ETO'O AHUSISHWA NA KUDANGANYA UMRI WAKE. EX-GIRL WAKE AFUNGUKA.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Tatizo la Chelsea ni kukosa wafungaji, nina Eto’o ambaye ana miaka 32 au labda 35 nani anayejua?”.
Hiyo ilikua ni kauli ya kocha Jose Mourinho akimzungumzia Samuel Etoo na baadae mpenzi wa zamani wa Eto’o aliongea kuhusu umri wa mchezaji huyo kitu ambacho kimewashangaza watu wengi.
Anna Barranca alikuwa mpenzi wa zamani wa Eto’o na kupata mtoto mmoja wa kike ambaye hivi sasa ana miaka 11 amesema Eto’o ana miaka 39 kuelekea 40 na sio 35.
Mwanamke huyo amesema kwamba alijua kuhusu umri wa Eto’o wakati wapo Cameroon kutoka kwa mtu ambaye alikua pamoja na Etoo tangu utotoni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. inahusu nn kama yuko vizuri ki mchezo si basi

    ReplyDelete
  2. Kama ana miaka 39 kuelekea 40 angeweza kumudu kwenye game vizuri jamani?

    ReplyDelete
  3. age ain't nothing but a numberrrrr!!!

    ReplyDelete
  4. huyu naye hakaulizwa wala nn anataka kiki na stress zake za kuachwa muone uso umempalama khaaa zungu pori weee

    ReplyDelete
  5. Amevurugwa huyo 7bu ameachwa...kwanini hakusema mpk waseme engine...Punguza hasira mama hata mm naweza kkupunguzi Upweke...!!!

    ReplyDelete
  6. kwani ana cheti cha kuzaliwa? au ameachwa anaanza mbwembwe?

    ReplyDelete
  7. hilo liko wazi halifichiki wachezaji wa westen africa kupunguza umri ndio zao.Kizee cha kuanikwa juani lkn kinasema kina miaka 32 uongo mtupu na wamesha anza kushtukiwa

    ReplyDelete

Top Post Ad