DIAMOND ABWATUKA"NASIKITISHWA NA WASANII WANAO PENDA KUTENGENEZA UGOMVI WA KILAZIMA NA MIMI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Muda si mrefu Diamond Amefunguka haya hapa chini kuhusu wasanii wanasanii wanao tafuta beef za lazima kutoka kwake ...Jisomee

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hujajuatu ni wivu hayamapumbavu yanamuonea mtt w watu mara analoga nanyie kalogeni mbna wote mnaweza s mshrikianetu. Majungu hayasaidii kitu kabisaaa mupendane acheni kuwaziana mabaya maana mkiskia kafa au kapata ajal mtatoa sadaka mwachen jamn ametoka mbal kimaisha ajitahd asaidie familia yake nanyie mbn mnachana tu wasanii wetu pendaneni achen kugombanishwaaaaaa.

    ReplyDelete
  2. Hapo kuna Juma Nature, Ali kiba na Fid Q kwambaliii..

    Fid alimdisi diamond kwenye nyimbo yake ya siri ya mchezo!

    Nature nae kamdis kwenye ngoma yake hii mpya aliyofanya na jide!

    Alikiba kila mtu anajua kwamba ana bifu na diamond na yeye ndo anasema ana sauti nzuri na anajua kuimba kuliko diamond..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Fid Q Siri ya mchezo..

      Usmati anaotinga, majumba mandinga za bwana Almasi je hizi track za harakati ni ujinga?

      Delete
  3. Fanya kazi achana na waswahili

    ReplyDelete
  4. ETI DADA MONDI NATURE MCHOKOZI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we !kumbe yule nae mgomvi,mswahili yule kama uchawi anaujua yeye,,.diamond hapo akili yote ipo kwa tako la huyo dada,,kijana wako anacheka huko nyuma eeeh,im sure kama diamond angekuwa mkorofi asingedumu na wachezaji wake hadi leo,mwacheni atengeneze nyimbo nzuri,,nyimbo zake zinaniburudisha.

      Delete
  5. Dada mondi mambo

    ReplyDelete
  6. duh ni kwere aisee mi shabiki namba 1 wa nature mbili fiq,uko kwa kina dada mondi namkubali domo anavojitaid kiba pia mkali ila c kweli ngosha amedis bana anaelimisha jamii tu coz anachokieleza ni elimu zaidi,kibla sijauskia huo wimbo..domo anapambana na maisha yake its goods,tuwe positive tu kwa kila mmoja...

    ReplyDelete

Top Post Ad