Baby Madaha Baada ya Kuachana na Manager Wake Sasa Amejiweka Kwa Mwanamuziki Wyre

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna Habari Hapa mjini Udaku Special Imezipata kwamba Mwanamuziki Mrembo wa Bongo Flava Baby Madaha Amabae alihamishia Makao Yake Kenya Kwa Sasa etiii Amejiweka Kimapenzi kwa Mwanamuziki Wyre wa Kenya hii Ni Baada ya Kutemana kimapenzi na Bosi Wake Joe Kairuki
Baba Madaha Alipoulizwa alijibu Hivi:
"Mimi nina uhuru wa kufanya chochote ninachojisikia na hakuna mtu atakayeweza kuniingilia katika maisha yangu wala uhusiano wangu kwa sababu sigongi kwa mtu kuomba msaada"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usipoangalia utalambwa hadi na mbwa.

    ReplyDelete
  2. Wyree si ameoa..atajitia mkosi kwa huyo kahaba buree..huyo hajui kupenda anapita tuu onja onja

    ReplyDelete
  3. Huyu sasa naona amekorogaaaaaaaa Bongo na sasa kahamishia shughuli zake za umalaya Kenya. Haya mama! hata huko umalaya ukizidi watakudeport fast alafu utaaibika.! Tulia uolewe sasa umri si umeenda?

    ReplyDelete
    Replies

    1. Wa kumuoa huyo changu hakuna bali watamchezea tu, anatia hadi kinyaa.
      Anakera kujitia mjuaji kumbe mavi tu.

      Delete
  4. Prezoo anamsubir mpaka atolewe mavi..ndio atajuwa Kenya Sio bongo supu

    ReplyDelete
  5. baby mbona una majanga ivo...uyo wyre mme wa mtu..khaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad