INGIA HAPA KUANGALIA PICHA ZA WATOTO MAPACHA WA MENGI NA JACKLINE WALIVYO WAZURI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jamani  so so cute .....Au unasemaje Mdau wangu ..Embu tupia comment Basi ...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

79 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. gold digga wa maksimam, fedha kweli balaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Gold digger at her best.Hivi Mie Mbona siwezi kuwa na Mzee kwa ajili ya pesa .pesa hizi

      Delete
    2. Utakufa masikini kwa kusubiri kijana mwenzako..

      Delete
    3. Hebu nika bebe box .Babu MZEE sana Huyu akili.Kuna u gold digger mwingine way too much

      Delete
  2. Hivi huyu babu angekuwa hana pesa uyu dada angemkubali!? Pesa ni sabuni ya roho jamni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Probably wala wasingekutana. Lakini kumbuka ni kwamba kuna watu wanapenda kuwa na watu wenye mafanikio na msimamo. Huo ndio msimomo wao. Imetokea Mengi anamafanikio makubwa zaidi. Mimi sitaoa mwanamke asiyekua na mwelekeo wa mafanikio. U only live once. Siku jema

      Delete
    2. Asante kwa ulewa wako. Nafikiri wengi wetu tunapenda na kufuta mafanikio na si uelewa! Good luck katika safari ya mke mwelekeo na mafanikio. Your right YOLO

      Delete
    3. Pesa kwa sasa akija kufa madeni yalipwe kwanza atabakia chaliiii.Mengi Ana madeni haswaaa

      Delete
    4. We! Kuma na li-roho lako la kutu unadhani kama ww?

      Delete
  3. Unadhani ni sawa?watoto wako wapewe maswali ?

    ReplyDelete
  4. Mmmmmh so mwaaaa

    ReplyDelete
  5. so cute jaman, hongera sana Mrs Mengi.

    ReplyDelete
  6. hivi huyu baba hanaga mke??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkewe mercy separated.She own half of IPP media

      Delete
    2. Akifa mengi ndio utajua mercy mama Abraham ni nani.Huyu babu anawaza future ya kampuni na WAFANYa kazi wake .

      Delete
    3. Huyu klyn anacheza watoto wa mengi wakubwa zaidi Yake aombe mengi afya

      Delete
  7. Ushauri wangu wa Dr Mengi hao watoto wahakikishe na DNA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulikuwa Kwenye brain yangu

      Delete
    2. Changa la macho,hao Watoto Mmmh namashaka.

      Delete
    3. Hawafanani na kaka na dada zao (Watoto wakubwa Wa Mengi)sura zao tofautiiiiii du DNA inahusika.

      Delete
  8. Hakuna mapenzi yaliyopangiwa umri! Kipenda roho hula nyama mbichi jamani! Bila shaka huyu mnaomwita mzee Mengi alimuona mtoto kwenye umaarufu wake akampenda akamuimbisha mtoto kakubali. Akapewa mapenzi akaridhia akaamua kuzaa naye kosa liko wapi? We unayemshauri Mengi akawapime DNA watoto twambie kama umemshuhudia Jackie akiwa na mwanaume yupi, lini na wapi. Tuache mizengwe kwa watu waliofanikiwa kinachotakiwa ni kuwapongeza na sisi tupigane kufikia mafanikio

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli mdau, huyo ana roho ya kwa nn

      Delete
  9. mtoto kapenda pesa hakuna mapenz hapo tunadanganyana tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwavile wewe unapenda pesa/ au unadate na mwanamke anaependa pesa unahisi kila mtu ni hivyo tuuu....Akidate na maskini mngesema kapenda kweli au kapenda njaa? ukiona mtu anaropoka kama wewe hivyo ujue umekata tamaa ya maisha. yani mtu asidate na mtu mwenye hela tiyari kapenda pesa....jikubali

      Delete
    2. ntokeee bhana wee angetokewa na mzee SMALL ngekubali kitu cha ukwel PESA SABUNI YA ROHO hapa n maisha bora tu chezea

      Delete
    3. Haya tafuta muokota makopo au mwenye nyumba ya nyasi u date naye..nadhani utafurahia sana mapenzi ya dhati

      Delete
  10. Replies
    1. Wala sio haibu. Mapenzi sio ngono tu, nimatunzo, kuelewana,uaminifu, kutakiana kheri. Sasa ibategemea wewe lipi ndilo lenyo muongozo zaidi. Sasa kama ni ngono na rika lako then mengi atakuwa afai.

