MABESTE AWAPA MAKAVU LIVE B-HITS" B-HITS MNATAKA TU KUMWAIBISHA DOGO M-RAP HAMNA LOLOTE"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mabeste Venance ex-member wa B hits music group kuna vitu hajavifurahia kwa upande wake kuhusu B hits na uongozi wake na kuamua kuandika status ndefu kwenye facebook.
Kumbuka kwamba Mabeste hakuhama vizuri kwenye hii lebo na hivi sasa amehama msanii M Rap.
Kwenye hiyo status Mabeste ameandika hivi  ,”Nasikitika Pancho Latino na Uongozi wa Bhits kwa kulalamika kua M-Rap ametumia mistari yao katika track yake aliyoifanya AM Records (usiende mbali) kuwa ametumia Verse alizowahi kuandika kipindi yuko Bhits na kuamua kutoa hiyo Track yenye hiyo Verse ambayo ni (only you remix).

Sasa mbona (only you remix) waliyoitoa Bhits ile chorus aliyoifanya Jux niliandika mimi wakati niko Bhits!! Je, mbona wao wametumia mistari yangu wakati mimi siko Bhits?
Na kama issue ni Copy and Paste au kuishiwa na idea mbona beat iliyotumika kwenye track yangu ya “SIRUDI TENA” Pancho amei-copy kwenye track ya (cheap monkey ft chriss brown – champion)?? Je ni haki wanachofanya??
Ama wanataka kumuaibisha tuu dogo(M-rap) bona wao pia wanazingua nao???
#MabesteArmy!”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad