JAMANI TUWASAIDIE,WEMA NA JOKATE WASHIKANA MASHATI KUHUSU SURA ZAO,KILA MMOJA ANAJINADI KUWA YEYE NI MZURI ZAIDI YA MWENZAKE...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hawa wote  ni wasanii maarufu  wanaojulikana  kimataifa na wenye sura  zenye  mvuto...

Ni  wasichana  jasiri  na  wajasiliamali  wanaojua  kuisaka  pesa  na  wasio penda  kuwa tegemezi.Hapa  nawazungumzia  Wema Sepetu  na Jokate  Mwegelo 


Kumekuwa  na  ushindani  wa  chini chini  kati  yao  kuhusu  sura  zao  kiasi  cha  kuzua  mjadala  wa  nani  ni  mzuri  zaidi  ya  mwenzake....

Mmoja  akivaa  nguo  hii leo, mwingine  naye  ni  lazima  aitafute  nguo  kama  hiyo  hiyo  kesho aivae  na  kuitupia  mtandaoni ili mashabiki  walinganishe  na  kutoa  hukumu.

Hizo  ni  picha  zao  2  wakiwa  ndani  ya  vazi  la  pundamilia. Na hapo wako   mbele  yako  wakiomba  UWAHUKUMU ili  kuukata  mzizi  wa  fitina..


Hukumu  yako  inaombwa  izingatie  kigezo    cha  SURA    tu na  siyo Tabia  zao....Je, nani  ni  mkali  zaidi  ya  mwenzake?

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

61 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimi ndo namvuto..

    ReplyDelete
  2. Jokate wa ukwel bhana

    ReplyDelete
  3. Wemaaaaaaa joketi hana inshuu kinaiga tu hakina hata dam ya ustar kanaforce# wema for life bby#

    ReplyDelete
  4. Jokate hanaga mvuto nimesoma nacho chuo hata akipita hashtui kitu wema sepetu bwana ndo habari ya mjin jokate tupa kuleeee

    ReplyDelete
  5. Tumeulizwa mwenye ni mrembo zaidi,jamani kudisi sio vyema bt mimi naona jokate ndio mwenye anavutia coz ha beauty iz natural unlike wema.

    ReplyDelete
  6. Wema panga butu ila jokate kisu chenye ncha kali nandhan mnaelewa saaaana jokate mzuri sana muumba hapo alitulia saana ajipambie dunia yake

    ReplyDelete
  7. Wema ndo habar ya mjini kwa sasa ww, huyo joket bado sanaa

    ReplyDelete
  8. Mdogo wangu catherine mzuri kushinda wooote hao..

    ReplyDelete
  9. jokate ndio mpangu mzima ! wema kishazeeka makalio yenyewe yakutengeneza kwa madawa sio oriji!

    ReplyDelete
  10. Cousin yangu jasmin,haisee ni kisu hatare..

    ReplyDelete
  11. DEMU WANGU BHANAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  12. wemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  13. Wema waukwel babaaaaah..!

    ReplyDelete
  14. My baby mama ni balaaa..

    ReplyDelete
  15. mi ndio mzuri zaid yao.ila kwa kuwa mmeweka hao wawili mimi wema ni mkali.

    ReplyDelete
  16. Kiukwel Wema Sepetu ni mrembo,ana haiba ya kike ile yenye mvuto wa mapenzi na huwa hazoeleki kwenye macho ya watu kila siku yeye ni mpya na Jokate ni mzuri kuliko Wema ila hana mvuto havutiii kabisaa hata ukutane nae hapo kwanza huwez jua kama umepishana na Jokate simply kwasababu ni mzur ila hana mvuto au tunaita nyota ya muonekano wa kimapenz na kawaida.

    ReplyDelete
  17. Yote madege yaliyozeeka au skendo zao magazetini zinawazingua, kuna watoti wabichi kibao ebu tutoleeni hiyo midege.

    ReplyDelete
  18. Wote vidampä nzuri pesa.

