KUHUSU TAARIFA YA JOHN MNYIKA KUJIUZULU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana mitandao ya kijamii ilijazwa taarifa kwamba jana jioni, John Mnyika (Mb) alimwandikia barua ya kujiuzulu Katibu  Mkuu wa CHADEMA.

Ofisa Habari Mwandamizi wa CHADEMA, Tumaini Makene (0752 691569) alijibu kwa kukanusha kuhusu taarifa hizo na kuongeza kuwa kwa muda uliotajwa, Mhe. Mnyika alikuwa katika shughuli za chama akitimiza majukumu yake.


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
Akasema taarifa hizo ni mradi wa kutengeneza uongo unaofadhiliwa na watu kwa sababu ya, “kuwasumbua wanachama na Watanzania, lakini pia kutaka kuonesha kuwa kundi la wasaliti na wanafiki ndani ya chama linaungwa mkono na watu makini ndani ya chama ambao kama wangekuwa upande wao, wangesaidia kundi hilo kuondoa taswira hasi linalopata mbele ya jamii. Wanatafuta uhalali walioupoteza kwa kufanya harakati za kusaliti mapambano.
Mioyoni mwao wanaumia kweli kweli kuonekana wanaungwa mkono na watu wasio wanachama wa CHADEMA, ambao wengine wanalazimika kwenda kuwanunua pale feri Posta na Kariakoo ili waje kuwashangilia Mahakamani na kukimbia barabarani.
Tunajua wanaumia kutumia mamilioni kukodi watu kuja kulia kwenye msiba wasioujua wala usiokuwa wa kwao, huku wakidai ujira hadharani.
aliandika Makene kwenye tovuti ya MwanaHalisiForum
Kubenea katika tovuti hiyo aliandika, “Nathibitisha ifuatavyo: Nimeongea na Mnyika muda huu, amenihakikishia kuwa habari hiyo siyo ya kweli. Hajajiuzulu na wala hana sababu ya kujiuzulu.  Anasema, hawezi kuungana na watu wanaokivuruga chama. Anaipenda Chadema na anaamini ndiyo chama bora kwa sasa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CHADEMA ni upuuzi mtupu.tupa kuleeee pumbavu hao! Chadema wote

    ReplyDelete
  2. Chadema chama langu miaka 800 mungu ibariki chadema ever

    ReplyDelete
  3. CHADEMA NDO MKOMBOZI WA MTANZANIA MVUJA JASHO, MASKINI, MNYONYWAJI. Ckumuung mkono msaliti wa chama. MUNGU IBARIKI TZ

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chadema ni ukabila ebu fanya utafiti wako kuna wanachama wote pamoja na viongozi wao wote ni wachaga na wapare ,Hatuitaki chadema

      Delete
  4. Mungu nibariki,bariki CDM wabariki na viongozi wake watie nguvu ya kumshinda ibilisi shetani na wafuasi wake(CCM na Viongoz wake) AMEN.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe utakuwa mangi kabisaaaa, maana ndio mnaotetea huu upuuzi , ibilisi na mashetani wako Chadema

      Delete
  5. Cdm ako juu,juu zaidi.hata ccm wanajua

    ReplyDelete
  6. kidumu CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, eeh Mwenyenzi Mungu ibariki Chadema, ili tuondokane na haya mafisadi, malafi, yasiyomjali mtu.

    ReplyDelete
  7. sema chadema mkomboz wako na watu wa kaskazin usiseme tanzania famba wew

    ReplyDelete
  8. Hi there superb website! Does running a blog similar to this take a great deal of work?
    I have very little expertise in programming however I had been hoping to start my own
    blog in the near future. Anyhow, should you have any recommendations or techniques for new blog owners please share.
    I know this is off subject but I simply needed to ask.
    Many thanks!

    My web page Phoenix seo

    ReplyDelete

Top Post Ad