MAKUBWA! MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA DIAMOND AFUMANIWE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
MAMA wa Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa muvi za Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu amesema anamwomba Mungu bintiye huyo amfumanie mpenzi wake asiyemkubali, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Amani  lina picha kamili.

Akizungumza na mapaparazi wetu juzikati jijini Dar es Salaam, mama Wema alisema:
“Najua kwa sasa sina tena mamlaka ya kuingilia mapenzi ya binti yangu kwani mambo hayo yamenichosha, yananiumiza na kichwa.

“Lakini naomba sana kwa Mungu itokee siku moja Wema amfumanie Diamond akiwa na mwanamke mwingine labda ndiyo itakuwa kikomo chao cha kuwa wapenzi kwani ndiyo ndoto ninayoiota kila siku.”

KWA NINI ANAOMBA DUA BAYA?
Mama Wema alikwenda mbele zaidi kwa kusema kwamba, amegundua binti yake huyo hana ubavu wa kuachana na Diamond hata kama atasikia ana mwanamke mwingine.

MAGAZETI PIA YAMESHINDWA
Mwanamke huyo anayemwogopa Mungu tu, alikwenda mbele zaidi kwa kusema kwamba, kuna wakati baadhi ya magazeti pendwa nchini yaliandika Diamond kuwa na demu mwingine lakini Wema hakukasirika wala kuachana na staa huyo wa muziki wa kizazi kipya.

MSIKIE MWENYEWE
“Kwa hiyo mchezo mzuri ni yeye (Wema) kumfumania huyo Diamond wake, maana magazeti tu  kuandika kwamba ana uhusiano na mwanamke mwingine mwanangu alivyofanywa mjinga wa kutupwa, hatamwacha.

“Mimi najua Wema anashindwa kukaa chonjo kwa sababu ndumba zimemtawala, amefunikwa labda baadaye atafunguka,” alisema mama Wema.

AIGUSA SAFARI YA DIAMOND NCHINI NIGERIA
Mama Wema akaanika jambo ambalo halijawahi kujulikana kabla. 
Alisema: “Huyo Diamond ndo maana alikwenda Nigeria akashindwa kupiga muziki kwa sababu hakwenda na Wema, sasa ameona ampumbaze ili aweze  kwenda naye nchi za nje kwa masilahi yake binafsi, ataishia kumuahidi tu hana uwezo wa kumnunulia Wema kitu chochote chenye thamani kubwa, ni mpenda misifa tu.   
“Si mnamjua huyo ni mtoto wa Tandale? Anajiita yeye m...(alitaja jina la kinyesi) na kweli yuko hivyo.
NDUGU WA DIAMOND WAMEJAZANA KWA WEMA
“Ndugu zake walivyo washamba wamejazana hovyo pale kwa Wema. Wajinga mno, maana mshamba siku zote ni mshamba,”     alisema mama huyo.

HATAKI KUSIKIA WEMA ANA MIMBA YA DIAMOND
Katika hali iliyoonesha kwamba kweli hampendi Diamond, Bi. Mariam alisema hataki kusikia binti ana ujauzito wa msanii huyo.

Alisema: “Mbegu (uzao) gani atakayoileta kwangu, huyo mjukuu si atakuwa balaa, siwezi kuharibiwa wajukuu. Mtoto asiyeeleweka siwezi kumshika.”

ACHIMBA MKWARA
“Halafu nataka kuwaambia enyi watu wa magazeti, haya mambo ya kumwongelea huyo domo acheni mara moja, dunia itamnyoosha,” alisema.

AJIRUDI KWA MWANAYE
Mama Wema alisema hawezi kumlaumu sana binti yake  kwa vile akili si yake, yeye (Wema) ni mwanake na atabaki kuwa mwanamke, ila siku zote lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.

DIAMOND SASA
Juzi, Amani lilimtafuta Diamond kwa njia ya simu na kumjulisha kuhusu ndoto za mama mkwe wake huyo ambapo aliishia kucheka.
“Teh! Teh! Teh! Thubutu.”
HAIJAWAHI KUTOKEA
Kumbukumbu za makabrasha ya Amani zinaonesha kwamba, katika historia ya wapenzi wa Wema, mzazi huyo hakuwahi kutokea kumkubali Diamond hata siku moja tu.
Amekuwa akimshukia mara kwa mara, madai yake siku zote ni kwamba, katika maono yake hajawahi kuona mapenzi ya kweli ya Diamond kwenda kwa Wema.

Japokuwa pia hajawahi kusema kama kuna mapenzi ya kweli ya Wema kwa Diamond.
Wema amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu Steven Kanumba, Jumbe Yusuf, Chalz Baba na Clement ‘kigogo wa ikulu’. Pia amewahi kudaiwa kutembea na TID na Mr Bluu.
Credits:Global Publishers

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamaniiiiiiiiiiiiiiii mumpumzishe mama wa watu kha, kila siku kumchimba muuze habar

    ReplyDelete
  2. huyu mama nae amezidi kuropoka media nazo ndo zinafurahia kila siku kwenda kumhoji ili wamsikie anavyoropoka zaidi si akae kimya tu aone kitakachotokea, wema keshakuwa anaouhuru wa kuchagua apendacho na yeye mama ni kumuombea dua nzuri labda mungu akambadilisha lakni sio aongee ovyo kama anamtoto mmoja tu wema

    ReplyDelete
  3. Eti hataki wajukuu wasioeleweka kha mpaka anakufuru

    ReplyDelete
  4. Mama kavurugwa huyo anahitaji maombi.