      Delete
    2. naona wanawake wapenda wanaume wenye pesa mnamtetea sana,domo kbla hayawa staa hakuna mwanamke aliekuwa anamtaman ila sku hz anacharaza mamiss tuuuuu,mamae zenu

      Delete
    3. Na manaume yalivyokuwa mbumbumbu yanajua dhahiri Fulani kanipendea pesa lakini hayaoni.hakuna penzi hapo demu akisikia nyege anakwenda kwa YaHAya kumtoa nyenge zake,asalaleeeeeeeeeeee

      Delete
  11. Umri cyo kitu kwenye mapenzi

    ReplyDelete
    Replies
    1. nyokoooooooooo,mbona mnavpapatikia vibabu vyenye pesa tu mbona vibabu visivyo na pesa hamvitaki nyoko yako

      Delete
  12. Watu wanapenda kuhukumu wenzao, nani sasa hv asiyeipenda pesa? Nani aliye ndani ya moyo wa J. Ntuyabaliwe akajua kuwankampendea Mengi pesa? Acheni kuhukumu ili msije mkahukumiwa kwa maneno ya vinywa vyenu na fikra zenu. Hongera M & J

    ReplyDelete
  13. Eti mzee! Yaani vitu vizuri mle ninyi tu, mmesikia wapi kuwa wazee nao hawapendi kula vitamu? acheni hizo bannah

    ReplyDelete
  14. Huyu dada nasikia alishawahi kuolewa na mzungu iko vp?

    ReplyDelete
    Replies
    1. alitafuta mzungu miaka nenda akupata...ndo akampata mengi.

      Delete
  15. wa2 wanajua ku2mia fulsa

    ReplyDelete
  16. Mwanaume mbaya Ni asie na hela

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huu ni ukweli

      Delete
    2. Nina lishemeji langu bayaaaa jeusiiiii lakini linahela basi mademu wanajipanga kwa foleni,mbaya ni asiye na mkwanja.

      Delete
  17. Achen wivu dada kapata wake katulia mlitaka aendelee kuhangaika na vijana tena mseme hajatulia

    ReplyDelete
  18. .Watoto wazur.....ila ngoja mzee afe utajua wachagga wakoje

    ReplyDelete
    Replies
    1. mhhh nao wachaga watajua Wahaya wakoje! chezea banyamlenge weyeeee

      Delete
    2. Kazi kwelikweli pesa maua

      Delete
  19. kamata fursa twenzetu

    ReplyDelete
  20. hehehehehe mbona mzee small duh hahaha

    ReplyDelete
  21. Jaman watoto wazuri hao...mpaka nimewataman. Hongera mamii...

    ReplyDelete
  22. Umri namba tu havihucan na mapenz

    ReplyDelete
  23. Mmmh awajanyonya lkn wana afya!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hajawanyonyesha Kabisaaaa ,ni maziwa ya kopo kwa kwenda mbele,Wana afya mashallah.

      Delete
  24. Jamani Klyn ni Muha-mtu wa Kigoma sio Muhaya.
    Watoto wazuri, Mungu akukuzie mwaya.

    Acheni majungu nyie mbwiga...mnatamani Fursa ya mwenzenu loooo...MTAJIBEBA na ROHO za kwanini!mmetakiwa kucoment kwa watoto nyie mwaingilia uhusiano wa Mengi na Klyn UNAWAHUUUUUUU.....kama kafata pesa au mapenzi ya kweli si yeye

    ReplyDelete
  25. umri ni namba tu.wanapendana hawa na wametulia.watoto wazuri sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. kaolewe na mzee small basi bumbavu zako

      Delete
  26. Mbona Madiba alichukua motto mdogo (Graca) akaweka ndani watu hawakusema jamani? tena mzee yule ulikuwa unajua kabisa chini hakuna kitu...
    mapenzi sio ngono...

    ReplyDelete
  27. Kinje ana hela,mzungu Wa msumbiji hela,mzee Wa ipp ndo usiseme,hela can speak

    ReplyDelete
  28. mmmmh! minapita tu,macho hayana pazia.

    ReplyDelete
  29. chozi la mke wa mengi litawatafuta mengi na jackline, wewe mengi unafikili usinge kuwa na pesa angekutaka huyo jack, umechuma na mama wa watu leo unakuja kumdhalilisha unafikili roho aimuhumi mama watu ungejua uyo jack anakung'ong'a tu na kukuzomea , yani ungeona iyo sura yako mengi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mnajua peni za spedo?ndio biashara oliyofungua neema,mama Mengi alikuwa anajituma,bless you mama,Leo kina Jackie wanakula kiulainiiiiii,ningekuwa mama Mengi (mercy)ningetumbukiza mtu jiti la mkundu.nasikia mama Mengi anaona aibu kweli.Jackie ni golddigger

      Delete
  30. Ndoa ya mama Mengi na mumewe ni ya kanisani,Leo mzee Mengi akidondoka mama Mengi atatafutwa na sio wewe Kama unaakili chuna buzi wakati liko hai,maviwanda yote andika Jina la Watoto unaodai ni Wa Mzee machache.