    ReplyDelete
  19. MBONA MMETUONYESHA SURA YA WEMA YA JOKATE MMEFICHA NA MIWANI, HATUWEZI KUAMUA KULINGANA NA PICHA HAZIFANANI, LAKINI BASED ON OTHER PHOTOS ZAO WEMA ALIKUWAGA MZURI KULIKO JOKATE LAKINI ALIPOANZA KUJICHUBUA UZURI WOTE AKAUFLASH CHOONI, KABAKI MAKALIO TEPETEPE, NGOZI YA CHURA, MAKUNYANZI KILA KONA. LAKINI YOTE TISA KUMI JOKATE NI MBAYA WA ASILI KUANZIA SURA HADI TABIA

    ReplyDelete
  20. JOKATE BABY! KITU NATURAL, SURA NZURI ILIYOHARIBIWA NA MKOROGO TUPA KULE. JOKATE ALL THE WAY

    ReplyDelete
  21. Nyie wenye hii Blog ni wachonganishi sana. munafanya kila aina ya uchonganyishaji ili mupate habari za kuuza. Anyway Wema ndio mpango mzima. huyo jokate mshamba tu, kuonekana mzuri hadi akenyue mdomo

    ReplyDelete
  22. Wote wanamatatizo wema kaathirika na mkorogo wakati Joketi naye kaumizwa na ukubwa wa boo la hasheem. hawezi kuwa na mwanaume mwingine akafurahi ngona mpaka apate abnormal mwingine

    ReplyDelete
  23. Wote wanamatatizo wema kaathirika na mkorogo wakati Joketi naye kaumizwa na ukubwa wa boo la hasheem. hawezi kuwa na mwanaume mwingine akafurahi ngona mpaka apate abnormal mwingine

    ReplyDelete
  24. Wema Wema Wema Wema

    ReplyDelete
  25. Wema mzuri ana mvuto jokate kakomaa sura

    ReplyDelete
  26. huyo joketi uso km anaskilizia boo la hashim huyo wema uso wa harage wakwendege mzr mm tu mamaa SAM wa ukweee haro haro

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aii wewe demu wa sam ni mbaya una sura kama mkundu na hivi hujui kuvaa utadhani housegirl mamayo endelea sana kutafuta umaarufu na huupati koz sam wa ukweli kashafulia na kwenye raman ya gemu hayupo poyeeee...Tunda la msimu

      Delete
    2. we tunda la mcmu kweli FALA sam unaemjua n huyo hawara ako alokutoa marinda tu nyoko weeeee m mbaya wakat nkishuka mtaa wenu mtanipa umis world

      Delete
    3. natamani mkutuc ila nshagundua huna akil eti kumamayo mamako ana kisoda???? senge la kike we kundu lako

      Delete
  27. Mbona hata miss tz walisha tangaza hakuna vitu vya kujirudia, miss tz siwaligombania pamoja nani alichukuwa the ladie boss so hakuna haja ya kushikana mashati anaposimama Wema,jokati inabidi atulie. Joketi u'r cute bt kwa Wema unasubiri mamaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. apo umelenga, Joketi kwa Wema lazma asubili!!! wema mkali cku zote...

      Delete
  28. Wema mzuri.. Mnaosema siku hzi kajichubua sijui nn mbona sasa kabla hajajichubua alimtupa kule jokatr kitu cha miss tanzania..wema mzuri with or without mkorogo.. This chick z just blessd...!

    ReplyDelete
  29. wemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  30. WEMA NI MZURI SAANA KWA JOKATE UKIONGEZA NA NYOTA YA KUPENDWA ALIYONAYO ,JOJO ANASUBIRI MIAKA MIA TISA..jokate hata awepo mahali yani uwepo wake ni wa kawaida saana kama mtu mwngine tu lkn Wema duuhh watu walitaka kufa Mwanza ktk ukumbi wa Gold Crest baada ya kujua wema yumo ndani ukumbi ulifurika within no time hence kukawa na uhaba wa hewa ikabidi polis ihusishwe na Wema aondolewe pale,HAPANA CHEZEA NYOTA YA MADAM!!

    ReplyDelete
  31. domo ndo anajuaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. pata pepsi kwa mangi mdau hapo juu teh teh

      Delete
  32. Wema for showing off bata sana nn na nnn"but Jokate mke jibu unalo.

    ReplyDelete
  33. WEMA NI MREMBO! KIDOTI HUWA SIKAPENDI NA LIMDOMO KULIBENJUA BENJUA BAYAAAAAA!

    ReplyDelete
  34. wote machangudoa, tena makahaba kama vp muulizeni DAYAMONDI atawapa jibu. niite ORUJONJOMOGO,
    .

    ReplyDelete
  35. Mimi si mtanzania lakini kulingana na hizo mavari na sura imemtoa vizuri Wema,na sura pia ako juu ninalomhimiza tu ni asitumie mkorogo lasivyo atajiju.

    ReplyDelete

Top Post Ad