NAJIONA NIPO TOFAUTI NA WANAWAKE WENGINE..ILA I ADMIRE MY PERSONALITY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,najiona natofautiana kimtazamo na wanawake wengi hapa duniani.
1. Wanawake wengi hawapendi kuadhibiwa na waume zao au wapenzi wao. Lakini mimi huwa napenda nikifanya kosa niadhibiwe. Nikisema kuadhibiwa simaanishi kupigwa hadi kudhalilishwa,No! namaanisha nikifanya kosa au ku behave tofauti mpenz wangu anigombeze na ikiwezekama kama nimemkasirisha sana hata anizabe kibao kimoja. Kwa kufanya hivi huwa nahisi ananipenda na ananijali.

2.Napenda sana mpenzi wangu awe "possesive towards me". Nikisema kuwa possessive toward me namaanisha mwanaume awe "ananimiliki".napenda mpenzi wangu anichukulie kama mimi ni mali yake, na si ya mtu mwingine.Kwahyo awe na authority na mimi, ajue nipo wapi? na nani? Nafanya nn?.Awe na wivu na mimi.Ila wanawake wengi, hulalamika kuwa wanafuatiliwa sana, kama mwanaume aki act hivi.
This is all I wanted to share with you friends! Enjoy your weekend!
From Malkia wa Urembo JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi sana my dear iyo kweli kabisa

    ReplyDelete
  2. wewe ndiyo mwanamke wa maisha yangu

    ReplyDelete
  3. Be careful na hayo matakwa yako...niliwahi kuwa kama wewe , shetani akasema amen! Nilipata mwanaume niliye kuwa na muomba na kutamani kuwa nae. Mwanaume alikuwa ananicotro , sikuwa na simu, sikuwa na friends, sikuwa na kazi, sikuwa na uhuru wa kuchaguwa cha kula nipendacho wala mavazi! Na nikipinga maamuzi yake alikuwa ananipiga kama mbwa!! Alinambia kama sio yeye hakuna mwingine atakae nipata, nilipata njia ya kumtoroka ila mpaka leo nina makovu yake muwilini! Be careful my dear

    ReplyDelete
    Replies
    1. mh huyo mumeoa likuwa ni baba boke nini wa kule musoma

      Delete
  4. wewe ndo mwanamke wa ukweli kwani unataka kujua mapungufu yako
    endelea hivyo hivyo na msimamo wako.

    ReplyDelete
  5. Xmtym U just dn't need a person to Complete U,U need a person to accept your Completely!

    ReplyDelete

Top Post Ad