Message To Ally Kiba..Hii Mwana Sijui Dsm Umepanick..Diamond Alipo Anachekelea Tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukweli unauma...nasema hivi Talent pekeee haitoshi bila kujipanga...nikiwa kama shabiki wa Ali kiba,huu wimbo wa mwana kachemka..watanzania tuwe wakweli na sio watu wakurupuka tu..Kiba ana vocal za hatari hili halina ubishi ila nyimbo hamna kitu..chorus haina mvuto maneno hajajipanga..in short kapanic..na kama ndo alijichimbia na kutoa nyimbo basi alichemka Game imechange na ndo maana ata ukisikiliza nyimbo ya Fally ipupa kabadilisha style mpaka beat..My opinion ni kwamba Kiba huyu sio sawa na Kimasomaso..Kapanick yani kama huyu ndo competitor wa Dogo Dangoti alipo anacheka tu..kweli Kiba u lacking some Good PR,Management ambayo inajielewa ikupe ushauri,inauma kwasababu sauti yako ni untouchable ila wrong management..ni hayo tu..Naandika hivi ili watu wake wampelekee msg its such a waste of Talent.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

69 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. naona ni kweliii kabsaa

    ReplyDelete
  2. naona ni kweliii kabsaa

    ReplyDelete
  3. umetumwa ww kymchafua au

    ReplyDelete
  4. Ki ukweli hats me cjazikubali hizo nyimbo japo Ni shabiki wake. Amezidi kumpaisha domo tu

    ReplyDelete
  5. Mmmmh we sio shabiki wakiba kabisaaaa acha kujishaua ndo nyie mmetumwa kumchafulia ili tumuone kiba sie, hamuwezi kufanikiwa coz watu tunaojua mziki wakweli lazima ukubali kwamba nyimbo ipo tite though ilirikodiwa 2yrs ago still kwetu ina mantik sana. Nyie ndo mmepanick jasho linawavuja mnaogopa jamaa karudi anasiku 4tu ila kashatuteka hisia zetu kwa raha zetu. Acheni roho zakwanini mwacheni Kiba afanye yake sasa he is back for good mjipange sana wehu nyie AllyKiba 4real hana drama nimutu yawatu. Tutoleeni uwoga wenu wakishamba

    ReplyDelete
  6. Mbona dangote video mdogo mdogo ka kopy na kupaste concept ya aye davido atusemi,,sema ye kamchukua mtoto WA kizungu lakin kaifanya advanced tyu concept ya davido

    ReplyDelete
  7. ally k anajua

    ReplyDelete
  8. WE UMETUMWA NA DOMO? KIBA ANAJUA KULIKO DOMO

    ReplyDelete
  9. bro nalimeseji lako naona limekupanikisha mwenyewe jipange uje upya Kiba anajua ni siku chache kazitoa lakini kitaa watu tunakula raha na ngoma zake coz zipo poa, sasa ww jishaue shabiki wake wakati kama ni usnitch kwa wazo hilo umebugi kajipange

    ReplyDelete
  10. team kujipendekeza27 July 2014 at 22:55

    limepoteza tym.yke kuandka gazet lake kwendrraaa kule

    ReplyDelete
  11. alafu huyu mleta mada anaonekana kabisa hampendi kiba.bichwa lako.

    ReplyDelete
  12. Wewe ndio umechemka kuandika miutumbo yako nenda kamshauri hilo domo achane kabisa na Ally kwasababu anajua sana yeye wetu tunamuona kichekesho tu halijui ajilinganishe na vidampa wenzake huko kwa Allyk hamuingii hata ukucha so hata atengenezee sumu gani itakuja kumuua mwenyewe bure sie tunakula radha tamu yamusic waukweli, yeye aendelee na maskendo ndio auze uchafu wake kupitia hawa udaku wakijinga. Halafu nanyie Udaaku mavi mtoeni Ally wetu waukweli yeye anafanya mziki waukweli anajielewa hafanyi udaku kamab hilo domo lenu ovaaaaa

