JAMAA ATEMBEZWA UCHI MJINI BAADA YA KUFUMANIWA ANAKULA URODA MKE WA MTU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vioja vya mjini jamaa kamfumania mshikaji kwa wife wake ,kwa hasira alizokuwa nazo kaamua kuchojoa nguo zoto na kupandisha kwanye gari ile ya kubebea majani akiwa kasimama nyuma huku akiwa na bango kuwa yeye ni mwizi wa mke wa mtu, 
huku nonino ikiwa inaangalia watu, yani ni fulu vioja mjini Dar es salam maeneo ya samora Mchana wa leo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

32 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo noma harudi tena

    ReplyDelete
  2. Mke wa mtu sumu. Acheni umalaya. Wanawake single wako kibao hamuwaoni?!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. wanapenda wake wa watu madai yao hawana gharama, aibu yake akirudia tena sio, halafu inaonekana hawara hana hadhi kama mwenyemke , mi nasema kila siku kama unatembea nje temba na mwanaume hata mumeo akikukuta nae anashtuka kidogo lkn unakuta mume yuko juu mwizi hohe hahe ndo nn

      Delete
  3. Watu wanasahau.bwana utashangaa anarudia.tena

    ReplyDelete
  4. Watu wanasahau.bwana utashangaa anarudia.tena

    ReplyDelete
  5. Mwenye kosa ni mwanamke,yeye ndio alitakiwa kuheshimu mume wake,ni sawa na kufuata line yako barabarani utasababisha ajali,wanawake wengi wamekuwa km maembe hata wa makanisa yanayoheshimika na miskiti

    ReplyDelete
  6. Dunia imebadilika sana weupe wakija afrika wameamua kubaki huko kwa sababu ulaya noma ,kazi mpaka unasahau kuna kuoa, au kuolewa ,mwanamke mara zote wanatongozwa sasa inabidi wawe wagumu na kuheshimu ndoa zao,kwa hapo juu mwenye kosa ni mwanamke kwa kutokuheshimu ndoa yake na kukubali kutoka nje ya ndoa,je mume wake ange safiri kwa miezi 6 ingekuwaje.? wanawake wa siku hizi noma utakubali wangapi.

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa ye hajawahi toka nje ya ndoa..si sahihi kabisa

    ReplyDelete
  8. hahahah safi sana

    ReplyDelete
  9. Acha uzushi ii ishu imetokea ijumaa last week uyo jamaa ni kichaa alidandia iyo gari ya msela akiwa uchi .... msela akampeleka central police wakakosa kosa la kumshtaki naloo....jamaa akaondoka nae cjui akaenda kumtupa wapi.. achene kupotosha jamii .... na hii posti yangu msiifute!!!

    ReplyDelete
  10. dah bora ume2fungua macho wasenge hao

    ReplyDelete
  11. MUONGO JAMAA ANA MATATIZO YA AKILI MBONA NILISHUHUDIA MPAKA KAMPELEKA POLISI, MBONA MUONGO HIVI WEWE.

    ReplyDelete
  12. jamani acheni uongo.huyu kaka tunamfahamu ni kichaaa,mnatoa wapi hizi stori za uongo?huoni hata haya?

    ReplyDelete
  13. Sasa tuelewe kipi kichaa au kafumaniwa ?

    ReplyDelete
  14. Sasa tuelewe kipi kichaa au kafumaniwa ?

    ReplyDelete
  15. Sasa tuelewe kipi kichaa au kafumaniwa ?

    ReplyDelete
  16. Sasa tuelewe kipi kichaa au kafumaniwa ?

    ReplyDelete
  17. Sasa tuelewe kipi kichaa au kafumaniwa ?

    ReplyDelete
  18. Sasa tuelewe kipi kichaa au kafumaniwa ?

    ReplyDelete
  19. Sasa tuelewe kipi kichaa au kafumaniwa ?

    ReplyDelete
  20. Nyie waongo sana.kama huna cha kuandika si ukae kimya kuliko kupotosha uma

    ReplyDelete
  21. Huyu kwakutunga kuna sehemu kaikuta picha tupu yeye kaweka maneno yake ya kinafki acha uongo shanz wewe

    ReplyDelete
  22. Hii siku nlikua town ni siku nyingi sio leo.jamaa alikua anarushiwa nguo anazikataa. Inaonekana hana akili nzuri.

    ReplyDelete
  23. Hii siku nlikua town ni siku nyingi sio leo.jamaa alikua anarushiwa nguo anazikataa. Inaonekana hana akili nzuri.

    ReplyDelete
  24. Hii siku nlikua town ni siku nyingi sio leo.jamaa alikua anarushiwa nguo anazikataa. Inaonekana hana akili nzuri.

    ReplyDelete
  25. Hii siku nlikua town ni siku nyingi sio leo.jamaa alikua anarushiwa nguo anazikataa. Inaonekana hana akili nzuri.

    ReplyDelete
  26. Ahahaha ndo mkme kutembea na wake za watu shenzi. Zenu

    ReplyDelete
  27. Ktk hali ya kawaida na kilichoandikwa ni tofaut'haiji akilili umfumanie mtu kisha umpandishe kwny gar tena pickup nyuma'eti atulie na ajishike bla ulinzi

    ReplyDelete
  28. Lakini pia ni kama mafundisho ya video sio mbaya, tuachane na huyu kichaa pia inaweza kukukuta hii kama ukifumaniwa .

    ReplyDelete

Top Post Ad