YANGA NA AZAM WAZIDI KUKABANA KOO..WOTE WASHINDA LEO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vilabu vya Azam FC na Yanga SC leo vimeendelea kukabana koo katika mbio za ubingwa wa ligi kuu Vodacom baada ya vyote viwili kupata ushindi kwenye michezo yao waliyokuwa wakicheza leo hii.
Azam FC ikiwa katika dimba la Mkwakwani ilikuwa ikicheza na Mgambo JKT na matokeo ni kwamba wamefanikiwa kushinda kwa magoli 2-0.
Magoli ya Azam yalifungwa na Brian Omony na John Bocco Adebayor.
Kwa upande wa Yanga ambao leo walikuwa wakicheza na Tanzania Prisons kutoka Mbeya katika uwanja wa taifa – matokeo ni Yanga wameshinda 5-0.
Magoli ya Yanga yalifungwa na Emmanuel Okwi, Mrisho Ngassa, Hamis Kiiza alifunga mawili na nahodha Nadir Haroub Cannavaro aliyefunga kwa penati.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera sana AZAM kwa kuleta changamoto na mapinduzi ktk sola la Tanzania, Mbeya City nanyi endeleeni kukaza buti maana tayari uwezo wenu unaonekana. hongera sana!

    ReplyDelete
  2. DAR YOUNG AFRICANS ITACHUKUA UBINGWA ASILIMIA MIA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mmmmm isipochukua ndo nyie wakujinyonga

      Delete

Top Post Ad