"NAMCHUKIA OSTAZ JUMA HATA SALAMU YANGU SIWEZI KUMPA"NEY WA MITEGO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkasa wa Ostaz Juma na PNC linaweza kutajwa kuwa moja kati ya matukio yaliyozungumzwa zaidi kwa wiki iliyopitwa kupitia mitandao ya kijamii na baadae kuwa topic kwenye radio na television wiki iliyopita.

Ingawa wasanii wengi walilaani kitendo hicho, rapper wa Manzese, Nay wa Mitego yeye aliiambia Bongo Dot Home ya 100.5 Times Fm kuwa kitendo alichokifanya Ostaz Juma kupost picha zinazomuoenesha PNC akimpigia magoti, kwa upande wake amemkosea yeye hata kuliko PNC mwenyewe.

“kumpigia mtu magoti kwa ajili ya kuomba msamaha ni sahihi. Lakini kuna upigiaji wa magoti mwingine ambao baadae unaweza kuonesha picha mbaya kuwa umedhamilia kumdhalilisha. Halafu Ostaz Juma hana nidhamu halafu ni mtu ambaye hajitambui. Vijisenti anavyovipata nadhani ndivyo vinampa jeuri ya kudhalilisha wasanii wenzetu, sio kitu kizuri. 

"Mimi tangu nilipoona hizo picha nilisema siwezi kumpenda hata siku moja, hata salamu yangu siwezi kumpa. Siwezi kumheshimu hata kidogo. Nitamdharau kuliko kitu chochote, kuliko mtu yeyote aliyewahi kunikosea sana. Ila katika watu ambao waliowahi kunikosea, nafikiri mimi Ostaz Juma amenikosea kupita maelezo. Kuliko alivyomkosea PNC mwenyewe.” Nay wa Mitego
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ostaz juma hajitambui,

    ReplyDelete
  2. Mtungie jisongi la kashfa huyo kiazi

    ReplyDelete
  3. Ostaz juman anafirwa me shaid wa hilo ndo maana ana itikadi za kimama mama.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we itikadi za ki- mama hazikogo hivyo samahani sana.

      Delete
    2. We msenge nn?

      Delete
  4. Uyo ostz msenge tu!! Pia huyo mpumbavu anatakiwa kutengwa mkundu wk! Anasema waandishi na wasanii wana njaa wape sasa hayo matoko ndio utambue wt wana njaa au wameshiba na nyie wasanii mnaofanya kaz na uyo bwege temaneninae nyie vpaji mnavyo suma mnazaret usiendelee kua na uyo pimbi jamii imechukia sana kw kitendo alicho fanya uyo fala

    ReplyDelete
  5. shure ney usimpe salam yako huyo mwanga ni mkundu huyo umtugie lisongi ney la kumchana umshirikishe daimond. maskini mkubwa huyo hicho kigari chake mm naenda nacho shambani yy anakitanulia mjini jeusi km oil mbwa koko huyo alishazoea kupigiwa magoti n machangu kuma la mmko

    ReplyDelete
  6. Kuna ngoma inakuja Ney kamdic ostaz juma humo n shidaa..

    Soon linakuja

    ReplyDelete
  7. sijawahi kuona mtu mwenye sura mbovu kama ostaz juma..
    Mtu ana sura kama upande wa pili wa mkundu..

    ReplyDelete
  8. wadau cmpend ostaz juma kitambo ht kabla ya hili coz anapenda cfa, sasa hii ya pnc ndo nimechukia vibaya,... Nay mtungie jisong la kumchana mbwa mwitu jeuc ka giza la mkundu

    ReplyDelete
  9. Ostaz ana akili za mende na ccmizi.. hajijui kama hana akili
    .

    ReplyDelete
  10. Musenge tu km ana khela c amsaidie babake fundi selemala majita musoma, ndugu na wazaz wake wanashndia miogo yey anazuga ana khela mavi tu ana kitu,

    ReplyDelete
    Replies
    1. basi ndo laana ya kutokuwalea wazazi wake hiyo imempata huku anajitia anahela ushuzi za kudhalilisha wenzie

      Delete
  11. Angekuwa na pesa angevaa tshirt yenye maandishi mengi kiasi hicho kwanza ukimwangalia tu unamuona ni wa kuletwa maana bora ya wakuja kaelekezwa akafika Dar mwenyewe huyu kaletwa kutoka kijijini kama nasema uongo muulizeni. hata kuvaa hajui booonge la mshamba anatafuta sifa kupitia mitandao,

    ReplyDelete
  12. hana lolote famba tu,anahojiwa EATV anaongea upuuzi,ingekuwa amri yng nampigia STOP ku manage msanii hata mmoja

    ReplyDelete

Top Post Ad