    ReplyDelete
  5. Huyu mama anahaki ya kuongea na mwanae lkn c kuingilia 3rd part diamond hamuhusu mama kadata anaongea mpk anaharibu honestly ajifunzee kuishi na Media. I hate ths.....sitaki kuongea mengi mtoto wa nyoka ni nyoka

    ReplyDelete
  6. Mbona ktk list umemsaau MR TUESDAY na wale mapapa wanaomtomba kwa laki huyu kahaba!

    ReplyDelete
  7. Kwel jaman wema ongea na mama awe anakaa kimya mambo anayoongea ni aibu km ni kwel uwa anaongea kama kuna kitu kinamkera akwambie ww personal co kuongea na media

    ReplyDelete
  8. KWELI NYANI AONI KUNDULE, WEMA NAYE WALE WALE WANYA UJI WA MGOMBA, DIAMOND ALISHASEMA KAZI NA DAWA, AKIIMBA WANAPAGAWA WENYEWE MADEMU. KWANZA KAMSAIDIA WEMA KUMPA KAMPANI MAKE MWANAUME ASIYEKUWA MWANAMUZIK KUWA NA WEMA ANAJICHAFUA. MWACHE NA DIAMOND WOTE WALE WALE.

    ReplyDelete
  9. Ahahaha jamani ni kwel mama wema hamkubali Diamond ila kwa hii story Udaku mmeitengeneza tu

    ReplyDelete
  10. Maneno ya mkosaji.au alikuwaga wako nini mbona sikuelewi

    ReplyDelete
  11. Mama wema hebu nyamaza unajivunjia heshima

    ReplyDelete
  12. KIZA KINENE BALAA20 February 2014 at 15:13

    Nita Beibe
    Hellos.... mbn tumepooza jamani hakuna mashamsham????? Tupieni vitu tujiachie....... yale ya kuchafuana bloguni yanashughulikiwa tayari na TCRA pamoja na POLISI so soon itajulikana mbivu na mbichi nani alifanya uzuri siku hizi vitu havijifichi...... leteni raha bwana watu tujifunze tuokoe ndoa zetu......
    Like · · Yesterday at 8:04am
    NYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!! KWENDRAAAAA. ETI POLISI, ETI TCRA KWA UPUUZI WENU HUO!!! NA BADO. HADI ACCNT YAKO ITAKUWA MIKONONI MWANGU. MI NDO KIZA KINENE BALAAA. KAMA WE MJANJA NITAFUTE. NA BADOOOOO

    ReplyDelete
  13. KIZA KINENE BALAAA20 February 2014 at 15:22

    Irene Komba
    LEO NAWANYEGESHA MAPEMAAAAA!
    asubuhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
    iiiiiiiiiiiiiiiiiii
    na mvua hiiiiii maaaaninest zenu!
    NASIKIA KILA MAHALI MWALIA KATEREROOOOOOO KATEREERO
    oh nataka mwanaume wa kihaya anifanyie KATEREREOOOO...See More Like · · Follow Post · Yesterday at 6:45am near Dar es Salaam

    ReplyDelete
  14. sasa mama wema unataka mwanao awe na mwanaume gani???? yeye ndio kamchagua huyo nadhani hata wewe wazazi wako hawakukuchagulia mwanaume, waache watoto wamependana sana hao, huoni hata mwanzako mama Diamond kakaa kimya hata hasemi siku hizi kanyanyua mikono juu, wape baraka watoto waishi kwa amani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. amwache atulie..huyo mama anawashwa...ampate kijana wa TMK amnyonye kisimi ndo mcharuko utamuisha.eti!! anampenda clement huyu vipi

      Delete
  15. Huyu mama wema kavurugwa maana anaharibu sasa aibu ilioje jmn

    ReplyDelete
  16. Jamani we av to respect her, she is a mother jaman, tusimtukane hivyo imagine na wewe uwe unatukaniwa mama yako umu

    ReplyDelete
  17. Jaman nipo nje ya mada naomben mnisaidie dawa ya kutoa mmba uso wangu umehalibika vibaya sijawah kutokewa iv msaada plz

    ReplyDelete
  18. Udaku mnajjharibia...achenj hizo bana

    ReplyDelete
  19. huyu mama hana akili nzuri,!ana zeeka vibaya!!
    huwezi kum-bash mtoto wako na bwana wake.visa ya mama mkwe hivi. sasa anavyodharau wanaotokea tandale, ye ndo anatokea maskani ya kijanja?
    kumwita mtu domo kwa mtu mzima kama yeye ni kumkosea mtu heshima, kama ni maumbile hata yeye sio kwamba yupo mkamilifu. anyooshee tu maelezo na kuweka wazi, kuwa anataka binti yake azae na hendisamu ili aendele kujisifu kuwa ana uzao mzuri na wajukuu wazuri..
    ila ajue binti yake anaipenda mboo ya 'msafi'. hata kama maji yake sio masafi.

    ReplyDelete

Top Post Ad