UTENDAJI KAZI WA LOWASSA Vs WA SUMAYE KAMA WAZIRI MKUU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mh Lowassa na Mh Sumaye Wote wawili walishakuwa Mawaziri wakuu katika Serekali ya Tanzania kwa vipindi Tofauti na Wote kwa sasa kwa njia moja ama ingine wameonesha nia ya kuwania Nafasi ya Uraisi wa Tanzania 2015.....Je Tukilinganisha Utendaji wao wa Kazi walipokuwa Mawaziri na Kuchukulia hicho ndio kigezo cha kumpa mmoja Uraisi Nani alifanya Vizuri Kati yao....Taja Kitu Kizuri unachokumbuka
-John K
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa wote hawafii

    ReplyDelete
  2. Ufisad,wiz wa epa

    ReplyDelete
  3. Richmond rowaaaahasa

    ReplyDelete
  4. Rowasa safiiiiiii

    ReplyDelete
  5. Sumaye lowasa mkabilaaaaa

    ReplyDelete
  6. Mm binafsi ni mwanachama wa ccm, ila kulingana na tabia za hawa w2 , hakuna anayestaili kupewa uraisi wamefuja pesa nyingi sana, lowassa & sumaye kumanina zenu mmekula vya kutosha sana, endeleeni kula mali mlizoiba zinawatosha hadi mtakufa na mtaziacha, wasenge nyie wote wawili

    ReplyDelete
  7. Mimi naona Lowassa anasauti ys kufanya kitu diyo kama sumaye sijaona alichofanya miaka yake kumi. Lowasa aleta shule za kata anamazuri yake na mapungufu yske kama binadamu wa kawaida

    ReplyDelete
  8. Wote walimaliza kazi zao Nakuta nchi hasara .bado wanataka kuiba tu .

    ReplyDelete
  9. Hawafai kabisa: mbali ya wizi ni wachoyo. Futeni hayo majina kabisa. Hata huko tunapoomba misaada watatushangaaa....

    ReplyDelete
  10. Binaadamu kwelihatosheki mpakamchangawamwishokaburini pia hautowatoshahao.

    ReplyDelete
  11. Wote nyie makuma tu,lowasa ndio jembe lakuongoza hii nchi,mtamfananisha na hilo shoga lenu,lema au mchezesha disco mbowe? Lowasa ana maalimmmuzi km kiongozi malaya nyie

    ReplyDelete
  12. Kuma mwenyewe mavuzi wewe huyo lowasa wako hatumtaki alizokula zinamtosha

    ReplyDelete
  13. Binafsi nnaimani na lowasa maana najua anaweza kusema kama MTU atapnda..

    ReplyDelete

Top Post Ad