    ReplyDelete
  13. UMETUMWA UMCHAFUE KIBA ILA UMECHEMKA,TULIANZA KUWA SIKIA WAKINA PQUARE NA IFUNANYA BADO WAPO NA WANAPIGA MZIKI KAMA KAWAIDA AKAJA DAVIDO ZAMU YAKE NAE ATAPITA KWA HIYO HATA HUYO NASIBU ATAPITA TU HATA KAMA SIO LEO SIKU YAKE IPO UKITAKA KUJUA KIBA YUPO JUU NI KWA JINSI MNAVYO MFUATILIA MAISHA YAKE,BONGO KUNA WANA MUZIKI WANGAPI MBONA HAM WAFANANISHI NA KIBA WEWE KAMA NYIMBO YA MWANA HUIPENDI BASI WENGINE WANAIPENDA,NENDA KASHABIKIE MDOGOMDOGO ALIYO COPY NA KU PASTE NIGERIA TATIZO LENU HAMUANGALII NYIMBO ZA WANA MUSIC WA WEST AFRIKA MNGEONA JINSI DIOMOND ALIVYO COPY MPAKA MY NO ONE JINSI YA KUCHEZA.ACHENI HIZO WASAPOTINI WANA MZIKI WENU SIO KULETA UGOMVI.

    ReplyDelete
  14. ADMIN DOMO YAONESHA AMEBABAIKA NA ALLY K MPAKA SIJUI KAWALIPA MUMSIFIE DOMO KWA TAARIFA YAKO DOMO HAWEZI MWINGIA KIBA HATA KWA MZAHA

    ReplyDelete
  15. Wewe ndio umechemka kuandika miutumbo yako nenda kamshauri hilo domo achane kabisa na Ally kwasababu anajua sana yeye wetu tunamuona kichekesho tu halijui ajilinganishe na vidampa wenzake huko kwa Allyk hamuingii hata ukucha so hata atengenezee sumu gani itakuja kumuua mwenyewe bure sie tunakula radha tamu yamusic waukweli, yeye aendelee na maskendo ndio auze uchafu wake kupitia hawa udaku wakijinga. Halafu nanyie Udaaku mavi mtoeni Ally wetu waukweli yeye anafanya mziki waukweli anajielewa hafanyi udaku kamab hilo domo lenu ovaaaaa

    ReplyDelete
  16. nyie mwakuza ugomvi na huyo domo hawezani kwa kiba nyie mpigieni domo ngomaaa lakini ali k mwacheni his a unique artist we love you ally k coz huna masifa ur songs are nice na umejimakini sio kama huyo domo mara hiki mara kile

    ReplyDelete
  17. huyu ADMIN KASHALIPWA SASA ATAANZA MPONDA KIBA UTAWACHA WATU WAWACHE INGIA HII BLOG KWA MAMBO YAKO YA KISENGE WACHA KUMPONDA KIBA WAMTETEA DOMO YA NINI YOU SHOULD BE NEUTRAL NA HAKUNA ALIYE KUULIZA MAONI YAKO

    ReplyDelete
  18. unlipwa nini mbona wewe pia wamponda ally k ababaishwe na domo kwa kipi mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh urongo mtupu Ally k is back for action we feel you man huyo domo kazi ku copy na kupaste kusema kweli kuna watu kibao uwa mara wasema domo amewaibia nyimbo ondoa ushenzi wako na domo tumewachoka na huyo wema pia

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahahhaha" mimi mti wenye matunda kupigwa mawe lazima" upoooo so hao wasiotoa nyimbo mpk mwenzao atoe then kaniibia kaniibia ni mazafantar, sasa hiyo action ni hiyo nyimbo ya harusi? si aende five star tujue moja tu JIPANGE SANA KUMFIKIA PLATNUM kwa nyimbo za harusi hahahahahahah mujipangeeeeeee

      Delete
  19. kimaso maso wewe domo na huyu admin na vibaka vyako mtamwona ali k yebaaaaaaaa apanick nin wakati domo kawahonga mumsifu ondoa upuuzi wenu mushaanza msifia domo mhhhhhhhhhhhhhhhhhh semeni ukweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kimaso maso kwani tunaenda harusini, mdogo mdogo mpk watakaaaaaa wasipokaa ni bum bum ni mwendo wa kuwanyoa vipara tu hahahhahhaha kiba umefulia

      Delete
  20. Acheni unafki nyie mmetumwa na domo, ngoma za kiba zote nzuri sana tena Sana.

