diamond kurudiana na Wema zaidi ya kusikia kwa watu na kuona picha katika mitandao ya kijamii.
“Kuhusu Nasibu (Diamond) kurudiana na Wema, nasikia tu na kuoneshwa picha namsubiri Nasibu arudi kisha nikae naye ndipo nitatoa tamko,” alisema mzazi huyo.
Mapaparazi wa Ijumaa Wikienda kadiri walivyozidi kumchimba mama mkwe huyo wa Wema ni jinsi gani anavyojisikia kuhusu tabia ya kubadilisha wanawake kama nguo, ikizingatiwa yeye ni mzazi haoni kama mwanaye anamfedhehesha alisema kuwa hayo ni maisha yake.
“Hayo ni maisha yake na mwenyewe kwa kuwa ameshazoea kuonekana katika magazeti kila wakati mi niongee nini wakati ndiyo maisha aliyojiwekea,” alimalizia kusema.


Imeandikwa na Shakoor Jongo na Musa Mateja.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama hataki Domo haoe kwani yeye anakaba hadi penati kila siku yupo beneti na domo hamwachi apumue,Ile domo awe na mwelekeo kimapenzi inabidi huyo mama na mawifi waishi nyumba kwingine ili domo awe free

    ReplyDelete
  2. Yeeees mdau umenena!!

    ReplyDelete
  3. maskin akipat bhan matako nay hulia mbata

    ReplyDelete
  4. Eti ndio maisha yake kaamuwa kuwa anabadilisha wanawake nakutoka kwenye magazeti! Kama unalijuwa hilo basi muache mwanao achaguwe mke anae mpenda sio kumwingilia uhusiano wake wakimapenzi kwa manufaa yako mwenyewe. Kwanza kwa nini huyu mama yuko single? Atafutiwe mume akakae kwa mumewe amuache mwanae apumuwe! Mama mkwe kaa jipu la utosi tupa kuleee hahahaha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha nimekupenda bure

      Delete
    2. Asante Kwa kunipenda buree ;))

      Delete
  5. Baba angu yuko single mama dimond kama uko tayari reply.maana ukaribu na mwanao umezidi hadi kuingilia na mapenzi yake.wema ndo mpango.penny kijeba ahaaaaaaaaaa tupa kule mshikaji amekusaahau mpaka leo hajarudi miezi sasa.

    ReplyDelete
  6. Domo ni mtu wa kuoa? Poleni nyinyi mnaomwona ni mtu wa kuoa, ila ukweli kwamba huyu jamaa ni CHANGUDOA mwanzo hadi mwisho, kibaya zaidi kakutana na hili Changudoa la kike lililokubuhu Wema ndio hovyooo...

    ReplyDelete
  7. unadhani huyo mama anaweza kuongea nini kwa diamond!!! yeye mwenyewe kula kunywa mpka nnya anamtegemea huyohuyo! lazma awe HEWALA BWANA! hlfu nae aaache kumchagulia mwanae wanawake huyo nassib! balaa zingine anazitafuta mwenyewe huyo mama

    ReplyDelete
  8. duuh,hili nalo neno jaman!

    ReplyDelete
  9. duuh,hili nalo neno jaman!

    ReplyDelete
  10. Bora mama domo Huko upande wa domo maana mngemuua penniel Kwa ugonjwa wa moyo.anadai wamechuma Mali pamoja kwa hiyo ndoa iwepo no matter what.

    ReplyDelete
  11. Penny kitu gani bhanaaaa!! Tupa kuleeeeeee!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. Ss mama mzaa chema unakosea kn unataka mwnao awe na furaha mwache awe na yuke moyo wake unataka kumbuka huyo wema ndo alikuwa na mapenz ya kwel mwanao tena kipind hcho huyo penis alikuwa anamponda dai kuwa sio type ya wema leo iweje na yy ampenda km sio ujambaz na unafiki nini usiniambie na ww limbwata la tanga limekukolea au ndo unzauga kijikosha kwa penis

    ReplyDelete
  13. Kwanza mkwe gan ht kumtambulisha kwa watu inataka moyo wa ujasiri ndio maana mwanao safar zake zote anaenda na wema,huyo penis asiwazuge kwa kuvaa ngoz ya kondoo wakt ni paka shume lililokubuhu mkamuona ndo mke sahih wa kuwa na dai mmebugiii meeeniiiiiiii wema anampenda dai na dai anampenda wema kubal kataa itabak kuwa ivo no matter waatttttttttt,mama mkwe umenielewa acha watoto wako wafurahie kitu walichokikosa kwa mda mwingi kwa sbbu ya ufisadi wa haterssss

    ReplyDelete
  14. Teaam daiwema hapa 4reverrrrrrrrrrrrrr

    ReplyDelete
  15. Anampa moyo2 Penny coz hawez kumpaka. Mojakwamoja lazima ampetipeti kidogo asije muua mtoto wawa2,ila yemwenyee anajua Wema kwa mwanae ndo kilaki2...Wema oyeeeeeeeeeeee.....

    ReplyDelete
  16. daaaaaaaaaaah! kaz ipo!!!!

    ReplyDelete
  17. Na ninyi mnaoshobokea maisha ya DOMO IKO SIKU ATAWAOMBA NA NINYI. fanyeni yenu nae afanye yake. Pumbavu zenu vimbelembele wote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pamoja na ww kimbelembele mwenzetu

      Delete
    2. Mdau umemjibu xwadomo vizuri mwaaaa lol. Kimble mbele mwenzetu umetupataa? hehehee

      Delete
  18. WEMA NDO KILA KITU KWA DOMO. HUYO PENNY KAZEEKA UTAFIKILI BIBI WA MIAKA 70.





    ReplyDelete
  19. utazeeka haujaoa!!

    ReplyDelete
  20. Yaaap and domo na wema age zao ni sawa ni vzur kuliko penseli biiibiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Age zao Si sawa Kama huna hakika kaa kimyaaa diamond mkubwa Kwa wema for 1year,he is one year ahead.

      Delete
  21. photoshop inafanya kazi sijawai ona......

    ReplyDelete

Top Post Ad