LUPITA NYONG'O ASHINDA TUZO YA OSCAR MAREKANI USIKU WA KUAMKIA LEO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji mahiri wa Kenya, Lupita Nyong'o amenyakua tuzo ya Oscar kupitia filamu ya ‘12 Years a Slave’ huko Los Angeles nchini Marekani

Beauty, Grace, Intelligence, and Flawless skin! I'm so happy for her, she's gorgeous and she definitely deserved that award. It's good to finally see a dark skinned female in Hollywood, hopefully she opens the door for many more

Ms. Lupita, you are what was missing from Hollywood.

I'm glad you've finally arrived

Watch Video hapa:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siyo hawa wa kwetu watembeza nyuchi tu kila siku tu; Marehemu Kanumba alikuwa amekaribia kufika huko lakini ndiyo hivyo; kazi ya Mungu haina makosa. Akina dada wa kibongo wanabadilishana wanaume utadhani wamechanjia! Yaani hawawezi kujiendeleza zaidi ya ulevi na ukahaba.

    ReplyDelete
  2. WAKENYA MKO JUU WAPI;SHES NOT RECOGNIZED AS KENYA;SHE REPRESENTS MEXICO

    ReplyDelete
  3. Tatizo la bongo movie co real talent mtu anaona ameshakuwa na jina kidogo nae anasema muingizaji movie zao mtu anasema anaenda oficen anatoka home mara yupo ofice ata alivyotembe a hiyo gari uoni mara nyumbani haaahaa movie haina uharisia mtu kavaa kimini ili aoneshe mapaja tu yani hapo bongo movie wallah wataishia kuangalia chumbani mwao tu movie eti ina two part ukijumlisha part zote ni saa na dk 20 akuna uharisia wanachekesha sana yani wao waendelee kufanya kama matangazo ya maumbo yao watu wayaone watagaze dau wakawavue chupi ila co kufika sehemu kama wapate tunzo za oscar

    ReplyDelete
  4. mange compared herslf to luoita hivi ans akili huyi mange eti I'm very important tazania wamoe raia mbili pakulala kazi ije kuwa movie star tamaa

    ReplyDelete
  5. Mange mange anakunyima usungizz eeeh kwan watu hawajui blog yake ad uje useme hapa we ndo umechanganyikiwa kwanza unachapia simu yenyewe hujui kutumia mfyuuu

    ReplyDelete
  6. bongo movie et hamna mweuc, kazi mikorogo dah hahahaaaa oscar mtaiangalia kwa tv. Wa kufika uko tayari mungu keshamchukua

    ReplyDelete

Top Post Ad