"SIWEZI KUINGIA MAPENZINI NA MSANII WA BONGO MOVIES..WENGI WAPO KIMASLAHI"MBOTO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji wa filamu za Kiswahili, Haji Salum aka Mboto amesema kuwa hawezi kuanzisha uhusiano wa mapenzi na wasanii wa Bongo Movie kwa kuwa anaogopa kuchafuliwa jina na kuumizwa kimapenzi.

Mboto alifunguka kupitia mahojiano maalum na Zourha Malisa, ambapo amedai kuwa wasanii wengi wa kike wa filamu za kitanzania (Bongo Movies) hawana mapenzi ya kweli na kwamba wengi wanaangalia maslahi zaidi.

Hata hivyo, alieleza kuwa hatamani kuwa na uhusiano na baadhi ya wasanii hao, bali inamlazimu kuzuia hisia zake ili kuepuka mambo mbalimbali yatakayoyumbisha maisha yake.

"Unajua mimi pia nina tamani na pengine wao wananitamani ila najizuia na wala sitaki kuruhusu majaribu kwani najua ninachokifanya huku kwenye tasnia yetu tunakijua hivyo ni lazima ujiepushe na mambo mengine." Alisema Mboto.

Ameeleza kuwa kuna waigizaji wengi wa kike ambao ni rafiki zake wa karibu na wanashirikiana vizuri kwenye kazi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ku date wasanii Kama huna hela ndefuuuuu ni maumivu,wooote wako kimaslai zaidi.Kama atakuwa anakupenda basi hutakuwa peke yako lazima pedeshee aweko pembeni Wa kumnunulia gari na nguo za kuringishia instagram Kama lulu kanumba.

    ReplyDelete
  2. Out of topic,Jamani naombeni mnifahamishe tafadhari wadau,kujenga nyuma ya vyumba viwili niwe na sh ngapi mkononi?nymba ya kawaida sina makuu,kiwanja kipo tayari,asanteni,siwezi kuongea na mafundi kwakuwa siko dar kwasasa.msaada tutani,roughly niwe na sh. Ngapi?

    ReplyDelete
  3. We msenge nn maswali gn unauliza hayo au unatafuta basha wa kukujengea, usirudie tena kuuliza upuuzi wako huu kaamulize anayekupumulia kisogo pmbfuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wagonjwa wengi kweli bongo,pole Wala sikulaumu.

      Delete
  4. Hata mm namuunga mkono, maswali gan unauliza hayo we itakua shoga, sio bure huwez kuuliza upuuzi huo nenda maduka ya ujenzi ukajue bei za vifaa, maanina ww kima

    ReplyDelete
  5. 3m ila sebule haipo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante mdau angalau umenipa mwanga,bless you

      Delete
  6. Mbona Hata wasichana wa kawaida siku hiz hawapendi kuolewa na walalahoi...mi naona ni kawaida tu...

    ReplyDelete
  7. We msenge hadi leo hujajenga?usituletee umaskin humu kaulike ujenzi hakuna mason humu.

    ReplyDelete

Top Post Ad