NAOMBENI USHAURI:BOYFRIEND WANGU ANATAKA NIMPE RAHA NA UTAMU WAKATI MIE BADO BIKIRA,NIFANYEJE?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23,naishi kigamboni,nimemaliza chuo mwaka jana.Nina Tatizo linanisumbua,nashukuru Mungu nimeweza kuvumilia kwa muda mrefu bila kulala na Mwanaume.Nimeweza kuhifadhi zawadi nzuri yenye thamani kubwa ambayo kwa mwanamke mwenye Heshima zake anastahili awe nayo kwa ajili ya kumpa mume wake baada ya kufunga Ndoa(namaanisha kuwa mie bado bikra).


Tatizo Linalonisumbua ni kwamba kila muda Boyfriend wangu ananisumbua anataka nifanye nae mapenzi,nikimnyima anasema kuwa simpendi,na kiukweli mi nampenda tena sana,na ninajisikia vibaya ninapomuona mpenzi wangu amenuna amekosa furaha,Kwani hakuna Njia nyingine ya kumfanya aniamini kuwa nampenda bila kufanya nae mapenzi? Ninachotaka mimi Nimpe Penzi kwenye Usiku wa Fungate kama Zawadi Special kwa ajili yake lakini Naogopa nikiendelea kumnyima nahisi ataniacha au atanisaliti akapate ninachomnyima kwa wanawake wengine,Naombeni Ushauri Nifanyeje?

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. peleka posa kwao ili mfunge ndoa kama yeye bado hajawa tayari kuleta posa kwenu

    ReplyDelete
  2. Njoo kwangu mi tasubiri adi 2oane

    ReplyDelete
  3. kama bado bikra na hutaki itolewe mpe mkundu tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umetisha mdau

      Delete
    2. nilishawahi jaribu hiyo akainidanganya akailazimisha kwingine,yaani alianza nyuma alipozidiwa akaniingilia mbele.

      Delete
  4. Acha uongo,kama kweli nitafute.

    ReplyDelete
  5. Kama kwel anakupenda naamin atakusubir .cha muhmu ni kuangalia muda gan umebak ktk maandaliz yenu ya harus ni kwel anaweza kukusalt kwa hiyo nakushaur kaa naye mueleweshe.

    ReplyDelete
  6. acha kuzngua watu ww,hyo bikra ya kutengeneza?,maan hyo style uliyokaa inaonyesha wazi kuwa mchezo unaujua,thn kam kwl unayo we mpe jamaa aichape,ukijifany unasubili fungate sijui itakula kwako,i mean atasepa huyo........!

    ReplyDelete
  7. ONGERA KWA KUJITUNZA ILA TAMBUA UKIMPA IMEKULA KWAKO NA USIMRUHUSU AINGIZE HATA KICHWA MAANA NOKIA YA TOCHI HAINA MABEGA INAZAMA YOTE. MSIBITISHIE KUWA UNAMPENDA ILA MAPENZI MPAKA NDOA KWA ZINAA NI MBAYA SANA.
    ANGALIZO KWA WOTE; kuharibikia ukubwani ni kubaya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau kweli umenena.( kuharibikia ukubwani ni kubaya yes) endelea kumshawishi akukubalie but usithubutu kumfunuliya sketi please.

      Delete
  8. Mmh mpe mchezo jamaa maana sikuhizi watu hawanunui mbuzi kwenye gunia.unaweza kuwa bikra na bado mkaoana na akakuacha.mapenzi si bikira mdada kuna mengi zaidi ya hilo.wala hiyo sio guarantee ya kuolewa.makahaba wazoefu wameolewa wewe mpe mchezo jamaa kama umegundua kweli anakupenda

    ReplyDelete
  9. Hongera sana kwa uvumilivu uliokuwa nao ila jaribu kuwa makini, bikra inamchango mdogo sana katika kufanya ndoa idumu, chamsingi hapa kama unaamini jamaa anakupenda kweli basi mshawishi muingie kwenye ndoa mapema.

    ReplyDelete
  10. Ushauri wako ni Kimeo kweli we mdau uliemshauri ampe mkundu, tena inaonyesha wew unatoka mikoa ya pwan that's why ushauri wako umebase kwenye hayo mambo

    ReplyDelete
  11. duh ni wewe ndo wakujiita bikira loh juz tu umemegwa pale white....hotel. niseme na chumba au!?utani wanini humu tafuteni ushauri wa kweli bana

    ReplyDelete
  12. Usidanganyike na maneno ya wa2,tulia na mshawishi mumeo mfunge ndoa mapema kama inawezekana!

    ReplyDelete
  13. Dada kama unasema kweli unamoenda je na yeye anakunda? Jibukama anakupenda na yeye natakiwa ahishimu msimano yako na mfanye haraka muowane kinyume cha hapa hakupendi ila anataka kuharibu maishayako.

    ReplyDelete
  14. Achia tunda hilo lishaiva we unataka mpaka lioze mambo ya kutunza wapi na wapi

    ReplyDelete
  15. Bikira co kigezo cha kuolewa na unavyoonekana we bikira hata ukumbuki ulitolewa lini unataka kuzingua hapa Mpe MKUNDU kwanza aonje.

    ReplyDelete
  16. Naomba ninukuu maneno yafuatayo:Mwanaume anaweza kupenda wanawake hata mia"ila Mwanaume wa kweli anaweza kupenda mmoja ktk mia. Kama una ndoto kweli awe mume,na yy pia anakuhitaji atakuelewa na kukuvumilia Haya yote yanatokea.

    ReplyDelete
  17. bikra sio kigezo cha ndoa nilisubiri mwisho akapewa mwingine akavunja bikra mi nikanyimwa mwisho wa siku ndoa siku funga nae na yule aliyevunja bikra nae akamtosa mwisho ameolewa na mwingine hapo jibu utakuwa nalo

    ReplyDelete
  18. toa kundu akigoma mpe kumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  19. shikilia hapohapo hakuna kutoa kitu

    ReplyDelete
  20. Ningekushauri ila kwa bahati mbaya, mim ni mgeni kwa mambo haya.

    ReplyDelete
  21. duh nakuonea huruma umetnza bikra yako bt uliemtunzia hana hata bkra

    ReplyDelete

Top Post Ad