MBOWE:NI KWELI UKAWA TULIFIKIRIA KUJITOA BUNGE LA KATIBA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akihojiwa na Sauti ya Ujerumani Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti wa UKAWA amekiri kwamba ni kweli mpango wa kujitoa upo na kwamba wamekubaliana kuvumilia kwa muda kuwapa Ccm muda wa kufikiria mara mbili kuaha kuvuruga mchakato. "Ni kweli wazo la kujitoa lilikuwepo tangu jana na katika kikao cha leo, lakini tumesihi wenzetu kuvumila kidogo huku tukiwapa nafasi wenzetu kujaribu kerekebisha hali inyoendelea."

Amesma pia kwamba UKAWA hawalalamikii nafasi katika kamatia bali uvunjifu wa makusudi wa kanuni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dah maccccmmm, yani yanajua hii ni nchi yao!!

    ReplyDelete
  2. Ccm, kirefu chake ni chama cha majambazi, wanaroho mbaya sana hawa jamaa, ajibwa koko ya kijani

    ReplyDelete
  3. Tujitahidi kufikiria juu ya nchi yetu jamani. Mbona mnataka kuwagawa watanzania?

    ReplyDelete
  4. waache wajitoe sisi ccm tutasonga mbele

    ReplyDelete

Top Post Ad