SIRI ZA FREEMANSON TANZANIA ZA FICHUKA!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tanzania ina wanachama hai zaidi ya 600 wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na watu wa kada mbalimbali wakiwemo maarufu, huku ikielezwa kwamba miongoni mwao hakuna viongozi wakuu wa serikali.
Hayo yalibainishwa na Kiongozi wa kundi la Freemasons katika eneo la Afrika Mashariki, Jayantilal Keshavji Chande maarufu kama Sir Andy Chande.
Kiongozi huyo Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam mwenye asili ya Kiasia, alisema licha ya Tanzania kuwa na wanachama hao, kwa sasa idadi ya wanachama duniani inapungua tofauti na inavyoonekana sasa kuwa wanaongezeka kutokana na kuibuka maneno mengi kuhusu kundi hilo. Alisisitiza kuwa si rahisi kumjua mwanachama wa kundi hilo, bali wenyewe ndio wanaofahamiana, akisema ni siri na kwamba wenyewe wanakutana katika vikao mbalimbali mara moja kwa mwezi au zaidi.
Alisema nchini kuna wanachama zaidi ya 600 wakiwemo wafanyabiashara, watumishi serikalini, walimu pamoja na wanataaluma mbalimbali wanaoheshimika sana na kusisitiza kuwa kuna maneno mengi yanayosemwa kuhusu kundi hilo, ambayo siyo ya kweli.
Alisema idadi ya wanachama wake duniani inazidi kupungua kutoka milioni nane hadi sasa wako milioni sita, tofauti na wengi wanaodhani kuwa idadi hiyo inaongezeka.
Chande alizungumza na mwandishi wa habari hizi katika Shule ya Sekondari ya Shaaban Robert ambako yeye ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule alipozungumzia maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.
Alisema duniani kuna watu wazito wengi ambao ni wanachama wa kundi hilo kama majaji wakubwa na hata Binamu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza ni kiongozi mkubwa wa kundi hilo.
Akizungumzia masharti ya kujiunga na kundi hilo, Chande alisema ni lazima mwanachama huyo awe anaamini katika Mungu bila kubagua iwapo ni Mkristo au Muislamu.
Alisema pia ni lazima anayetaka kujiunga awe na umri unaozidi miaka 21 na walio chini ya umri huo hawaruhusiwi kujiunga na lazima familia ya anayetaka kujiunga na wanandugu wafahamu kuwa umejiunga na kundi hilo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Freemanson sio kama wabongo wanavyo ifikiria! Eti ushetani sijuwi unapata mapesa, sio kabisa. Ingelikuwa hivyo kuwa unapata mapesa ukiwa mwanachama basi wabongo wasingeuza sembe wote wangekuwa ma freemanson!

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by the author.

      Delete
    2. tatizo unatakiwa kutoa kafara ndugu zako hilo ndo linalowashinda wabongo unless otherwise wengi wangejiunga

      Delete
    3. Wala sio kweli kuwa unatakiwa kutowa kafara ya ndugu zako au mnyama! Ni Chama tu na wala hakuna anae pewa pesa , nina rafiki zangu wazungu maskini wakufa! Wao familia nzima ni wanachama wa freemanson and hawana chochote , wabongo wa napenda kukuza mambo ambayo si yaukweli. Wabongo wanatowana kafara kwa waganga wakienyeji ndio wataogopa kutowa kafara kwa freemanson??? Wabongo wa natakaga kichwa cha habari tu then story wataandika wenyewe!

      Delete
  2. acha wewe umekopi na kupest habari hiii ishatolewaga miaka mingi

    ReplyDelete
  3. Freemason? Jamani ni mbaya. Hawa watu wote ni wamotoni kabisa. Wamotoni kabisa nina rudia.

