SIRI NZITO KUHUSU MAUAJI YA MCHUMBA WA UFOO SARO,NDUGU HAWAAMINI KUWA ALIJIUA MWENYEWE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SIRI nzito imetanda juu ya mauaji yaliyotokea hivi karibuni ambapo mama mzazi wa Mtangazaji wa ITV, Ufoo Saro aliuwawa kwa risasi na anayedaiwa kuwa mchumba mtarajiwa wa mtangazaji huyo, Anthery Mushi ambaye pia ni mzazi mwenzake. Mwili wa Anthery Mushi ambaye naye inadaiwa alijiua baada ya kufanya mauaji hayo umesafirishwa leo kuelekea Uru, Timbirini Mkoani Kilimanjaro kwa mazishi.
Bado siri nzito imetawala tukio hilo la kikatili ambalo limesababisha vifo vya watu wawili, yaani mama Ufoo Saro, Anthery Mushi mwenyewe aliyetenda tendo hilo na kujeruhiwa kwa risasi ‘mchumba’ wake (Ufoo Saro) ambaye bado amelazwa Muhimbili kwa matibabu.
Tayari ndugu wa Mushi wameanza kuhoji tukio la mauaji kwa mtazamo mwingine baada ya uchunguzi wa maiti kuonekana ndugu yao anayedaiwa kujiua kwa risasi ya kidevu, kukutwa na jeraha la risasi sehemu nyingine mwilini tofauti na ile anayodaiwa kujipiga yeye.

 FAMILIA hiyo imevunja ukimya na kudai kuwa inapata wakati mgumu kuamini kwamba ndugu yao alijiua mwenyewe. Imesema suala hilo inaliachia Jeshi la Polisi lishughulikie ili kubaini undani wake.

Kaka wa marehemu, Isaya Mushi alidai hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wakati mwili wa Mushi, aliyejiua kwa kujipiga risasi na kumuua mama mkwe wake, Anastazia Saro pamoja na kumjeruhi mchumba wake Ufoo, ukiagwa.

Mushi alidai wapo katika wakati mgumu wa kuamini kwamba ndugu yao alijiua mwenyewe, kwani haiwezekani mtu akajipiga risasi sehemu mbili ambazo ni kidevuni na upande wa bega la kushoto.

Alidai sio kazi yao kutoa hukumu, kwani wanasubiri upelelezi wa polisi kutoa jibu lililo sahihi kuhusiana na tukio hilo.
Baada ya kifo cha ndugu yetu, wanafamilia tulifanya uchunguzi wa awali na bado linatuwia vigumu kutambua upi ni ukweli kuhusu jambo hilo kuhusiana na kifo hiki,' alidai.

Kaka huyo alidai katika uchunguzi wa madaktari, walibaini kuwa marehemu alijipiga risasi mbili sehemu tofauti.
Akisoma historia fupi ya marehemu Mushi, Muhimbili kabla ya kusafirisha mwili huo kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi, ndugu wa marehemu, Isaya Mushi ameliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa busara juu ya tukio zima ili ukweli wa tukio zima ujulikane.
Alisema kwa taarifa ambazo wamezipata kulikuwa na kutokuelewana kati ya wapenzi hao yaani Saro na Mushi na ndipo walipolazimika kwenda kwa mama yake na mwanamke na alishindwa kutatua mvutano huo ndipo uamuzi huo mgumu ulifanyika. “Tukio hili ni kubwa sana na sisi limetuumiza sana…manake marehemu alikuwa mtu mpole, mkimya, mwadilifu na mchapakazi aliyekuwa akitegemewa sasa imetustua na uamuzi uliotokea,” alisema msemaji huyo wa familia.
“Tunaliomba jeshi la polisi kufanya uchunguzi kwa kutumia busara maana kuna utata wa kauli na matukio halisi. Marehemu amekutwa na majeraha ya risasi mbili, moja inasemekana alijipiga mwenyewe lakini na hiyo ya pili ni utata…sasa uchunguzi ufanywe ili kuondoa utata,” alisema msemaji huyo akizungumza na mtandao huu.
Hata hivyo alisema bado kuna utata na ukweli haujulikani hivyo wanaimani labda atakapo pona Saro ataweka wazi juu ya janga zima kwani yeye alikuwa sehemu ya tukio na shahidi namba moja.
Aidha baadhi ya ndugu walisema kuna siri nzito juu ya tukio hilo na ukizingatia kwamba Mushi alikuja Tanzania kutokea nje ya nchi alipokuwa kikazi kimya kimya bila hata kumjulisha kaka yake jambo ambalo inaonesha kulikuwa na msuguano kati ya wapenzi hao wawili.
“Haiwezekani lazima kuna kitu kimefichika hapa…Mushi alikuja Tanzania kimya kimya kitu ambacho si kawaida yake na ukiangalia baadhi ya vitu alivyokutwa navyo baada ya kutokea kwa tukio hilo unabaini kulikuwa na tatizo kubwa kati ya wawili hawa…tunataka ukweli uwekwe wazi kama kuna dhuluma yoyote imefanywa ijulikane,” alisema mmoja wa rafiki wa karibu wa marehemu Mushi.


Marehemu Anthery Andrew Mushi alizaliwa mwaka 1973 na hatimaye mauti yamemkuta 2013.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Au walitaka kumwua jamaa akawa anajitetea nini?hiyo risas ya bega imetokea wap tena?

