MAMBO SITA USIYOYAFAHAMU KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndege ya shirika la ndege la Malaysia (Malaysia Airlines).
Kuna mambo ambayo watu hawajafahamishwa kuhusu ndege ya shirika la ndege la Malaysia (Malaysia Airlines) safari namba Flight 370 ambayo imepotea ikiwa eneo la juu ya bahari katika Ghuba ya Thailand na watu 239.
Ndege hiyo aina ya Boeing 777 iliyopotea Jumamosi asubuhi wiki iliyopita na kutoonekana mpaka leo imewababaisha wataalam wengi duniani wa mambo ya usalama wa vyombo vya anga.

Hata hivyo, pamoja na mkanganyiko huo, gazeti la Wall Street Journal limeorodhesha mambo ambayo watu wengi hawayafahamu kuhusiana na kupotea kwa ndege hiyo. SOMA ZAIDI
Mambo hayo ni yafuatayo:
Ndege zote za Boeing 777 zina kisanduku maalum cha kutunza kumbukumbu za mawasiliano ya marubani wa ndege na waongoza ndege walioko ardhini (black box) ambacho hakiwezi kuharibika katika mlipuko wowote unaoweza kutokea kwenye ndege.
Kijisanduku hicho (black box) kina nguvu za kurusha mawimbi kuonyesha kilipo kwa siku zisizopungua 30 baada ya kuanguka baharini.

Hata hivyo, wataalam wameshindwa kunasa mawimbi ya chombo hicho na hivyo kuwa na wasiwasi kwamba huenda kimeharibiwa na nguvu kubwa isyokuwa ya kawaida.
Sehemu nyingi zilizoharibika za ndege huwa zinaelea juu ya maji baada ya ndege kuanguka baharini au majini.
Katika tukio hili hakuna kilichoonekana, na hivyo kuzua hofu kwamba ndege hiyo huenda imetoweka katika eneo la Dunia.
Iwapo kombora lingeipiga ndege hiyo, basi kombora hilo lingeonekana katika vyombo vya uchunguzi vya kijeshi na vya usalama wa safari za anga. Hii ni pamoja na kwamba huenda imepigwa na kombora na kuikatakata ndege hiyo katika vipande vidogo-vidogo.
Katika nadharia hii, hakuna dalili zozote zilizonaswa na vyombo vya ulinzi na usalama kuonyesha kulikuwa na kombora lililohusika.
Pamoja na eneo ambalo ndege hiyo ilikata mawasiliano na kupotea kufahamika, bado wataalam wameshindwa kujua iko wapi.
Kufahamu eneo la tukio, mwelekeo na kasi ya ndege hiyo, bado hakujasaidia kupatikana kwa ndege hiyo, hivyo kuzidisha hofu inayowachanganya wataalam.
Iwapo Flight 370 ilitekwa, isingeacha kuonekana kwenye vyombo vya kudadisia nyendo za vyombo vya angani (radar).
Nadharia ya kutekwa haina msingi wowote, kwani ndege zinazotekwa huwa hazitoweki katika radar.


HITIMISHO: Ndege hiyo ya Boeing 777 haikulipuka angani, bali imetoweka!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. May be imetekwa na aliens kutoka sayari nyingine! it won't be the first time.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sayari nyengine unaijua,we kuma we!

      Delete
    2. Wee ndo hata hujielewi maskini ya Mungu,huna ulijualo zaidi ya matusi.pole sana

      Delete
    3. wengine bila tusi hawajaamka msamehe bure tu

      Delete
    4. Ni laana...!

      Delete
  2. Tafuta movie ya The Lost ndo utajua hiyo ndege iko wapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. asante kaka nitaitafuta

      Delete
    2. Ni nzuri sana lakin ckumaliza niliishia crz 4

      Delete
  3. Huy nana mkundu ni mbulula mmoja kujifanya kila kitu anajua

    ReplyDelete
  4. Dunia Iko kwenye majonzi Nyie unaleta matusi!!! Hv Nyie Ni waswahili eee!!! Mngekuwa wachagga msingethubutu kuruhusu roho iteme sumu hz!!! Ndege imezama Kwenye Tope chini ya bahari!!! Mungu ameshaonyesha!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante mdau kwa hekima,busara, moyo Wa ukarimu Mungu akubariki sn!!!! Kwa hiyo Ndege imezama kwenye Tope!!!! Ooh jamani very sad" kweli Ni uchungu mkubwa sn kwenye familia waliopoteza ndugu zao" na wale walikuwa wanasubiria Zawadi Kama Mimi Nina tabia Hii sn! Ooh Mungu awatie Nguvu!!!!!

      Delete
  5. Ndege aiwezi kua imezama kwenye tope wakati simu za baadhi ya abiria bado Zinaita

    ReplyDelete
  6. acha umbulula wewe kama simu zingekuwa zinaita ndege si ingekuwa ishapatikana maana wange track location zake

    ReplyDelete
  7. the lost. izi mambo zinapangwa kabla ya kutoke. tafuta iyo seasn mov. THE LOST

    ReplyDelete
  8. Yaan ni majanga. Kweli wana sayansi wote wameshindwa kujua iko wapi. Ni hatar kubwa...

    ReplyDelete
  9. Kwa Kweli hii ni aibu kwa wanasayansi waliobobea kiutafiti

    ReplyDelete

Top Post Ad