NA HII NDIO KAULI YA WAZIRI WA CCM ILIYOZUA KIZAA ZAA JANA BUNGENI LIVE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naibu Katibu wa Fedha, Mwigulu Nchemba  jana  katika Bunge Maalum La Katiba alichafua hali ya hewa baada ya kumwambia Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na mwakilishi wa Mji Mkongwe, Ismail Jussa kwamba wanataka wabunge wa bunge hilo watumie kura ya siri badala ya wazi kwa kuwa ni mashoga.

"Wanaotetea kura ya siri itumike katika kupitisha Katiba ya Watanzania, wanaunga mkono sera za ushoga, ni wale ambao vyama vyao vinazaminiwa na wanaotetea sera za ushioga," alisema Nchemba bungeni.

Kutokana na Kauli ya Nchemba, bunge hilo lilipuka likitaka aombe radhi huku akionyesha kusita kuomba radhi, lakini Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan alimtaka aombe radhi mara kadhaa.

"Mheshimiwa Mwigulu, naomba usimame na kuomba radhi wabunge wenzako, tafadhali simama," alisema Samia

Baada ya kauli ya Makamu Mwenyekiti Samia, Mwigulu alisimama na kusema: "Mheshimwa Makamu Mwenyekiti, Naomba radhi kwa wote wanaodhani wao wako hivyo kama nilivyosema."

Kauli hiyo ilionekana kuendelea kuwachefua wabunge wa bunge hilo huku wakimzomea na kumtaka aombe radhi kwa kuwa bado alikuwa hajaomba radhi moja kwa moja bali kauli yake ilionekana kuwa na utata.

Kwa mara nyingine, Makamu Mwenyekiti, Samia alisimama tena na kumtaka aombe radhi. "Mheshimiwa Mwigulu tafadhali omba radhi bila condition, tafadhali, bila kuomba radhi, Bunge haliwezi kuendela, na ninyi wabunge wengine kaeni kimya bila utulivu hatuwezi kusikilizana, tafadhali," alisema Samia.

Baada ya kauli kauli ya Makamu Mwenyekiti, Samia, Mwigulu alisimama tena na kuomba radhi kwa heshima na bunge kuendelea na utaratibu wake.

"Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti, nakiheshimu hicho kiti hapo mbele, siwezi kudharau, Naomba radhi kwa wote nilowaudhi," alisema Mwigukulu na kukaa chini.

Baada ya kauli ya Mwigulu ya kuomba radhi, shughuli za bunge ziliendelea kama kawaida
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni mashoga kweli wale................ wanatuzingua tu! siri siri matako ya wake zao!

    ReplyDelete
  2. Mwigulu katuangusha sana jana.

    ReplyDelete
  3. Mwigulu anawashwa mwache wanaume wamwinamishe siku moja.

    ReplyDelete
  4. Huyu mwigulu ana kimbelembele kama mavi asubuhi yaani ni dizaini ya zito kabwe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi naona hawa wabunge wetu wa katiba wanatuyeyusha sana yakheri wangepanda dege iliyopotelea ya Malaysia ili tuchague wabunge wengine maana wazushi

      Delete
  5. tena haswa haswa huyu nchemba, ndiye alitakiwa awemo kwenye ile ndege iliyopotea ya malaysia, sababu huyu mtu siyo mzuri kabisa kwenye taifa hili.

    ReplyDelete
  6. Huyo mwigulu anapumuliwa

    ReplyDelete
  7. Huyo kweli msenge

    ReplyDelete
  8. hahahaa, wadau u made my day

    ReplyDelete

Top Post Ad