KUHONGA SIO TICKET YA KUPENDWA...WANAUME ACHENI KUJIPA MOYO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani tuongee ukweli,kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati.Penzi la muda mfupi au la sku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji kuhonga. hii sio kwa awanaume tu hata wanawake wanaohonga.
Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli halipatikani kwa kuhonga bali kuridhiana na kupendana.

Usijidanganye wala kujipotezea muda na pesa zako kuhonga kutafuta penzi la dhati utajuta bure.

Karibuni wadau kuongezea elimu au kuniweka sawa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yap nimejuelewa vema less ingekuwa inanunua upendo Mimi mpaka sasa ningekuwa nishaoa,lkn tunaishia kununu mapenzi tu kwa watu wanaotudanganya kuwa wanatupenda

    ReplyDelete
  2. mkundu wako wee nenda kale mavi huko!

    ReplyDelete
  3. Kundu zenyewe ss hv zimeshaoza ya nn kuzinunua bora kupiga nyeto tu

    ReplyDelete

Top Post Ad