ALI KIBA KUTISHIWA KUUAWA, DIAMOND KUHOJIWA POLISI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Andrew Carlos na Shakoor Jongo
SAKATA la staa wa Bongo Fleva, Ally Saleh ‘Ali Kiba’ kunusurika kuuawa na watu wasiojulikana kwa kutumia bastola limechukua sura mpya, safari hii, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa amejiandaa kuhojiwa na polisi.
Ally Saleh ‘Ali Kiba’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu katika jeshi hilo jijini Dar, Diamond ambaye amekuwa akitajwa sana katika sakata hilo kupitia mitandao ya kijamii ataitwa kuhojiwa.
“Unajua ile kesi ipo hapa Central, awali ilitokea Polisi Msimbazi, sasa mpelelezi wake amekuwa akifikiria kumwita Diamond ili amhoji maana anatajwa sana,” kilisema chanzo hicho.
Hivi karibuni, Ali Kiba alivamiwa usiku na watu zaidi ya watano nyumbani kwao, Kariakoo jijini Dar ambapo waliruka ukuta na kuingia ndani huku kila mmoja akiwa na bastola.
Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Ilidaiwa kuwa, mmoja kati ya watu hao ambao ilisemekana walitumwa kumuua msanii huyo, aliibua mzozo wa makusudi kwa wenzake ili kumpa mwanya Kiba kutoroka kwa vile hakufurahishwa na kitendo hicho.
Habari zinasema walipoingia ndani huku kelele za mbwa zikasaidia kumshtua staa huyo, ule mzozo ulioanzishwa na wavamizi hao ulimsaidia Kiba kutoroka ingawa walimkosakosa risasi.
Ikasemekana baada ya msanii huyo kukimbia, jamaa ambaye alimkingia kifua alimpigia simu na kumfungukia watu waliohusika huku ikidaiwa kuwa baadhi yao ni mastaa wenzake.
“Alinitajia tu majina lakini nilishindwa kuthibitisha moja kwa moja hivyo nikayafikisha Kituo Kikuu cha  Polisi (Central) kwa ajili ya uchunguzi,” alisema Ali Kiba huku akikataa kutaja hata jina moja.
Hata hivyo, mengine yaliibuka hasa kwenye mitandao ya kijamii kuwa, miongoni mwa wasanii waliohusika katika tukio hilo eti ni na Diamond.
Amani lilimsaka afande mmoja ambaye anajua mwenendo wa kesi hiyo ambaye alikiri kesi hiyo kuwepo Central lakini alisema mambo yote ni siri ya kazi.
“Nani atahojiwa, nani hatahojiwa ni siri ya kazi yetu,” alisema.
Juzi, paparazi wetu walimtafuta staa huyo wa Wimbo wa Number One ili kusikia anazungumziaje manenomaneno hayo ya kwenye mitandao na vinywa vya watu.
“Nimeshasikia nikitajwa katika hilo, kimsingi ni madai mazito lakini mimi nipo tayari kuhojiwa ili sheria ichukue mkondo wake kwani najua si kweli na sijui lolote,” alisema Diamond.
Akandelea: “Mimi na Kiba kuna ugomvi gani hadi nifikie hatua hiyo. Kwanza sina moyo wala uwezo wa kufanya hivyo.”
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acheni mawazo mgando. Diamond amuue Kiba kwa lipi? Isije kua Kiba amejisukia skendo aonewe huruma na Watanzania wavivu wa kufikiri ili ajirudishe kwenye ramani. Fanyeni kazi vijana na acheni mambo ya hovyo ya kuzushiana ili kukatishana tamaa na kushushana kwenye game.
    Issue ya kuwa Diamond anawaroga mmeona haina mashiko sasa mnataka kumsumbua na kesi ili apotee. Acheni wivu wa kijinga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wanatafuta kumchafulia diomond na kumshusha kimziki watu wanayaweza hapa bongo si mchezo, chuki binafsi tu

      Delete
    2. Yeah bro probably..uko kweli

      Delete
  2. ALIKIBA MKUNDU HANA KICK ANATAFTA KICK KWA DIAMOND AKAFIE HUKO MBELEE ASITUCHANGANYE NA FAVORITE WETU DIAMOND

    ReplyDelete
  3. hahhahhahaha haya na tuache movie iendeleeeeeeeeee

    ReplyDelete
  4. Lakin yeye hajamtaja diamond

    ReplyDelete
  5. alikiba hajamtaja diamond,name nyie mnaomtetea domo kama vile kawaoa subirini upelelezi Wa polisi afu kiba ni staa hawezi kutafu ustaa Mara 2

    ReplyDelete
  6. pumbafu nyie mmemuonaje kiba hata mara mia diamond hamfikii kiba

    ReplyDelete
  7. ali kiba nenda kigoma ufanye biashala ya migebuka, mziki umekushinda baba, mwachie domoloo, domolo! aah domolo aih!!.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kiba and chibu forever13 March 2014 at 23:14

      Acha ukuma wewe, imba ww mfyuu, kwani kiba kamtaja dangote? Msiwachonganishe, kila mmoja anakipaji chake

      Delete
  8. We kuma unaogea nn kafirwe mbele huko

    ReplyDelete
  9. Kiba hajamtajapo Domo, hivi vyombo vya habari umbea umewazidi.... na nyie wavivu wa kufikiri mmeanza dharau, kejeli na matusi kwa kiba.......

    ReplyDelete
  10. Ila kwa hili ni big no kama watu walihuck account zao wakawatengenezea bifu basi haohao wanatumia mwanya huo kuwauwa kisanii kama kuwabambikia mambo makubwa kama hayo ni watu wap wa karibu ama ni wasanii wenzao kwassbabu ukizungumzia tz wasanii wafanya vzur hukosi kutaja dimond na kiba so wanataka kupotezwa ili wengine wapate nafasi kaeni chini mlichunguze hili na mjilinde

    ReplyDelete
  11. Ali kiba hajamtaja mtu nyie mikundu.Diamond kajaribu kwa ushirikina kaona kiba bado yupo kaamua kumtumia wazee wa waya wamkill ila dogo Kiba bado.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kiba and chibu for life13 March 2014 at 23:16

      Yatakushinda

      Delete
  12. nyie pumbu zilizo jaa mavuzi msiingilie kesi kwa hisia wacha polisi wafanye kazi yao. kwani huyo almasi ni nani haswa asiwe jangiri wa usiku.

    ReplyDelete
  13. Ali Kiba yuko juu kuliko huyo Diamond, lakini sidhani kama diamond atafanya ujinga huu.

    ReplyDelete

Top Post Ad