HOUSE GIRL HUYU ANANILETEA DRAMA ZA KUNIHAMASISHA..SIJUI NIMFANYEJE?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ). Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!! Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ). Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani. Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahan baba, karibu". Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo. Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwanza unamakosa kuingia chumbani kwa binti bila hodi pili hukutakiwa wewe kuingia ila ungemweleza mkeo yeye ndiye angepaswa kuingia chumbani kwa huyo binti pili wewe umtu mzima unatakiwa usionyeshe ulegevu ila kuwa kama baba unayejiheshimu na kuheshimu ndoa

    ReplyDelete
  2. We kamata mzigo huo

    ReplyDelete
  3. JIchochee moto mwenyewe kisha ukikufika wakata mwengine mgumu uje kuomba tena ushauri..... mwehu mkumba we.... nyoko!

    ReplyDelete
  4. Kama anafanya kazi yke vizur kwan nn umfukuze??inaelekea n ww huwa unamtaman ndo maana inakusumbua akilin

    ReplyDelete
  5. Usiilazie dam hiyo nyama ya hamu

    ReplyDelete
    Replies
    1. we hassani fala kweli..@nahisi tamu mmmh,we onja alafu njoo utuambie ilivyokuwa.ovyooh!!umalaya tu kuma nina we

      Delete
  6. Mwambie mkeo au jichukulie maamuzi yako sahihi, usipofanya hivyo unamtaka, tena pengine mmesha lalana, wasenge nyie.

    ReplyDelete
  7. Kula ki2 hyo ww, ila uckatae mimba

    ReplyDelete
  8. tayari ulishakosa busara tangu mwanzo, kwanini uingie chumbani kwake ikiwa yeye mwenyewe yupo hapo hapo nyumbani? si ungemtafuta mwenyewe huko aliko umwambie akazime hizo taa na kumuhimiza umuhimum wa kufanya wewe? inaonekana wewe mwenyewe ndo unamtaka kwa sababu hata baada ya kumuona ghafla uliendelea kukodolea macho kana kwamba ya ni mkeo. hakuna sababu ya kumfukuza ila wewe ndo unatakiwa ujiheshimu naye atakuheshimu.

    ReplyDelete
  9. kuma ww yani madem wote unatamani housegilr ss mtombe kama ndoa yako umeichoka kisimi ww

    ReplyDelete
  10. kumfukuza siyo dawa lishinde jaribu full stop

    ReplyDelete
  11. shinda majaribu, kama ni kuma ht mkeo anayo, cjui w.ume mpoje , epuka mchepuko kaa njia sahihi

    ReplyDelete
  12. We acha matamanio ya kijinga. Mwambie mkeo Na umfukuze huyo binti haraka. Ukimwi upo

    ReplyDelete
  13. Mjulishe mkeo na mumfukuze huyo binti ni hatari kwa familia yako.

    ReplyDelete
  14. Acha tamaa. Utaharibu ndoa yako. Fukuza huyo malaya

    ReplyDelete
  15. mlaya mkubwa,bisha hodi.

    ReplyDelete
  16. Kamata mzigo Uo wewe

    ReplyDelete
  17. Hahahahaha kamata fursa hiyo,kulA mzigo huo ndugu yangu.

    ReplyDelete
  18. Akina mama simamieni nyumba zenu,mmekuwa wavivu kufuatilia mambo ya ndani na kuachia waume zenu.mtaharibu ndoa zenu.kijana potezea hilo ni jambo dogo sana wangapi wana kaa vibaya.

    ReplyDelete
  19. dont even thnk about it, hasa nyumbani

    ReplyDelete
  20. mwambie mkeo na mmfukuze huyo msichana maana hata ukimuonja vipi mtu wa hivyo sidhani kama atajirekebisha. DONT EVEN THINK OF HAVING AN AFFAIR WITH HER THAT IS NOT ACCEPTABLE TO GOD,

    ReplyDelete
  21. We bwege kweli,unamdanganya nani?! Una copy na kupaste picha kila siku eti huyu demu,huyu house girl!
    Hao mademu wote ometoa on line,american websites! Kuna ujenzi wa nyumba huku you can tell siyo Bongo. Hahaha!




    ReplyDelete
  22. Lol,house girl ana Iphone?! Unamlipa $1000 kwa mwezi nini!?

    ReplyDelete

Top Post Ad