Kesi ya Mbasha imesomwa Tena Leo na Hiki Ndicho Kilichoamuliwa na Mahakama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji.
Katika kesi hiyo inayoendeshwa na Hakimu Wilbert Luago,amelazimika kuhairisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa hoja aliyoitoa Mbasha kwamba ana wakili wa kumtetea lakini alishindwa kufika kutokana na matatizo ya usafiri.
Kauli hiyo ya Mbasha ilimfanya Hakimu Luago kuhoji kama kweli alikuwa na nia ya kuwa na wakili au ana nia ya kuweka wakili kwani tangu kesi hiyo imeanza Mbasha hajapeleka wakili yoyote.
Mara baada ya nusu saa kupita Wakili wa mshitakiwa alituma muakilishi wake kuwakilisha barua za dharula ambazo zilionesha kuwa yupo safarini mkoani Arusha na kuomba kesi hiyo kuahirishwa.
Emanuel Mbasha ana kabiliwa na kesi mbili za ubakaji ambapo inadaiwa alitenda makosa hayo maeneo ya Tabata katika nyakati mbili tofauti,Mbasha alisindikizwa mahakamani na ndugu zake huku Mkewe Flora Mbasha kutoonekana Mahakamani na badala yake alionekana mdogo wake Flora ambaye ni shemeji yake Emanuel Mbasha.
Kesi hii imehairishwa mpaka July 23 mwaka huu.

Quote of The Day:


“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. komaaa kaka utashinda2 hakuna kinachoshindikana kwa mungu. kama hujabako bas mungu atakusaidia.

    ReplyDelete
  2. Kabaka huyo ila pesa ndio kila kitu kesi itaisha tu na atarudia ufuska wake kama kawaida.Tabata Kimanga tusha mzoea.

    ReplyDelete
  3. he makubw kumbe rapist

    ReplyDelete
  4. Jamaaa mbakaji kishenzi. Kaishabaka Tabata Kimanga nzima lakini ndio hivyo ana survive.

    ReplyDelete
  5. Anonymous 9:37pm ropokaropoka sana omba Mungu yasikukute wewe wala kaka yako hasa Kama awe amebambikiwa

    ReplyDelete
  6. jamani wadau fikirieni kabla hamjasema chochote kuhusu huyu mtu. iv wewe anonymous 9:37pm unamjua sana unavyosema hivyo?muogope sn muumba wk

    ReplyDelete
  7. Mtangulize mungu kwa kila jambo,hakuna linaloshindikana chini ya jua.

    ReplyDelete
  8. TUMWACHIE MUNGU NDIE ANAYE FAHAMU KUWA KABAKA AU LA TUSIHUKUMU BALI TUWAOMBEE WAWE NA MAISHA MAZURI

    ReplyDelete

Top Post Ad