Alichonifanyia Huyu Dada Siku ya Jana Nahisi Aliamu tu Kunidhalilisha Mtu Mzima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tumepanda daladala moja, ikafika wakat wa konda kuchukua mchango wa mafuta....kimbembe kikaanzia hapo, mdafada kajisachi weeeee nauli hana akaanza kumbembeleza konda kuwa atamlipa akifika mwisho wa safari.

Konda akagoma na akaanza kutoa maneno ya dharau kwa yule dada, nikaona hapa ndo nakamatia fursa, nikamlipia yule demu halafu nikamchimba mkwara mzito sana konda huku nikitishia kumtandika na makofi, nikajifanya namfahamu sana yule dada.

Lengo langu ni kwamba tukishuka nachukua contact fasta, maana kwa kweli demu alikuwa ni mkali kinoma, tulipofika mwisho wa safar akaniomba tuongozane, nikajua yees kumbe hata yeye kanimaindi....tukafika kwny duka flani.

Nikasikia analiambia jamaa flan tuliolikuta pale dukani:- baby yani nilitaka kuadhirika....asingekuwa huyu hata cjui ingekuwaje, akalisimulia kila kitu huku kajiegesha kwny kifua cha huyo boya, mi natukutia kwa hasira, alipomaliza kulisimulia likambusu mdomoni.

Halafu eti likanipa mkono kunishukuru, likatoa wallet na kunipa sh elfu tano, ina maana huyo dada alidhani nimemkopesha ile mia nne,au alitaka kunidhalilisha mbele ya yule boya.

Ina maana yeye hawezi kujiongeza kuwa kuna mengineyo nilitaka yaendelee behind the scene, au alijua mi ni mlokole, au alitaka nijue ana mtu wake, mxxxxxxxxxiiiiiiiuuuu, bado nina maswali mengi sana juu ya hilo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahahahahhaha, pole sana wangu, ila ilo demu nalo lishamba, kama story ni ya kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. huyu demu hana ushamba wowote. kwani jamaa alilipa nauli ili apewe uchi? si arudishiwe hela yake asepe... mpuuzi ni jamaa, kwa mana ingekuwa ni mwanaume kakosa nauli jama lingeuchuna wacha ipate bakora za macho...

      Delete
  2. we bwege nini? sasa ulitaka afanyaje? yani ukamgonge sababu ya hiyo nauli yako? alichofanya safi sana, na umepewa elfu tano, bia mbili hizo ulale mbele!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ha ha ha.. nakuunga mkono kiongozi..

      Delete
  3. ahahah ukomeeeee kujitolea ukizani kila mtu anauza kumaaa

    ReplyDelete
  4. Amekufanyia kitu kizuuuuuri sana nimependa, na wengne wangefanya kama huyo dada basi ingekuwa poa.

    ReplyDelete
  5. Ulitaka kupata contact ya mtoto wa kike kwa sh 400, sa sibora unge omba tu no bure kwan no ya cm inatolewa kwa pesa, wamekukomesha

    ReplyDelete
  6. Hahahahahahaha,jifunze kusaidia bila malipo,inaonekena wewe kila mwanamke bomba ukimsaidia unataka akulipe K...............boya wewe!

    ReplyDelete
  7. axa namba mpaka uongozane nae anapoenda c ungeomba palepale ndani......afu inaonyesha ulishoboka xana demu akakuona poyoyo tu....tena huko ulikomfuata ungefirwa je bora umepewa gongo 5 zako jikate

    ReplyDelete
  8. WE JINGA KWELI 400 YAKO UKAONA YATOSHA EEHHH

    ReplyDelete
  9. senge kweli jamaa wew yaan ulikuwa unalipa nauli kwa kutegemea kuwa na huyo manzi ni boya ka ww!!!!!!ucpende kukariri cio mademu wote tuko hivyo kuma yako ww kafirwe mbele huko.....loooh


    ReplyDelete
  10. Ukome labda utaacha na umalaya

    ReplyDelete
  11. ww ulieleta stori hii huna akiri hv kwa mwalimu wako wa shule msingi ulikua unamwelewa kwel? stori inahusu kwenye daladala kiti alichokalia huyo dada cha bar wapi na wapi acha ujinga ww

    ReplyDelete

Top Post Ad