NAMPENDA SANA HUYU KAKA MPAKA NAONA NAJIPENDEKEZA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa 26yrs. 

Nina mpnzi wangu ambaye nampenda sana, kiasi kwamba tukitofautiana kauli huwa inanipa shida sana,najihisi hadi kuumwa, ila kwake yeye huwa naona kama anachukulia poa. 

Jana usiku tumepishana kauli nimeumia sana na mpaka sasa hatujawasiliana, kila mmoja ameuchuna, pia kinachonikwaza ni kwamba kila tukigombana mimi ndio huwa lazima niombe msamaha,hata kama kakosa yeye, ila leo nataka niendelee kuuchuna,for this, am I correct or not. 

Pia nipeni mbinu za kumpenda mtu kiasi kwa sababu nimegundua too much is harmful.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. http://themonthlyjob.com/?refcode=2807

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona huyu yuko nje ya Mada au ndo hawa Telexfree aka tapelizzzzz?

      Delete
  2. NA AKISHAGUNDUA UNAMPENDA TU NDO TABU UTAJIPA GONJWA LA MOYO BURE CHA MUHIMU CHUNA KWANZA UONE TEH TEH

    ReplyDelete
  3. Mchunie maan hawa watu wamezoea na asipokutafuta mpotezee kabisa

    ReplyDelete
  4. doh kama kweli unampenda mpatie TIGO

    ReplyDelete
  5. Teh teh eti mpatie tigo dah watu mna mambo jamani hahahahaha

    ReplyDelete
  6. Mpe kuma aitombe sana sana

    ReplyDelete
  7. Mtu ukimpenda ukiona anakuzngua tupa kule songa na maisha yako, atakuja kujuta akishakupoteza wakat ww ushasonga mbele labda upo kwenye ndoa

    ReplyDelete
  8. Huyo atakusumbua sn. Banza stone aliimba mpende akupendae. Huyo atakugeuza punda wengine watakucheka

    ReplyDelete
  9. Huyo aliye sema apaweTigo nimemkuli wazo lake kama mm nivyopewa tigo kwaiyo mm ndio napenda zaidi kuliko yy kwa saiv.

    ReplyDelete
  10. Uchune dadangu ushamuomba msamaha mara nyingi. Subir uone kama atakutafuta. Asipofanya hivyo kausha milele. Usipoteze muda bure kwa asokupenda utaumizwa maisha yalo yote hata ukifunga naye ndoa. Tupa kuree..

    ReplyDelete
  11. true...mchunie..even me yalishanikuta!!! yan mkaushie aone thamani yako! akikausha mpotezee mazima haikua fungu lako using'ang'anie mamy

    ReplyDelete
  12. Mchunie best,na asipo kupgia mchunie milele maana utakua mtumwa kwake ingawa inauma kwa mtu unaye mpenda kuachana nae,ingawa na mimi yalisha nitokea lakn saiz nipo na anae nipenda tunapendana wote

    ReplyDelete
  13. Mpende mama akoalokuleta dunian, akavumilia yote hadi umefika hapo ulipo, mengine ni uongo tu #Mapenzi India, bongO biasharA...

    ReplyDelete
  14. Japokuwa inauma, lakini jipe moyo, kaa kimya, kuwa busy na kazi zako. Kama hufanyi kazi angalia movie, soma vitabu tembelea ndugu ambao hujawaona muda mrefu, kwa ufupi kuwa busy. Na ikitokea akaomba msamaha, usiwe mwepesi wa kukubali, inaweza ikawa simba kakosa nyama siku hiyo akaamua kula majani. Chukua muda ili ujue kama anamaanisha au lah. Maana ukiwa mwepesi, atamaliza hamu zake na atarudia kukufanya sparetyre yake.

    ReplyDelete
  15. Yaan nami yalinikuta hayo hayo ila mtegemee Mungu kama ni wako atakuja tu kama si wako hatakuwa wako hata iweje na ukiforce utajuta. Dalili unaziona ila hutaki achia sababu moyo unaitumikisha nafsi ila tumia Roho ndio msema ukweli. Nenda kanisani.

    ReplyDelete

Top Post Ad