    ReplyDelete
  21. Yani domo jipange utawaonga Sana hao waandishi WA udaku ili wamchafue kiba, umetokosa domo, tunampenda Sana kiba kwanza nyimbo zake zina ujumbe mzuri toka ameanza ajawahi kosea, nyimbo zinaeleweka, c zako domo nyimbo zako Ni hovyo azina ujumbe wowote Ni za mapenzi ya kijinga, yako na wema. Uwa cpendi nyimbo zako Ni za kit to Sana. Acha kabisa kumchafuA kiba wetu yupo huu. Roga Sana kiba karudi jipange domo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaahhahahahh DIAMOND unawanyima watu ucingz kwa kweli keep it UP BRO,umewapoteza mbaya wanakalia majungu na unafki hahahaha

      Delete
  22. Wanafiki haoooo Kiba yuko juuu, Watajutaa domo usaniii mwingiiii lakini kwa sauti hamfikiii alikiba hata kwa nn? Na watanzania wote tunalijia hilooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yuko juu ya nn? Who is Kiba by the way...? tushamsahau eti

      Delete
    2. Anony 2:07AM Usitusemee watanzania wote semea nafsi yako - kila mmoja ana nyimbo zake na wapenzi wake MALUMBANO YA NINI SASAAA?????

      Delete
  23. duj kweli kiba anapendwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. anapendwa na ma snitch wenye hate kwa dai kwa mafanikio yake

      Delete
  24. Asiyejua anakuwa nominated kwenye tuzo za heshima duniani (BET, MTV, CORA,AFRIMA na sasa best intertainer with Yaya toure" nimeami kumbe taila sio lazima uokote makopo. Eti alikia alimshilikisha R kelly wakati ukimuuliza R kelly who is Ali Kiba atabaki na ???? Alikuwa anawasaidia wasanii a africa it was a Project ninyi waokota makopo. Mwenzenu kwasasa akienda nchi za nje anapokelewa na mabalozi tanzania. Domo ana Mission na Vission that's why he is investing much than spending. Mkubali mkatae domo anaakili ndiomaana anaheshimu management. Najua mtatukana bt elimu ya bure ndio hiyo. Cha msingi mtu anapo fanya vizuri tumpongeze na anapofanya vibaya tumkemee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anony 5:08AM umenena haswaaaaaa, atakaye kutukana huyo ni bongo lala

      Delete
  25. Ili mradi tu mjipe moyo kwa Ali kiba, but ajipange kumfikia dangote Yuko level nyingine huo ndio ukweli

    ReplyDelete
  26. Mnamponda huku ukweli unawaumbua Wa kufanya kwake vizuri dangote ameleta changes kubwa kwenye music industry mkatae mkubali na roho zenu za kimaskini. Hahahaha Ali by by byeeeee to music wakat wako ushaisha tusubili ataekuja kumrith dangote but for now platnum Yuko juu ndio wakati Wake hilo alina ubishi

    ReplyDelete
  27. Huyo mwandishi anaonekana kabisa anachuki kwa Ally K though ametoa maoni yake coz kitendo cha kusema eti MWANA SIJUI DSM hiyo SIJUI ukiiangalia inaonesha chuki then hajahusikiliza wimbo so he wasn't sure kwamba unaitwa Mwana DSM. Ulitumia Massa mangapi kuandika huo ushauri wako?? huo muda uliotumia kuandika gazeti lako ungeenda hata pale Ambiance Sinza ungejiuza ungepata hata buku mbili coz hata wanaume cku hizii wanajiuza coz hapa nobody pays you dear. Hiyo SIJUI toa hapo. Dai anawatia eee na bado atawatia sana tuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumbe na wewe umeona eee.. eti nwana sijui daresalama. Me nakwambia hawa wanatiwa hawa

