SINTAH "EMBU FANYENI KAZI NA MJENGE TAIFA..ONGELEENI VITU CONSTRUCTIVE..UNAMCHUKIA MTU UNAMJUA?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya watu kuandika sana about Diamond and Penny siku ya Birthday ya Diamond ..sinta ang'oka na kusema haya : 

"Watu wako kwenye dimbwi la mahabaaaa, muwawache kwa kweli, kuna mijitu mingine oooh mapenzi ya kuforce khaaa, unayajua mapenzi ya ku force wewe?? angetulia ktk camera?? muwaache wapumzike kwa raha zao jamani, na kina kuuma nini haswa? pilipili ya shamba ya kuwashia nini?? hebu tulia na ufanye yako badala na wewe umliwaze wako unakesha insta ku comment mbofumbofu kibaya una cc huoni utakuwa mtu mzima ovyo una akili zako umefungua insta kama mtu ana kukera just click unfollow na utulie ukiendelea ku follow you love em, kuwasumbua watu, yaani ningekuwa mie Martin nisinge hangaika kuwajibu why unapoteza your energy kujibu mtu usiemjua na umemjulia ukubwani ktk social network oooh Lord ahsante kwa moyo wangu wa ujasiri coz si entertain  ujinga. 

huo muda ulipoteza ku comment na kujibizana na wajinga wenzio kuhusu watu ungesoma kitabu cha dini unayoiamini na Mungu angesikia maombi yako.

Waacheni wapendane afterall mapenzi ni mapenzi na kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho sasa either of the two mbaya ama mzuri jipangeee 
utakuta dume zima lipo busy ku comment nonsense  khaaa neenga pipo gatta time and energy. 

siku ya mwenzenu kuzaliwa badala ya kumtakia kila la kheri Mungu amjalie na kazi zake anazozifanya mnakalia majungu na uswazi.com daah wabongo ni nuksi. 

hebu fanyeni kazi na mjenge taifa huko ongeleeni vitu constructive. 
 unamchukia mtu unamjua?? jichukie mwenyewe kwa roho mbaya. 

CEO SINTAH"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMLIKI WA HII BLOG NA BLOGGERS WENGINE, EBU ACHEN TABIA MBAYA YA COPY AND PEST, HABARI MOJA IKO BLOG ZAIDI YA 20, NA HII NIMEISEMA HATA KWA BLOG NYINIGNR NAJUA HAWATAIRUSHA, ACHEN HIZO, MSIPENDE HELA YA MTEREMKO, TAFUTEN HABAR NA LETEN WATU TUSOME, NDIO MAANA MANGE ANAKUWA JUU, WATU WANAKALIA TU KUMCHIKIA, SABABU YEYE MAMBO YA COPY NA PEST NI MWIKO HATA AKIFANYA KWA HABAR CHACHE UTAFURAHI MWEYEWE, KUWEN WABUNIFU.UMELALA TU NYUMBANI NA KUANZA KUAPLOAD HABARI KUTOKA KWA WENEZENU WALIOFANYA KAZI, TENA HASA MNAONGOZA KWA KUCHUKUA HABAR GLOBAL PUBLISHERS, ACHEN HIZO, ASIYEFANYA KAZI NA ASILE.manapata UMAARUFU kwa habar za wenzenu.

    ReplyDelete
  2. Mwenye roho mbaya hilo li PENNY kuchukua bwana wa shoga wake.. Mwanamke mchafu sana huyu... Na anapenda sana pesa., mmxxiiiiu yani vijisent ndo asaliti heshima ya urafiki na shosti wake wa karibu.? NDO MAANA LIBAAAAAYAAA..! Bichwa kubwa limepinda kama mdudu wa kiwi...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani walioana diamond na wema .mwanaume Mpaka aoe ndio status inabadilika

      Delete
    2. Malaya wamejazana humu ndani... Kwa hiyo ww so long as rafiki yako hajaoana na boyfrend wake unaweza kumchukua.? Kitobo cha katikati ya makalio we!!

      Delete
  3. HAHAHAHAH PENNY KAZI UNAYO BIDADA!

