MASKINI:AKUTWA AMEJINYONGA MPAKA KUFA JUU YA MTI -UGUMU WA MAISHA NDIO SABABU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Bahati maarufu kwa uuzaji wa mifuko ya plastiki maeneo ya stand kuu ya mabasi Bukoba amekutwa kajinyonga juu ya mti  maeneo ya ufukwe wa Spice Motel majira ya saa nane mchana ..

Taarifa za awali  kutoka kwa watu waliokuwa katika tukio hilo zinasema  kuwa , kabla ya kifo cha, marehemu alionekana akiwa na mafurushi ya vitu na alikuwa akifua katika eneo hilo la ufukwe…
 
Mtu mmoja ambae hakuwa tayari kutaja jina lake  ameueleza  mtandao  huu  kuwa  leo majira ya saa 12.00asubuhi alisalimiana na marehemu maeneo ya stand ya mabasi akiendelea na shughuli yake ya kutembeza mifuko ya plastiki kwenye mabasi yaendayo  mikoani na maeneo mengine akiwa mzima wa afya.
nyonga
 
Mwili wa marehemu umepelekwa Hospital ya Mkoa  wa Kagera kuifadhiwa kwa ajili ya utambuzi ( ndugu zake )
 Askari akiwa amepanda mti ili aweze kukata kamba aliyotumia kujinyonga
 Amekutwa katika hali hii
 Haijafahamika ni kwa nini kachukua maamuzi haya
 Mwili wa marehemu ukishushwa
 Kamanda wa polisi wilaya ya Bukoba akishuhudia tukio
 Wananchi waliokusanyika katika tukio
 Mkuu wa kituo cha polisi Bukoba(mwenye koti) akiwa anaangalia baadhi uya vitu vya marehemu alivyokuja navyo kabla ya kujinyonga
 Hivi ni vitu vya marehemu alivyokuja navyo babla ya kujinyonga
 Maeneo ya spice beach
 Mmoja wa watu wa kwanza kutoa taarifa kituo cha polisi Mama Faima
 Mwili wa marehemu ukipakiwa kwenye gari la polisi
Mwili wa marehemu ukipelekwa kuifadhiwa hospital ya mkoa wa kagera
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hao ambao sio waandishi na wanapiga picha kwenye simu zao wanaenda kuweka screen sever au...RIP

    ReplyDelete
  2. Mungu tusaidie waja wako,viongozi wakubwa wa nchi hawatujali na ajira wanawapa jamaa zao na watoto wao huku wengine vyeti vikiozea ndani.Naamini saa ya ukombozi inakuja.Amen

    ReplyDelete
  3. life ngumu bongo ni bora ujinyonge tu!

    ReplyDelete
  4. Kwel Life Ni Tough Aisee,,,,,R I P

    ReplyDelete
  5. Kwa haya maisha 2nayo ishi hata sion ajabu mwachen akapumzike.

    ReplyDelete
  6. Ee Mungu tusaidie.maisha ni magumu tajiri anazidi tajirika maskini anazidi nyanyasika

    ReplyDelete

Top Post Ad