    ReplyDelete
  4. hapo wenye tamaa kaz kwenu vmenishinda vyama vya siasa sembuse huo aku km ipo ipo tu bn

    ReplyDelete
  5. Mie nataka kuwa mwanachama hehehe

    ReplyDelete
  6. kitu chochote cha siri kina walakini ndani yake.pasipo na shaka.
    bila hata kujali ni kitu gani.hata ukiona demu havai kimini ye siku zote ni sketi ndefu mpaka miguuni basi ujue si ajabu anatembelea mikono(miguu chelewa). na ukiona anataka mvue nguo gizani si ajabu anamakovu hataki uyaone.ukiona demu akicheka anaziba mdomo basi ujue meno yake hayajatulia pengine kama ya ronaldino, hivyo anaona aibu utaona tabasamu la shetani., angetaka umwone malaika wa ukwehe.ukiona demu kila mara anafuga nywele ndefu na kufunika kichwa basi si ajabu ana masikio kama dishi la dijitali, ukiona anakomaliaviatu virefu tu anaweza kuwa ni shotii.simple like that.
    ukiona imani yako kuna vitu inafichaficha hautakiwi kuuliza, basi ujue kuna walakini ndani yake.
    hata kuamini maneno ya watu wa siri ni kuamini uongo.no trust to secrecy.
    sehemu za siri zinafichwa kwakuwa zina walakini fulani kuonekana hadharani. siri siri siri , siri, siri,what the fuck about secret?!!
    huyu chande mbona naskia alishastahafu na picha waliotoa hapo ya zamani sana.

    ReplyDelete
  7. siri na uongo. havipishani sana. ukidanganywa unatakiwa usijue kinachoendelea.

    ReplyDelete
  8. sure ukiona demu anakuficha marafiki zake wasikuone, ujue kuna shida hapo?
    siri ya niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ? nieleze nijueeee? mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ya siriii siri ya mapenziiiiiiiiiiii. unipeleke nyumbani kwenu sheriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ehhheeeeeeeeeeeeee,.. la la la la

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mademu tunawaficha wanaume zetu mashoga wasiwajuwe kwa sababu tunaogopa kushare mboooooo! Hatuaminiani dunia imevaa sketiiiii lol

      Delete
  9. I have had the privilege of being a Mason for many years. To some, that may seem a long time,and to others,I'm still an Entered Apprentice. In my first ten or so years my understanding of Masonry focused on fundraising and fellowship. Now don't get me wrong, supporting our charities is critically important to those we have taken an obligation to help. The fellowship and friendships that I have with my lodge brothers are some of the best I have.
    However,there is so much more to Masonry. When a brother is first initiated,we tell him "Freemasonry (is)a beautiful system of morality, veiled in allegory and illustrated by symbols." We then tend to leave the veil on and not elaborate on the life lessons taught in our degrees and lectures. Our lectures give a brief glimpse into the meaning of Masonry. Our lectures do a wonderful job of bringing to life these important teachings. This is why it pains me to see brothers leaving after the degree and not staying for the lecture. Different aspects of the lecture speak to me each time I hear one. I encourage you Mr. Man ganging to stay closely listen to them once you join the brotherhood.
    Your Masonic Education Committee will be sponsoring a series of lectures at different locations around East Africa on "Allegory and Symbolism. "and a few of you who will be willing to join us will be chosen to lead others within East Africa. But that is after the first degree initiation. Don't get confused about this but what I mean is that we have many brothers out there willing to join us and you will be guiding them on the lessons you will be taught as newly entered apprentice.
    The East Africa Grand Lodge will sponsor you on the programs plus many more charities that will come your way. You will also be required to donate $1300 to those who will be willing to join the fraternity in the areas where you will be sent.
    The $1300 will be from your brotherhood account but you will withdraw under the instructions from the lodge master of new entering apprentice.
    But before we accept a brother/sister into the society,he/she must fill our PETITION FORM
    Contact +254706063740 to get the form
    Sincerely Yours
    Bro Harilal Taylor PAGDC Worshipful Master

    ReplyDelete

Top Post Ad