WEMA SEPETU"NAPENDA WANAUME WEUSI NA NI KWELI NIPO NA DIAMOND"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanadada Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali.

Kupitia kipindi cha Leo tena February 28 Wema Sepetu amekubali kutaja sifa za mwanaume anayempenda kuwa na mvuto kwake,swali lililoulizwa na Watangazaji wa kipindi hicho ni kuhusu mwanaume wa sifa gani anayedhani anaweza kuolewa nae ambapo Wema alijibu “Kuolewa sio shida je huyo mwanaume nampenda,maana naweza kuja kuchumbiwa lakini nisimpende”


“Mimi nampenda Mwanaume mweusi,wanaume weupe sio kwamba sijawahi kuwa nao lakini nakuwa sina mzuka nao”.
Alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Diamond amekiri kwa kusema’Kweli niko na Nasib - Diamond na nadhani muda huu kutakua na utulivu ndani yake,ule utoto tuliokua tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua Power Couple toka mwaka 2010 kwa hiyo tuna ni miaka 4 sasa,kwa sasa tumeamua kuwa serious’.

Habari kwa Hisani ya Millard Ayo

Wema Sepetu pia kaandamana na Ant Ezekiel kwenye interview ya kipindi hicho kinachorushwa na Clouds Fm.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaan hata mm...nawapenda wanaume weusii tiii. Nawapenda kweli. Tulia mamii...labda diamond ndo Mungu alikupangiya....!

    ReplyDelete
  2. Penda sana nyie people fungen ndoa maana mkichelew mtalogwa wenyew mnamaadui kama nni.

    ReplyDelete
  3. Jamaaniii hata sisi weupe tunayo maboo makubwaaa

    ReplyDelete
  4. Clement aka CK1 March 2014 at 18:01

    hakuna kitu hapo. domo hawezi kumuoa huyu kiruka njia. mtasubiri miaka mia nane.

    ReplyDelete
  5. Weusi mali hata demu wangu mmoja ivi ni mweusi na mpenda sana.

    ReplyDelete
  6. Jamani love this couple jam
    ani oaneni mzitulize roho zetu wapenzi wenu

    ReplyDelete
  7. Ina maana weusi wanaojichubua hawatakuwa na soko

    ReplyDelete
  8. all the best, mtulizane sasa umalaya siyo tija

    ReplyDelete

Top Post Ad