      Delete
    2. KUMBE NA NIE KIBA ANAWATIA EEH NDO MANA HAMUMKUBALI DAI AAAH KUMBE TUSHAJUA MNATIWA HHEHEHEHEHEHEHEHEHEHHEHH

      Delete
  28. kiba ni dopeest vocalist in tz

    ReplyDelete
  29. Huyo 5:08 Ni sema na kingereza mavi. Ukubali ukatae mheshimiwa ally kiba yupo juu Sana, domo bado ajamfikia kiba Ata roho pamoja na kuwa kiba alikuwa amepumzika. Kiba usikatishwe tamaa na wanga wanaofanya mapenz na..! Ili wapate umaharufu. Wewe Ni binge la mwanamziki. Acha domo zaidi kuonga magazeti wewe fanya yako watanzania wengi tunakupenda Sana ally kiba kazi zako nzuri Sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kimaso maso kwani tuko harusini? kwendraaaaa kiba hushaishiwa bye

      Delete
    2. Hahaha huna hata haya na unachokiandika, kavuruga mbaya ajipange sana kumfikia Dai mppeni moyo wakati mnampoteza na ushabiki wenu mavi na wa kijinga

      Delete
    3. Wewe hapo juu sio bure kiba atakuwa anakupiga miti sababu huwezi kusifu ujinga na pumba, Pltnum anawapoteza ndio mana hamumkubali usoni but moyoni mnamkubali

      Delete
  30. kiba juuu..
    acha ujinga..utaolewa na wema sepetu na wewe

    ReplyDelete
  31. DAI wanakukubali kiaina japo wanakudiss sababu sijaona ngoma kali zaidi ya vululu asizani zitampeleka mbali

    ReplyDelete
  32. Diamond iz the best of the best

    ReplyDelete
  33. DANGOTE IZ THE BEST SIO UONGO,

    ReplyDelete
  34. Penye ukweli uwongo hujitenga Ally bado sana kumfikia Pltnumz ni hayo tu

    ReplyDelete
  35. Guys u hav to b real and frank,,,,I'm a fan of kiba and platnumz bt honestly kiba kwa domo bado sanaaaaa labda kwa uhandsome....diamonds are forever...ahahahahaaaaaa

    ReplyDelete
  36. DIAMONDS ARE FOREVER HAWAKUELEWA ANA MAANISHA NINI BUT NOW NDIO WANAJUA KWA DIAMONDS ARE FOREVER EEEEH POLENI FANS WA KIBA

    ReplyDelete
  37. YOTE MUNAYOYASEMA FURAHISHENI NYOYO ZENU NA MIDOMO ZENU BUT DAT FACT IS DEA AND WILL ALWAYS BE DEA ALL K YUKO JUU DIAMOND ARE FOREVER MWAJUA NYIE NA NYIMBO ZAKE ZA MAPENZI NA MASIFA TU. NA WENGINE WANASEMA ATI WIVU KWA MAENDELEO YA DOMO WW WAJUA MTU AISHI MAISHA GANI MPAKA MUSEME ANA WIVU MAYBE DEA LIFE IS MUCH BETTER DAN HIS SOOO ROPOKENI TUKANANENI MTETEENI BUT DA FACT IS DEA AND TYM WILL TELL ITS ALL ABT TYM KISHA WE SEE WAT YUO GYS ARE SPEAKING NOW YOU WILL SPEAK LATERZ. LIMITED MINDSZZZZZZZZZZZZZZZZ DANGANYANENI TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
    Replies
    1. its all abt time na ndio maana kiba alishashine, mr nice pia na sasa ni zamu za wengine diamond included....kiba has a nice voice lakin haizuii wengine kushine becouse of that.....akifanya vizur tutamsifia but we cant keep on praising him wakati he is doing nothing to praise his voice.

