STEVE NYERERE"WASANII WENGI WA BONGO MOVIES HAWAJITAMBUI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mangere ‘Steve Nyerere’ amesema wasanii wengi wa filamu hawajitambui, mbumbumbu na wabinafsi katika kila kitu, jambo linaloleta ugumu katika harakati zao za kujikwamua.
Steve Nyerere ambaye pia ni mwigizaji na mchekeshaji, amesema wasanii wengi wanakosa umoja wa kudai haki zao kutokana na uelewa mdogo walionao huku wengine wakitazama maendeleo yao binafsi.
“Wasanii tumekuwa mbumbumbu wa kila kitu, tumeyumba kwa kuuza na kuibiwa kazi zetu na maharamia. Dada zetu nao wanafanya Bongo Movie ni sehemu ya kufanyia ukahaba.
Pia amesema yeye kama kiongozi anapigania haki za wasanii zisisahaulike katika mchakato wa katiba mpya ili waweze kupata nafuu ya kazi zao.

Source, Mwanaspoti
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwenda huko mdomo kama mnyonya uboo!

    ReplyDelete
  2. ukiwemo wewe kiongozi wao wa wajinga

    ReplyDelete
  3. yaani vijitu vyengine vikianza kuendesha gali tuu. anaona wenzake wajinga. steve umeanza kuekt juzi tuu siku zote hizo ulikua unaigiza sauti zawatu leo hii unajiona mjanja kisa umenunua bajaji

    ReplyDelete
  4. yaani vijitu vyengine vikianza kuendesha gali tuu. anaona wenzake wajinga. steve umeanza kuekt juzi tuu siku zote hizo ulikua unaigiza sauti zawatu leo hii unajiona mjanja kisa umenunua bajaji

    ReplyDelete
  5. c na wewe uigize ununue noar mshenzi sana acha mambo ya kutombwa weeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  6. huna lolote acha kuongea kuwadi mkubwa ww, c uokoe jahazi? Unaropoka usengee tu

    ReplyDelete
  7. wewe ndiye mjinga wa mwisho ila cha ajabu ndo mwenyekiti wao...elimu hata la 7 hukumaliza

    ReplyDelete
  8. Iki ngoma inakisumbua ndio maana hakioi pumbavu na kila siku kipo hoi mara wameniroga.kitombitombi ndio maana kimeugua sasa kimerogwa ARV zinakuchanganya.

    ReplyDelete
  9. Eeee ndio, kaka kuweni wa elewa nyie ni watu wazima tena vioo vya jamii. Mkileta ukahaba mnaifundisha nn jamii???Badilikeni, mnaboa Sana kila cku nyinyi.

    ReplyDelete
  10. kumanina zakomdomo kamaumepigwa kwenyepombe kwnzaunamapengo hawajitambui ww unajitambua? pumbukubwa kamapalachuti fisiwewe umepewa uongozi juzitu leounaongea upuuzi kumawewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad