SALUM MKAMBALA WA CHANNEL TEN APATA AJALI YA GARI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa Channel Ten, Salum Mkambala (pichani) amepata ajali ya gari ambalo alikuwa akiendesha kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten ambaye ameidokeza Global Publishers.info, Mkambala alipata ajali hiyo maeneo ya Chalinze alfajiri ya leo na hali yake inaelezwa kuwa ni mahututi baada ya kuumia vibaya. Haijafahamika yuko hospitali gani kwani alikuwa peke yake kwenye gari na taarifa ilitolewa na msamaria mwema kwa simu ya Salum na baada ya hapo simu yake haipatikana tena. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fatilieni mjue yuko hospital gani alafu mtujuze,

    ReplyDelete
  2. da mungu amfanyie wepesi jamani apate nafuu

    ReplyDelete
  3. wamemuonyesha kwenye taarifa ya habari jamani.kavunjika mguu na mkono pia na ameamishiwa MOI pole sana kk salum mungu atakupa uponyaji.

    ReplyDelete

Top Post Ad