RIHANNA NA DRAKE SI SIRI TENA WWENYEWE WAJIACHIA BILA WOGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Drake alikuwa Paris kwa ajili ya show lakini mapaparazi wamejua kwamba Rihanna na Drake walikuwa wana-hang out pamoja weekend iliyopita sehemu mbalimbali na kupata dinner kwenye mgahawa maarufu wa L’Avenue.
Unaambiwa pia Rihanna baada kujiachia weekend yote na Drake hakuwa nyuma kwenda kushuhudia  show ya Drake usiku huo.
Baada ya show wote wawili waliambatana kwenye night club na mapaparazi wanasema baada ya kujiachia usiku huo wote pamoja waliondoka kwenda Hyatt hotel ambapo Drake ndipo alipofikia.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa raha zao mpende akupendae asiyekupenda achana nae criss brown hajatulia

    ReplyDelete
  2. c brown yupo na karueche we jiachie na dudu ya nick minaj

    ReplyDelete
  3. mtoto mwenyewe huu mcharuko, waache wamchimbe tuuu!! Drake mchimbe mtoto huyo kisawasawa!!! (kama unaelewa kiswahili)!! hit that girl guuud niga!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad