CHADEMA Kosa Hili Hamjaliona, Slaa Tukulaumu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo hii naomba kutoa maoni yangu kuhusu makosa ambayo yanafanywa na viongozi wa juu.
Niseme wazi kuwa kuanzia mwaka 2007 hadi kuendelea hasa 2009-2010 kijana yeyote aliyejitokeza na kusema yeye ni mwanachama wa ccm alikuwa anazomewa sana, kwani kwa asilimia 90 vijana wote hasa vyuo vikuu walikuwa ni wapenzi wa chadema.
Leo hii Chadema haina vijana wengi wenye kupambana kama ilivyokuwa hapo mwanzo, inaonyesha wazi kuwa chadema imefanya makosa makubwa kushindwa kuhakikisha vijana hawa watatumika vyema kueneza elimu kila kona ya nchi kuelekea katika ukombozi wa utawala wa CCM

Chadema dhana ya usaliti mnayoitumia kwa Vijana ni kosa kubwa na itawapotezea umaarufu wenu, hebu watumieni vijana wanaomaliza vyuo wakafanye kazi za kueneza chama na muwaamini na muwaheshimu ili waweze kusaidia kuleta mabadiliko na sio kukaa na kutuhumiana usaliti na umamlukiki kila siku.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nashukuru kwa kuliona hil kwan cju zote wanajiona wai ndio sashihi wjt wote

    ReplyDelete
  2. Chadema ni chama kisichokuwa na upendeleo wala ubaguzi, upumbavu wote huo unaenezwa na ccm kwa maslahi yao, vijana bado ni nguzo imara kwa chama, sasa sijui mdau ulikuwa unamaanisha nini? labda ndiyo nyie mnaotaka Mbowe aachie ngazi kwa maslahi yenu ambayo ccm wanataka kila kukicha, sisi vijana bado tupo nyuma ya Chadema na mpaka sasa hivi hatujaona wakumrithi Mbowe na yeye bado tutamchagua na kwasababu ni mtu shupavu na ndiye aliyesimama imara mpaka chama kikafika kilipo, kwa taarifa yako tu, labda huko kwenu, lakini huku kwetu ukiwa kijana halafu unashabikia ccm, unaonekana lembweta kwelikweli.

    ReplyDelete
  3. Chama cha watu wa.......

    ReplyDelete
    Replies
    1. kidemokrasia na maendeleo!! viva 2015!!!!

      Delete
  4. Chadema wanatwanga maji kwenye kinu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe mwenyewe pia unatwanga maji kwenye kinu mpaka sasa huna hata pa kulala

      Delete
    2. CHADEMA WOTE MNAFIRWA

      Delete
    3. wanafirwa nanani? au mnafirana wote?

      Delete
  5. Yaweza kua hata mmoja wa familia yako ni miongoni na wanachama wa CDM.. either mzaz wako,kaka,dada yako,binamu,mjomba,shangazi...kwa tusi hilo hapo juu umewatukana jamaa zako...usahuri wa bure don't show up your hatred to release your stress.. drink more water,get time to relax, exercise yourself boss

    ReplyDelete
  6. CHAGA DEVELOPMENT MONITORING ASSOCIATION (CHADEMA)

    ReplyDelete
    Replies
    1. hiyooooo inapeta!! sasa donge lanini? na nyie wadengereko anzisheni cha kwenu!!!

      Delete
    2. Achani propaganda za kizamani chama kimeimarika hadi vijijini Nkansi.Achani sera za kuhongwa tisheti za yanga,kanga pombe na kisha kutaabika kwa miaka mitano.CHADEMA poa kabisa chama cha vijana wazee washauri tu

      Delete
    3. pole kwa mawazo kama hayo, unahitaji kwanza kuhurumiwa kabla hujapata msaada wa kufungua fikra zako, ili walau upate mwanga na ujitambue! coz ukijitambua, unaweza kutoka nje yako na kuelewa mengine na utakuwa na uwezo wa kutoa mchango wa kimawazo ktk mambo kama haya. POLE!

      Delete
  7. Inaonekana CDM inawabana ccm! mbona kilasiku cdm? wakitoka nakuludi kwenu sindoo sawa? mti wenye matunda nilazima upigwemawe, watz 2meshachoka kudanganya na hao mafisadi.

    ReplyDelete

Top Post Ad