    ReplyDelete
  4. Hakunaga mapenzi ya kuonyesha dunia mnapendana huo ni usanii pole Penny

    ReplyDelete
  5. huyo Cinta mbona yeye hatuoneshi Bwanake wala mtoto wake , aache ushabiki maandazi Penny anakazi ya kujikomba kwenye hiyo Familia

    ReplyDelete
  6. Peny ni changudoa wa hadji ya chini alikuwa anajiuza maisha club na hskuna aliyekuwa ana mnunua akamuondea dai kwa mganga hapo alipo kabobea kwa kusaga wanawake wenzie hasa majimama ulizen upanga na kariakoo

    ReplyDelete
  7. ila tuache yote penny kapata, anakula rahaje, hicho kitanda, hilo li mansion, aiseeeee hadi namwonea wivu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tafuta na ww shoga wako mwenye bwana mwenye hela umpore basi na ww ufaidi... Ptyuuuuuuu..! Usitetee uvundo sie

      Delete
    2. Shoga unaonekana ni mwizi sana wa mabwana za watu hasa wenye hela....mwibie basi nawewe huyo penseli nawewe ule raha...hovyooo sura ka kibuyu

      Delete
  8. Ha ha ha ha ha, wanawake wa mji huu wengi wao ni washirikina sana tena afadhali ya huyo penny maana kiongozi wao ni Shamimu Mwasha, dada anapenda waganga yule simpati picha, anajifanya mpole na mstaarabu, hana lolote mchawi mkubwa anaficha makucha yake, mnafiki nambari moja, mchonganishi balaa, ndiyo maana anazidi kukomaa uso siku hadi siku, na alicyonyoa na nywele ndiyo kabisa utasema bibi yuleeeeeee mzaa baba. Mashoga zake nyie akina sintah hebu mshaurini mwenzenu huyo Mrs. Sembe aache ushirikina inatosha sasa, kama ndoa kapata nini sasa anatafuta huko kwa waganga, kucha kwa waganga, lohhh aibu we bibi.

    ReplyDelete
  9. Goldigger namba moja dar city ni....???? Ni.....?? Penny....!!!! Mwanamke kha hata mshipa wa aibu hauna..:
    1. Kumsaliti mwenzio sababu ya tamaa za pesa za diamond
    2. Kuwa king'ang'anizi ilhali unajua mwanaume HAKUPENDI (hata baada ya fumanizi la uwoya bado ukamganda dimondo)
    3. Kujikomba kwa familia ya dimondo ili dimondo asikuache
    4. Kuwa muongo na kudanganya una mimba kumbe ushachomoa

    ReplyDelete
  10. Sinta nitakusemea kwa juma nature ili akutungie nyimbo nyingine, kumbe bado huna nidham,ndo mana hamwolewi,mwamke gani una maneno ya kishakunaku namna hii,umekosa sifa za kuwa mke wa mtu

    ReplyDelete
  11. HIVI SINTA MIMBA YAKO NADO IPO AU TUMESHAIFLASH???? Maana picha za zanzibar za juzi tumbo sikulielewa..., aiseee kama umechomoa nakupa salut.. UMETISHA..! Maana zat pregnancy waz oredi bigi..lol

    ReplyDelete
  12. Hahaaaa mjini kuna mambo jaman,huyu peni kama kukoma amekoma najua hapo mwili utapungua bila diet wala gym...ila penny utaja lia sana we dada kama una akili jitoe taratibu ila kama bado uko kwa mashindano shaurilo...wat goes around comes around...bye

    ReplyDelete
  13. Mwenye ngozi ndo achunwaye,,,,mwache diamond achunwe,,,akifulia atachunwa nn ndo kipindi chake cha kuchunwa hiki

    ReplyDelete
  14. Penny kakomaa nyie.. Ana mwili mgumu hata hautikisiki.. Mwanamke raha uwe mteke eeeeh.. Hata kama haujajaza lakini kitu kikoshikwa soft kinabonyea.. Khaa PENNY mbaya jamani mweeeh..! Ndo maana aliachwa na mtu fudenge akaopoa kitu cha odemba.. Maana ya PENNY : cheap, hore, bitch , betrayer, ugly, low class.. Hahaha halafu hauna nyota.. HAUNA KICK..! Pouleeeeee!

    ReplyDelete
  15. Hivi peny alishawahi kuwa na bwana permanent zaidi ya diamond mana sijaskia alafu mchafu huyu binti sijaona muoneni tu kwa picha hajipendi anajua kupaka mkorogo tu ila ananuka chipi hatari uliza mashoga zake na kikwapa cha mdomo anacho

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau mm nimesoma nae huyo shule moja iko kule salasala mbezi "jina nahifadhi". Tumesoma darasa moja, alikuwa na mshamba hakuna mfano... Alikuwa mchafu hakuna mfano.. Yani mdau hujakosea uchafu ni nature yake...

      Delete
  16. yaan mdau uliyemtaja shamim umenikosha manake tabia zao ye na dina marios hazitofautian now dina lina mimba kujifanyaga m2 fulan wa hali ya juu ckujua kama atazaa bla ndoa

    ReplyDelete
  17. Duhh mjini kuna mambo jmn !!!!!! Mmmhhh.......hizo ndo FURSA twenzetuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. haha mdau fursa ni balaaaaaa twenzetuniiiiiii jamaaaaaaa

      Delete

Top Post Ad