VAI WA UKWELI: TAMAA YA FEDHA ILINIPONZA, NAJUTA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SIKU chache baada ya msanii anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ kuingia kwenye kumi na nane za mtego wa kujiuza wa kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’, ameibuka na kusema, anajuta, amekoma na hatarudia tena.

Habari ya Vai kunaswa katika mtego wa kujiuza iliripotiwa na gazeti damu moja na hili, Ijumaa toleo la wiki iliyopita, ambapo msanii huyo aliingia mkenge baada ya kukubali kukutana na ‘pedeshee’ mmoja kutoka mkoani kwa lengo la kumpa uroda kwa malipo ya shilingi 500,000.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko juzi, Jumatatu jijini Dar es Salaam, Vai alisema: “Kiukweli lile tukio lilinichanganya sana lakini pia limenipa fundisho kubwa. Nawaomba ndugu zangu na mashabiki wangu wote wanisamehe kwa dhati kabisa.

“Naahidi sitarudia tena ujinga kama ule. Ilikuwa ni tamaa tu. Hivi ninavyozungumza na wewe nipo kwa editor (mhariri) nasimamia editing (uhariri) ya filamu yangu ambayo ipo katika hatua za mwisho kuingia mitaani. Niko bize na kazi, acha niwekeze kwenye ujasiriamali tu. Nawashauri wasanii wenzangu tutulie maana OFM wapo macho.”

Alisema, katika filamu yake hiyo aliyoipa jina la Beautiful Liar amewashirikisha wakongwe Mohammed Fungafunga ‘Jengua’, Hashim Kambi ‘Wingo’ na mastaa wengine kwenye tasnia hiyo na kwamba mashabiki wake wakae mkao wa kula.
Kuomba msamaha ni uungwana, ikiwa Vai umeona kosa lako na kuomba radhi ni jambo zuri la kupongezwa. Tunakutakia kila la heri katika mabadiliko hayo, tukikusisitiza iwe kweli maana OFM bado ipo kazini. – MHARIRI.

Credits:Global Publishers

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. namba yangu unayo kwanini usinipigie kuliko kuliwa tigo kwa kijisenti chapesa kidogo icho acha tamaa wewe kuma

    ReplyDelete
  2. "makahaba wenye viwango wako bongo movie" by ney wa mitego.

    ReplyDelete
  3. Malaya mkubwa huyo hawezi kuacha ndio kazi yake ya kujiuza.

    ReplyDelete
  4. TamaaaAa sio wasanii wenzang

    ReplyDelete
  5. kaomba msamaha nini wewe!???

    ReplyDelete
  6. ney alishasema makahaba wenye viwango wpo bongo move

    ReplyDelete
  7. bwege ww jione kwanza

    ReplyDelete
  8. Kusagwa usagwe kutobwa utobwe duh mmeoza nyie umalaya amuwez kuacha

    ReplyDelete
  9. watanzania tuweni wastaarabu tunapokuwa tunatoa hoja, matusi hayafai. huyu binti amelijua kosa alilolifanya na ndo maana ametuomba msamaha, kwani uctumie lugha nzuri kumuelimisha mwenzio mpaka utumie lugha kama hzo? jaribuni kustaarabika hata kwa udogo wa punje ya mchele.

    ReplyDelete
  10. kumamake 2namwambia ukweli na sio kwamba kaacha kujiuza bali atakuwa makini ila ukimtataka unamtomba

    ReplyDelete
  11. Hyo malaya nlikuwa namsaka kwl!nitafute mama

    ReplyDelete

Top Post Ad