      Delete
  38. haina haja kushindana upuuzi kweli tym will tell wacha tuone

    ReplyDelete
  39. domo anajaribu lakini wat i hate abt him ni hizo tabia ya ongea bila kujielewa ovyo ovyo tu kuongea hio si tabia za kiume he should change his ways ali k his ok but his a simple guy dats wat i like abt him so lets enjoy da music sio maneno tuuuuuuuuu all da tym hawa watu wa gazeti hukuza maneno na ugomvi ile wao yawaende wako biasharani so musiwasikilize instead kupatanisha akae atoe maoni zake za fitna haifai namna hio jamani change

    ReplyDelete
  40. mm penda sana kiba jaman yupo ki wanaume zaidi siyo uyo dadamond

    ReplyDelete
  41. ATI DADAMOND HALLOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO HAPO CHACHA KWELI NI DADAMOND NA HILO DOMO LAKE

    ReplyDelete
  42. admin acha usenge,fanya mambo ya mcng

    ReplyDelete
  43. ALI KIBA ANA SAUTI NZURI ILA TUNGO ZINAMUANGUSHA

    ReplyDelete
  44. ACHENI KUTOKA MAPOVU ACHA TUSUBILI ISIJE IKAWA NDIO MIAKA MINGINE 3 HAYUPO HEWANI....HII TUNGO HAINA MVUTO KABISA HAIBURUDISHI

    ReplyDelete
  45. Ali kiba mimi shabiki wako kaza buti ameachwa nyuma sana jitahidi utupe raha mashabiki wako tupo single ingine ya kuturusha club hii single ni yawakiwa...

    ReplyDelete
  46. diamond msanii mzuri jla ali kiba mzuri i thnk ali is the one of the bongo stars anayejulikama for his good music only bt diamond is big bcoz of other things scandals,changing women and all that japo he good artist lakin hivyo vitu vimempa kiki zaidi comparing Ali and Nassibu ni sawa na kucompare Beckham na Ronadinho bt kila mtu anajua beckhsm alikuwa mcheza maarufu tajiri lakin hana kipaji kikubwa ka Dinho ss Ali ni Dinho na Diamond ni Beckham ss akili kumkichwa bt they ar all make our nation proud

    ReplyDelete
  47. Mwana mzuri kimasomaso sio

    ReplyDelete
  48. duh. lkn. hloo. kundu. kiba. nalo. mctupe. sana. ataliaa

    ReplyDelete
  49. UMENENA KWELI KABISA

    ReplyDelete
  50. akuna kama diamondi labda A.Y kwa mbali.ndo wasaniii ambao wanafahamika wengine usupastaa wao mwisho airport

    ReplyDelete
  51. Lazima ukweli utabaki kuwa ukwel muda wako ukipita umepita na at any biznez investment ni kitu muhimu sana kiba alikosa management nzuri na ndo maana chaliii n if ts about being best vocalist hata rkelly ni best tena in da world lakin leo huwez fananisha shoo ya rkelly na chris brown coz muda wa rkelly umeshapita though bado vocal yake ipo juu......ni hayo tuu

    ReplyDelete
  52. Sasa na hiyo nyimbo ya Domo mdogo mdogo mbona kachemka pia au hilo hujaliona...maana hiyo hiuo nyimbo kawaimbia Wazaramu.......yaani haina ata maana yoyote

    ReplyDelete
  53. Ally Kiba realy 4rever.......Wengine Watapita kama wenzao...Kiba atabaki kuwa Ally Kiba kwani kulikuwa na wangapi waliotamba na maajina yao hayajulikani tena lkn jina la Ally kiba bado lipo tena lipo na Mautamu yake jamani...Wote hapa tunajua sna Kama Ally kiba ni kiboko ya Domo ila mnajifanya kuwa na uso wa dagaa..lol

    ReplyDelete

Top Post Ad