    ReplyDelete
  31. Kwanini Watoto hujawanyonyesha?Kama plastic surgery umeifanya juzi tu usikesingizia ni plastic surgery

    ReplyDelete
  32. plastic surgery ya wapi tena..du hi dunia ina mengi.ila huyu binti kama ana akili afanye mambo ya maana sasa hivi maana any thing can hapen any time.kama aliachwa mke wa kanisani na wa ujanani sembuse yeye

    ReplyDelete
  33. Jack Acha kumchoresha kaka yetu kwenye mitandao!!! Pumbavu jiheshimu kite wewe!!! Umeiba Bado unajinadi!!! Koma kbs! Watoto wenyewe ajawanyonyosha!!!

    ReplyDelete
  34. kuna tatizo gani hakuwanyonyesha.au anaogopa kuzeeka

    ReplyDelete
  35. HEEEE MSILOLIJUA LITAWASUMBUA, WATOTO NI WAMENGI ++ HIHIII WAMEPANDIKIZWA UFARANSAAA MTAKESHA HUMUUUU...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jackie!mbona unaanza kufichua siri za ndani?kupandikiza mayai inahu?si ujinyamazie tu,Kwahiyo ndio kusema babu kageuka Michael Jackson ?asalale

      Delete
  36. Uwiiiiiiii!!! Nimepata jibu!! Kumbe walipandikizwa mmmm!!!! Angekuwa mwanamke aliekamilika Kama sisi Si angepata kwa kawaida tuuuu!!! Jamani Mungu anachapa weeee subiri!!! Kiruuuuuuuuu!!! YESU iruwa!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwikwiiiiiiiiiiiii nimechekaaaaa wamepandikizwa?sasa jibu la swali langu Nimepata kumbe Yale maneno.... Yaliyokuwa yanazungumzwa na bin Adam ni kweli?mmmmh ngoja niishie hapo.

      Delete
  37. Walibatizwa kwenye kanisa la kisereni Machame kwa Aibu zao!!! Waliona Aibu kubatiza azania! Kumbe Wa kupandikizwa????? Uwi!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahiyo huyu baba hawezi kumpanda Mwanamke mpaka wapandikize mayai?nielewesheni,Jackie Kama hutaki kujadiliwa umu usiweke mapicha yako na babu wako kwenye mablogu dear.

      Delete
  38. umbea bhana, tabu ndo zinasumbua.

    ReplyDelete
  39. jamani aibu kuzaa na mume wa mtu ?siri anaijua mwanaume anajua kapata nini huko na ingekuwa hampendi asingeweka weka wazi mnatopoka mikundu nyie yenu mmeyaweza wengine humu ndoa zimewashinda waume wameshatafuta vya nje mnatakiwa kujifunza sio kuongea upuuzi hapa wacha wale maisha watoto wazuri Mungu awajalie mema

    ReplyDelete
  40. Hakuna asiependa maisha mazuri muacheni Jackie ajilie vyake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndo kam'goa madam rita dunia hii kweli mzunguko

      Delete
  41. mmmmh kuna anayetaka shida hapa?
    mwacheni Amorette ale raha zake.

    eeeeeh hamuoni babu kawa kijana now!!
    ponda raha mdogo wangu!! hakuna age ilowekwa katika sheria muhimu huko under 18 basiii.
    kwanza wanawake hapo ndiyo poa. ukiolewa na kijana mwenzio atakuacha barabarani wewe ushaanza kuzeheka yeye anaanza ujana!!

    ReplyDelete
  42. Nothing wrong with her. Ye ni binadamu na hata Mengi ni binadamu pia. Mr. Mengi nae ana moyo anahitaji upendo, anahitaji mapenzi kilicho waunganisha sio miili yao bali nfsi na roho zao. Tuwaache maana wamefanya maamuzi yao kwa sababu zao na furaha zao kila mtu ana utashi wake maadamu hakuna aliyetukanwa wala hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa waacheni na maisha yao. Furaha ni zaidi ya kila kitu dunia hii so waacheni wafurahie furaha yao

    ReplyDelete

Top Post Ad