    ReplyDelete
    Replies
    1. nyooo msubirie ufoo mwenyewe aje kuongea achen porojo,ufoo ndo anajua mkasa mzma fala we!

      Delete
  2. NANI ANGEMUUA WEWE WAKATI WATU WALIPANDA DARINI????ACHA KUZUA HUYO ALIKUJA TZ KUUA TU.
    LA TUMSUBIRIE UFOO APONE ATUAMBIE NI KWA KINA.

    GIJOZ

    ReplyDelete
  3. watz mnapenda kushabikia ujinga ina maana wakina ufoo n mama yake walitaka kumuua?we anoy wa kwanza acha kiherehere

    ReplyDelete
  4. Hakuna mwenye kufahamu ukweli zaidi ya.Ufoo

    ReplyDelete
  5. Wamuue kwa kipi na nn kilimludisha tz kwa gafla.we unazan mtu akitaka kujiua hawezi kujipiga lisasi mbili

    ReplyDelete
  6. dah jamaa wa kwanza yupo sawa mtoto na mamake wanaweza kuwa walipanga inshu nzima ili ionekane jamaa alijiua kumbe njama zao jamaa kujitetea wakamuulia mbali,sasa wewe risasi ya pili imetokea wapi hebu wewe fikiria sio munambishia jamaa bure.

    ReplyDelete
  7. Kausheni basiiii, Mbona mnaendekeza ushanta?
    Nani alikuwa eneo latukio hapa?
    Au kuna ufoo mwingine humu? Kausheni mwenyewe atasema ukweli ikombidi, ila msizue zue mfikiriavyo.

    ReplyDelete
  8. WAMACHAME POVU LINAWATOKA HAPO JUU,NYOOO..KAMA WALIWEZA KUMDHULUMU MALI ZAKE ALIZOZITAFUTA KWA SHIDA HUKU AKINUSURIKA VIFO VINGI HUKO SUDAN WANGESHINDWA NN KUTAKA KUMUUA???MI NAAMINI WALITAKA KUMUUA NDIO AKAJITETEA KWA STYLE HYO,YES!!mwanamke unabadili hati za vitu vya mpnz uliyezaa nae na kumhamishia mamaako,utashindwa kumuua huyo mpnz????Shenzy type kwa UFOO NA VIMBURU WOOTE mnaogeuza wapenzi wenu madaraja ya mafanikio bila kujali upendo wanaowapa...NA DAMU YA ANTHERY MUSHI IMTAMBAE UFOO MILELE AMINA,NA TAYARI KESHAJICHURIA,NANI ATATAKA KUOA AU KUWA MPNZ GOLD DIGGER KAMA UFOO TENA...WAMACHAME MY FUNGUS,KUMANINA ZENU!!

    ReplyDelete
  9. Wamachame ndio zao kuua wanaume zao. Nawajua hawa watu. Yawezekana ufoo ndio kaua hata mama yake mzazi. Labda alimpora jamaa gun katika purukushani ikafyatuka na kuua maza halafu jamaa akala ya bega then ufoo akala zake halafu ufoo katika akaona usenge huu akaamua kumfyatua jamaa ya kidevu ndio maana yeye mzima. Kumamake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kuma ya baba ako mboo ya mama ako acha usenge mbwa wew unayetombewa misumar na kufirwa kwa gunzi ushahid unao matako wew baba ako ndo aliuliwa au?koma na ukome

      Delete
  10. Na nasikia kuwa hata mama ake Ufoo alikuwa kashaachana na baba ake Ufoo kitambo alikuwa na mwanaume mwingine

    ReplyDelete
  11. kaua bana kilakitu kipo waz ila sababu ndio hatujui

    ReplyDelete
  12. MALI KITU GANI CHINI YA JUA?WATU HAWATAKI KUMJUA MUNGU WANATAKA MALI MATOKEO YAKE NI KAMA HAYO JAMANI, UPENDOOOOOOOOOO !

    ReplyDelete
  13. mwanamke mshenzi saaana na tamaaaa zitamuuuwa km bwawake kafanya kazi huko vitani amerizki maisha yake sasa wamemdhulumu ndio karudi na hasira hakuna mbuzi hata mmoja akakubali kudhulumiwa km yy rijali huyo mwanamke nae angekufa tuuu ila cha moto atakiona kumamama mamamma ye zake na mamam yake.

    ReplyDelete
  14. duh watu mna mitusi hatareee!!!! alaaa kumbe ufoo ni mmachame? bac hakuna cha kushangaa hapo!wapo kipesa zaidi!!! pole kwa familia ya mwanaume

    ReplyDelete
  15. kaeni chonjo na wanaake wa kichaga

    ReplyDelete
  16. Na mm mchumba wangu ni mmachame kwa hilo tukio nimeisha achana nae coz tabia yake nayo ilikuwa hivyo hivyo kama ya ufoo,jamani mwanamke wa kichaga hafai kabisa.

    ReplyDelete
  17. Mnanikera sana na iyo sttaement yenu ya wanawake wa kimachame ni wauaji

    ReplyDelete
  18. sio wanawake wote wa kimachame wanatabia hizo kuna wanaojiweza kimaisha sasa haangaike na vijisent vyako vya kazi gani

    ReplyDelete

Top Post Ad