HII KALI DAKTARI FEKI MWINGINE AKAMATWA MUHIMBILI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana February 25 Uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na watu mbalimbali wanaofika kwa ajili ya kupatiwa huduma za matibabu katika hospitali hiyo.
Taarifa kutoka Muhimbili inasema ni Tukio la tatu kutokea katika hospitali hiyo ingawa matukio ya namna hiyo yameshawahi kuripotiwa katika baadhi ya hospitali kubwa za serikali kwa baadhi ya watu wanaotumia mwavuli wa fani ya udaktari kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Msemaji wa Hospital ya taifa Muhimbili Aminieli Aligaesha amemtaja Daktari huyo feki kwa jina la Kitano Mustapha na kubainisha kuwa katika upekuzi uliofanywa na maofisa usalama wa hospitali hiyo wamemkuta mtuhumiwa akiwa na kadi tatu za kliniki,namba za simu za madaktari na wauguzi katika hospitali hiyo huku wakitambua kufanya hivyo ni kosa kwa mujibu wa sheria zilizopo na kanuni za utabibu.
Daktari huyo feki Kitano Mustapha amekana kutohusika na utaperi huo kwa wagonjwa mbali mbali wanaofika kupata huduma za kimatibabu na kusema hawezi kuongea lolote mpaka Mwanasheria wake awepo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata kama mmemkamata, hela yangu lazima mnirudishie, kwani mambo ya ulinzi hayanihusi mimi mgonjwa, ninachojua ni daktari wenu kaja nimpe hela nami nikampa. kama vipi mshahara wa mlinzi ugawanywe nipate changu. malaya nyie

    ReplyDelete
  2. bongo maisha magumu, tutauuana wenyewe kwa wenyewe kwa ujinga huu wakutokuwa makini kwenye mambo muhimu, sasa huyu dokta aliingiaje humo na kufanya kazi bila kugundulika bila uzembe wa mtu fulani, hivi vitu inabidi watu fulani kwenye management wawajibishwe ili iwe mfano.

    ReplyDelete
  3. wajidai ni uongo daktar feki haez ingia na kufanya kaz haya shame on u muhimbil madactat wa pale wana tamaaa km huna ndugu pale lazima ulizwe kabisaaa cna hamu eti opereshen ndogo milion 7 nyoko zenu kafen na tamaa zenu

    ReplyDelete
  4. udaktari ni wito, pia serikali waongezen mshahara madaktari haya majanga yapungue

    ReplyDelete
  5. hao wasenge walio wakuta no. zao za cm ndo wanamjua limebuma wamemgeuka

    ReplyDelete
  6. Kwanza hiyo iayosema ndio hosptal kuu ya Rufaa, ni sehemu ya kuwamaliza WATANZANIA hamna uduma, madawa na wal hakuna vitendendea kazi,hawagizi madawa ya kutosha toka njehii nchi bali ufisadi tu, wagonjwa wanapata tabu na kuaga maish ni kw sababu ya jinga wa hawa viongozi wanaondekeza ufisadi tu, hii nhi ya ajabu hata madawa tu wanashindwa kuagiza bali wamejaa ufisadi sehemu kubwa sisi hapa wabongo tunangaika tu

    ReplyDelete

Top Post Ad